Accounting Software kwa ajili ya shule

DOKEZO

JF-Expert Member
Jan 17, 2014
322
486
Habari wakuu.

Samahani nina shule inayojishughulisha na utoaji elimu kwa watoto wa chekechekea.Ni mpya imeanza mwaka huu.Kutokana na plan za muda mrefu zilizopo nahitaji kuweka mifumo mbalimbali angali bado mapema.

Naomba kujuzwa mifumo ya kihasibu inayotumika mashuleni hasa nursery and primary school.

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom