Sasa Watanzania ndiyo tumekuwa soko la dunia la mataifa mengine

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,220
5,940
1607077296305.png
 
Aisee kumbe tuna kila sababu ya kulinga,mteja mfalme 😂🤣🤣

Ndo maana hawa jamaa hawawezi kukubali waafrika tuungane
 
Kipindi cha Corona wakati wengine wakiwa vizuizini na mipaka imefungwa ndo ulikuwa muda wa mapinduzi ya viwanda Tanzania. Lakini wawekezaji wa ndani walilala kipindi kimeisha ushindani uko juu Sasa.
 
Back
Top Bottom