shule

  1. Mbunge Reuben Nhamanilo Aiomba Serikali Kuongeza Nguvu kwa Wananchi katika Ujenzi wa Shule za Msingi Handeni Mjini

    "Je, ni lini Serikali itamaliza mgogoro wa mpaka kati ya Handeni na Kilindi katika eneo la Bondo" - Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo Reuben Nhamanilo, Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini "Serikali imekwishatatua mgogoro wa mpaka kati ya Halmashauri ya Handeni na Kilindi katika eneo la Bondo kwa...
  2. Mbunge Norah Waziri Mzeru (Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro) Atembelea Katika Shule ya Sekondary Lupanga Mkoani Morogoro

    Mbunge Norah Waziri Mzeru (Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro) Atembelea Katika Shule ya Sekondary Lupanga Mkoani Morogoro Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru amewaasa wahitimu wa Kidato cha Nne Katika Shule Ya Sekondary Lupanga Mkoani Morogoro wasome kwa bidii kwa...
  3. Shule za nyingi za Kata Msingi na Sekondari zina shida kubwa

    Ukitaka kujua ubovu wa elimu ya Tanzania take a time mara moja moja upite ukague mazingira ya shule hizi. 1 Shule hazina usimamizi hata kidogo, hata uliopo ni mbovu kupindukia. 2. Wanafunzi hawajui wanafika saa ngapi shuleni 3.Ukikaa karibu na shule huwezi kuelewa mda wa mapumziko na mda wa...
  4. Sitasahahu hili tukio nilivyokuwa shule ya sekondari

    Nilisoma shule ya sekondari ya bweni wavulana tu. Wasichana na baadhi ya wavulana day! Karibu na bwalo la chakula kulikuwa na duka la shule! Sasa enzi hizo mimi nilikuwa miongoni mwa vijana masharobaro ambao mbele ya wasichana warembo wa day kuonekana unakula ugali maharagwe ilikuwa ni aibu...
  5. Wafanyakazi 12 Shule ya Umoja wa Wazazi CCM walia mishahara, waandika barua kwenda kwa Rais Samia

    Waliokuwa watumishi (wastaafu) na ambao bado ni watumishi wakiwemo Walimu katika Shule ya Sekondari Bulima, iliyoko Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, inayomilikiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Jumuiya ya Wazazi ya Chama hicho (UWT) wamelalamikia kutolipwa mishahara yao kwa...
  6. Walimu wasotea mshahara miaka 11 Shule ya Wazazi CCM

    Watumishi 14 wakiwamo walimu wa shule ya Jumuiya ya Wazazi ya CCM), Bulima Sekondari iliyopo Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, wamekuwa katika sintofahamu baada ya shule hiyo kubinafsishwa bila kupewa taarifa. Aidha, walimu hao wamekuwa na madai matatu dhidi ya mwajiri wao ambayo ni barua ya...
  7. L

    Kwa hizi mvua zinazoendelea ni bora shule zifungwe kwa muda

    Kwa sababu ya mvua hizo kubwa zinazoendelea ni Bora shule kufungwa, hata badhi ya sehemu mahudhurio ni kidogo kuliko kawaida.
  8. Mvua za El nino: Serikali inasubiri nini kufunga shule

    Leo nikiwa napita maeneo mbalimbali nikitokea Dodoma hadi nafika Dar es Salaam naona watoto wadogo njiani wakiwa wameshika viatu huku wakitembea kwenye njia zilizojaa maji, wakinyeshewa, wakiloanishiwa madaftari na vitabu huku wakionesha kujuta kuzaliwa katika jamii iliyo na roho ngumu isiyojali...
  9. Kiengereza kitumike shule za umma tokea msingi mpaka chuo

    Habari zenu. Nimekaa hapa nimewaza Ni kwa Nini elimu yetu kingereza kisitumike kuanzia chekechea mpaka elimu ya juu. Shida Ni Nini yaani Kuna watu wamekaa huko wakaona kuwa maarifa mengi yamevumbuliwa na waswahili ama Ni Nini. Maarifa mengi mno yapo kwa lugha ya KIENGEREZA. Mtoto akifika...
  10. Wazo kwa Mwalimu X shule ya Sekondari Nyiendo Wilaya ya Bunda

