WANAUME MNAOPELEKA SHULE WATOTO WENU: Njooni hapa, DNA muhimu.

mr Dude

Member
Jun 14, 2023
43
116
DNA muhimu Vijana.
Kama mwanaume unaanzaje kumuamini KE uliyekutananae ukubwani, Yani anakuambia mtoto ni wako na wewe ME unaamini, Ni mistake kubwa sana ME sisi tunafanya, Hutakiwi kumuamini mtu uliyekutanane ukubwani

Hata akiwa mkeo
Ni makosa makubwa ME tunafanya
IMG-20240106-WA0038.jpg
 
Wanaume tuzingatie kupima DNA, Kupima siyo ghali ukiwa na milioni moja unapima tuu fresh.. kwenye controal namba unalipa wewe na mtoto 200k , nyingine una mpa mwanasheria na nyingine inabaki hela ya nauli pamoja naya kununulia panga jipya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom