Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.
Wakuu, napenda kujua Silcon inayotoka kwenye miamba inakuwa ya moto ukiweka Taster inawaka inakuwa Red na black.
Solo lake lipo wapi na bei yake ikoje per litre.
Wadau naomba ushauri juu ya soko (kwa upande wa ajira) mimi nasoma Bachelor of Computer Engineering, MUST, siko interested sana na coding.
Nafkiria kuspecialize na Network & System Administration kwenye suala la ajira iko vp hii? Na ni sector zipi zina uhitaji wa ao watu wa network?
Kenya Medical Supply (KEMSA) ambayo inahusika na ununuzi wa dawa na vifaa tiba kwa vituo vyote vya Afya vilivyopo Kenya imeingia katika kashfa nyingine kutokana na ununuzi wa vifaa vya dharura dhidi ya ugonjwa wa COVID-19. Taarifa zinasema vifaa hivyo vilinunuliwa kwa gharama ya juu sana...
Huu mkataba utakua wa kwanza baina ya Marekani na taifa la ukanda huu wa Sahara, ikumbukwe Marekani ndio ya tatu kwenye soko la bidhaa zetu na sasa inafungua soko lote wazi kwa ajili yetu.
Ni muda wa kuchangamkia mbele kwa mbele, takwimu zinasema yaani hata tukipata asilimia tano tu (5%) ya...
Leo nimesoma Dodoma imekuwa kama ulaya kwa mujibu wa stendi mpya. 😂😂😂😂 Shukrani nikaskia zinapewa JPM. Kwani rais ndiye kufanya kazi yote Tanzania?
Nayo hii soko kubwa mpya Nairobi vipi? Mbona kila project ndogo ya Tanzania lazima itangazwe hapa kwa section ya Kenya? 😂 😂 😂
Haya oneni pia...
Habari wadau
Naona kuna soko kubwa sana la wazazi wanaopenda watoto wao wasome English Medium. Nawashauri Serikali, kila wilaya nchii hii wawe na shule za msingi za Serikali za English Medium kama Olimpio na Diamond. Wazazi watashukuru sana na sana.
Hizo pesa ambazo shule binafsi wanazivuna ni...
Kutokana na leo 16.06.2020 Rais JPM akilivunja bunge, ametangaza shule zote zitafunguliwa 29.06.2020 zilizokuwa zimefungwa mnamo April 17 kutokana na ugonywa wa covid 19.
Hivyo wenye stock za barakoa na sanitizer ni wakati wa kuzimalizia hata kwa kurudisha mtaji! Maana zinakosa soko Kama ndoo...
Wakazi wa Beijing wamerudi kwenye hali ya taharuki ya hapo awali janga la Corona lilipoibuka baada ya serikali yao kuweka sehemu za jiji lao kwenye total lockdown na kuwashurutisha maelfu ya watu kupimwa. Hii inafatia mkurupuko mpya wa COVID-19 ulioibuka kutoka kwa samaki aina ya 'Salmon' ndani...
Habari ndugu zangu.. Kama kuna mtu anauza mayai ya kuku wa kisasa na yupo Dar naomba tuwasiliane. Nahitaji tray zaidi ya 300..
Nitafurahi sana kama nitapata fursa ya kukutana na huyo mtu
Habarini wana jamvi,
Kama kichwa kinavyosomeka. Mimi nipo Geita na nina takribani gunia nne za hilo zao na bado naendelea na uvunaji.
Natafuta mtu anayehitaji hii bidhaa nimuuzie. Nikipata maelekezo pia kuhusu mahali ambapo naweza kuuzia itakuwa ni vema pia.
Nitasoma replies pia. Naombeni...
It’s highly unusual for a 20 year+ established Stock Exchange to have a trading volume of 0 - a whole trading day without a single share being traded. Not even a cent! One for the financial history
Habarini za majukumu!
Naomba kufahamu masoko nafuu ya vifaa vya kielektronik vya mtumba mfano TV, Laptops nk.
Nataka nianze kufanya biashara ya vifaa vya kielektronik vya mtumba.
Niaje wakuu.
Naomba kujuzwa kama kuna anae jua pilipili hoho kwenye soko la jumla inauzwaje na kwa kipimo kipi either kwa gunia kwa kilo au kwa kuuza hoho moja moja kama ilivo soko la machungwa ya jumla?
Heshima kwenu wadau, katika harakati za mawazo yanuwekezaji, kuna mdau alinidokeza juu ya kilimo cha mkonge, ila kwa kuwa sijawahi waza, wala kupata mtu ambaye amewahi kufanya hiki kilimo.
Naomba kupata details za:
1. Upatikanaji wa mbegu/ miche
2. Uhakika wa soko
3. Muda wa kuanza kuvuna...
Changamoto nambari moja inayotajwa kurudisha nyuma vijana wengi ni ukosefu wa mtaji. Ni kweli hii ni changamoto kubwa sana ila kuna kubwa zaidi ya hii. Twende pamoja katika makala hii na tuongeze mchango wetu kwenye comments.
Mimi changamoto ambayo naona ni kubwa zaidi kuliko ile ya ukosefu wa...
Wananchi wa Jiji la mwanza walifurahi sana walipoona Soko la zamani likivunjwa kupisha ujenzi wa soko mpya. Soko lilipovunjwa wafanyabiashara walisambaa maeneo mbalimbali ili wapate nafasi ya kuendelea na biashara zao.
Kibaya zaidi maeneo waliopelekwa ni maeneo hatarishi na hakuna huduma za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.