    1.Tunajua unajua kucheza na saikolojia za watu Kwa kupiga piga picha na wanasiasa na viongozi wa serikali ili utishe walimu na mkuu wako wa shule kwamba upo karibu na viongozi wakubwa wa serikali na chama.Yaani Huwa ukiona kiongozi wa serikali wazo lako kuu la kwanza ni kumuomba kupiga picha...
  11. D

    Anafungiwa msanii, but not video director na crew nzima. Basata kama shule hawana

    issue ipo hivi, wasanii wanatunga nyimbo, video director na all credited members ndo wanahusika kwenye video FUNNY PART : DIRECTOrs na credited members wao wapo salama. ila msanii anafungiwa. yeye kashooT tu. mtoa idea yupo anaendelea na kazi? why? BASATA ARE SHALLOW : Okay wasanii...
  12. W

    Jiongezeni Wakuu wa Shule; ni kwamba achaneni na habari za mahafali mtapigwa mawe!

    Nasikia wenzenu wamesimamishwa kwa sababu ya 'kuruhusu' wanafunzi kucheza wimbo usio na 'maadili' wa Honey. Saaawa. Kusimamishwa kwao ni ujumbe kwenu mlio madarakani. achaneni na habari za muziki huko mashuleni kwenu. Kuachana na muziki tafsiri yake futeni mahafali, hakuna mahafali ambayo...
  13. B

    Je, prem number ya wanafunzi darasa la pili kwenye shule ya English Medium ambayo bado haijakamilisha usajili zina kubalika kisheria?

    Watoto walikuwa wanasoma kwenye shule ya English Medium nikawapeleka kwenye shule ya kiswahili. Shule ya English Medium hawakunipa uhamisho kwa sababu walikuwa bado wananidao so nikawa nalipa deni lao taratibu ili nikikamilisha wajue prem number za watoto. Now Mungu ameniinua tena kiuchumi...
  14. Chimbuko halisi la migogoro shule ya sekondari Nyiendo

    Kuanzia Mkuu wa shule aliyeifungua Issa Izengo mpaka Mkuu wa shule aliyepokea kijiti chake Erasto Arende, Shule ya Sekondari Nyiendo haikuwahi kuwa kwenye vuguvugu la migogoro mpaka alipoingia mkuu wa shule aliyepo sasa! 1. Philosophy ya kwanza ya mkuu wa shule ni kutopenda kukosolewa na...
  15. Bilioni 1.8 za Mradi wa BOOST Zakamilisha Ujenzi wa Shule 2 Mpya na Madarasa 25 Halmashauri ya Ushetu.

    Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga, Mhe. Dkt. Emmanuel Cherehani amesema kuwa jumla ya Shilingi Bilioni 1.8 za mradi wa BOOST zimetumika kukamilisha ujenzi madarasa 25 na Shule mpya 2 ikiwa ni Shule ya Msingi Shilabela Iliyopo Kata ya Ulewe Ushetu na Shule ya Msingi Kona Nne iliyopo...
  16. Jeshi la Polisi Mwanza fanyeni ukaguzi wa magari ya shule ili mabovu muyaondoe barabarani

    Kwa mara kadhaa nimekuwa nikikutana na magari specific kwa ajili ya kubeba wanafunzi jijini Mwanza yakiwa mabovu haswaaa. Saa nyingine nakuwa najiuliza hivi Trafic barabarani hawayaoni?'. Unakuta gari hata indicator hazifanyi kazi ila lipo barabarani. Kuna siku gari ya wanafunzi ilikuwa...
  17. Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda jitafakari kama kiti kinakutosha

    God is Good ndio salamu yako maarufu unayoitumia wakati wa kufungua vikao vya shule utafikiri ulizaliwa altareni!Dalili zako za kufeli zilianza mapema sana na bado unaendelea tu kufeli japo uongozi wa juu pengine unakuonea huruma. 1. Baada ya taarifa za awali kuonyesha mwalimu wa kiume...
  18. Tunduma: Wakuu wa shule wavuliwa nyadhifa kisa wimbo wa Zuchu (Honey)

    Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo. Amesema hayo nje ya Bunge...
  19. Waliosoma shule ya msingi KIJENGE 1980's

    Karibuni tukutane hapa. Kuna nyimbo tulikuwa tukiimba. Hamisi nyalo tunakuaga toka darajani...jamani eerhh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…