Masters zenye soko kwa mtu mwenye BAEd ni zipi?

JOESKY

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
816
2,032
Naomba kufahamu kwa mwenye BAEd ni masters degree gani zinafaa zaidi ili kwenda na soko la ajira? GPA 3.5
 
Masters zote zina soko sana tatizo wengi hawajui jinsi ya kuitengenezea fedha

Wengi wanasoma masters ili wakapate ajira na vyeo

Dunia ya sasa ni dunia ya utafiti, fanya masters upate taaluma ya kufanya tafiti

Unadhan kwanini ma Prof na wana Taaluma wengi wa SUA na MUHAS hawajikombi kombi kwa wanasiasa? Kule wengi wako busy na research na wanapata sana pesa
 
Masters ni kupalangana kutafuta hela haya makaratasi hayana msaada ngoja tuanze na hili je umeajiriwa na taasisi yoyote?
Tatizo tanzania kazi zote tunafanya kwa kutumia nguvu. lakini nchi za wenzetu kila kazi unatumia kile ulicho jifunza darasani.
 
Naomba kufahamu kwa mwenye BAEd ni masters degree gani zinafaa zaidi ili kwenda na soko la ajira? GPA 3.5
Ma masters ya nini?sema Kama unataka kufundisha chuo kikuu,au uwe mwanasiasa.
Kitaa diploma,shahada zinatosha,
Hizo Elimu kubwa,zinakuwa na umuhimu Kama upo kazini,harafu ukaongeza kiwango Cha Elimu.
Sasa wewe utoke,chuoni na masters,huna uzoefu,harafu utegemee kampuni ikupe ukurugenzi?!!
 
Asante kwa maoni yako mkuu. Nimepata wazo pia
 
Acha ushamba mkuu, ww kama hupendi kusoma waache watu waendelee kusoma. Na pia kuna kazi ambazo huwezi kufanya kama huna masters au PhD,
Atakuwa ana wazo zuri tu la kulitoa ila uwasilishaji wake umekuwa wa tofauti.
 
Of course chief katafute skill hela itakuja tuu,
Ukiwa na project nyingi mbona unatengeneza network kubwa ya kutegeneza pesa then kuna NGO, kibao inawatafuta wdnye SD kill kubwa
 
Of course chief katafute skill hela itakuja tuu,
Ukiwa na project nyingi mbona unatengeneza network kubwa ya kutegeneza pesa then kuna NGO, kibao inawatafuta wdnye SD kill kubwa
Sana mkuu ila lengo langu ni masters zipi zinashika kasi kwa hivi sasa
 
Back
Top Bottom