Alicho kipost Julius Mtatiro kuhusu wazazi wenye watoto wanaosoma shule za English Mediums

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,121
27,128
Hili ni dongo la kiutu uzima mjue? Linasadifu uhalisia kwenye jamii yetu..

Halafu ndugu zangu wabongo mbona mnapenda kujistress sana aisee???

Wabongo tunakuwaga na ujinga mwingi sana.

Kuna wabongo huwaga wana amini mtu mzima lazima uwe na mawazo mawazo hivi na stress ndio maana wanapenda kujistress kwa sababu ambazo hazina kichwa wala miguu.

Ishi na kanuni hii👇

If your money is not bigger enough to buy you a house, then you have to eat that money.

English Medium ambayo at least unatakiwa kumpeleka mtoto wako ni ile inayo toza ada ya kuanzia at least sh.milioni kumi kwa mwaka na iwe chini ya taasisi. Lakini hizi za kulipa milioni moja na nusu mpaka 3 kwa mwaka au laki tatu kila baada ya miezi mitatu ma zenye kumilikiwa na kina Mr. And Mrs. MUGETTA , ni Kayumba zilizo changamka.. Yani nilipe hela mtoto wangu asomeshwe kiingereza na mtu ambae anaongea kiswahili kama lugha yake ya mawasiliano + kiingereza sio lugha yake ya kwanza? 🤣🤣🤣

Mwisho wa siku unaishia kumsumbua mtoto wako to atakapofika chuo kikuu. Atanyimwa mkopo na wewe hautokuwa na uwezo wa kulipa hayo mamilioni ya chuo..

To be honest, Hizi English Mediums ni kama brands tu na kumsomesha mtoto wako hasa mtoto wa kike kwenye shule hizo ni sawa na " ku mbrand tu" 🤣🤣🤣

Kwa wewe baba ambae bado hujasanuka let me remind you of one thing 👇

The most biggest challenge of being a father is that everyone want it NOW.

The children want to eat now. The children need to go to the hospital now. Their mother want to saloon Now. Their mother want you to have sex with her now. Etc.

Everything about a father is revolving around the word NOW.

And NOW

1. The schools are opened now.

2. Your children want to go to school now.

3. Your wife want to call her friends now boosting yo them ,that you have finished paid for the school fees.

4. And the teachers need the money now.

5. If you don't pay the money now.

6. Your children won't be allowed to go school now.

WHAT ARE YOU WAITING NOW GO AND PAY THE SCHOOL FEES NOW
 
Attachments

  • Screenshot_20240105-201813.png
    Screenshot_20240105-201813.png
    91.8 KB · Views: 11
English Medium ambayo at least unatakiwa kumpeleka mtoto wako ni ile inayo toza ada ya kuanzia at least sh.milioni kumi kwa mwaka na iwe chini ya taasisi. Lakini hizi za kulipa milioni moja na nusu mpaka 3 kwa mwaka au laki tatu kila baada ya miezi mitatu ni Kayumba zilizo changamka.
Functional Illiteracy inamsumbua aliyetoa hoja za namna hii. Ni hoja ambazo ndani yake kuna fikra za KIMASIKINI na KEJELI.

Kama ametoa kwa KEJELI hakuna tatizo sana, ila kama ni hoja serious basi mtoa hoja ni Zero Brain.
 
Hili ni dongo la kiutu uzima mjue? Linasadifu uhalisia kwenye jamii yetu..

Halafu ndugu zangu wabongo mbona mnapenda kujistress sana aisee???

Wabongo tunakuwaga na ujinga mwingi sana.

Kuna wabongo huwaga wana amini mtu mzima lazima uwe na mawazo ndio maana wanapenda kujistress kwa sababu ambazo hazina kichwa wala miguu.

Ishi na kanuni hii👇

If your money is not bigger enough to buy you a house, then you have to eat that money.

English Medium ambayo at least unatakiwa kumpeleka mtoto wako ni ile inayo toza ada ya kuanzia at least sh.milioni kumi kwa mwaka na iwe chini ya taasisi. Lakini hizi za kulipa milioni moja na nusu mpaka 3 kwa mwaka au laki tatu kila baada ya miezi mitatu ma zenye kumilikiwa na kina Mr. And Mrs. MUGETTA , ni Kayumba zilizo changamka.. Yani nilipe hela mtoto wangu asomeshwe kiingereza na mtu ambae anaongea kiswahili kama lugha yake ya mawasiliano + kiingereza sio lugha yake ya kwanza? 🤣🤣🤣

Mwisho wa siku unaishia kumsumbua mtoto wako to atakapofika chuo kikuu. Atanyimwa mkopo na wewe hautokuwa na uwezo wa kulipa hayo mamilioni ya chuo..

To be honest, Hizi English Mediums ni kama brands tu na kumsomesha mtoto wako hasa mtoto wa kike kwenye shule hizo ni sawa na " ku mbrand tu" 🤣🤣🤣

Kwa wewe baba ambae bado hujasanuka let me remind you of one thing 👇

The most biggest challenge of being a father is that everyone want it NOW.

The children want to eat now. The children need to go to the hospital now. Their mother want to saloon Now. Their mother want you to have sex with her now. Etc.

Everything about a father is revolving around the word NOW.

And NOW

1. The schools are opened now.

2. Your children want to go to school now.

3. Your wife want to call her friends now boosting yo them ,that you have finished paid for the school fees.

4. And the teachers need the money now.

5. If you don't pay the money now.

6. Your children won't be allowed to go school now.

WHAT ARE YOU WAITING NOW GO AND PAY THE SCHOOL FEES NOW
Snitch kazini....jeuri hiyo umeipata baada snitch wenzako upinzani ukawauza una price tag leo unaweza kutamba na kutukana hivyo...shame on U.....somesha watoto amvao sio wako....ndio dawa pekee iliyobakia.....shame on U
 
Mkuu mbona kama una stress sana mkuu. 🤣🤣🤣Tunauza pay in slips
 
Ada huwa nalipa by Oct....Nov ...mimi Dec huwa likizo time na familia.....ada sijawahi kuwa stressed hata siku moja...watoto 4...ada yao...20mil kwa mwaka...nimelipa nusu....end June namaliza....namjua huto boya...ndio nimemjibuuu
Anasomesha Kayumba ama?
 
Mwisho wa siku unaishia kumsumbua mtoto wako to atakapofika chuo kikuu. Atanyimwa mkopo na wewe hautokuwa na uwezo wa kulipa hayo mamilioni ya chuo..
Kwake yeye ni jambo la sifa kuona serikali inatoa mikopo ya elimu ya juu kwa kuangalia status ya muombaji?

Kwa maana aliyesoma shule ya kulipia akoseshwe haki hiyo mbele ya aliyesoma shule ya nyerere sekondary school bila ya kujali performance yao.

Dotard
 
Ada huwa nalipa by Oct....Nov ...mimi Dec huwa likizo time na familia.....ada sijawahi kuwa stressed hata siku moja...watoto 4...ada yao...20mil kwa mwaka...nimelipa nusu....end June namaliza....namjua huto boya...ndio nimemjibuuu
Hao watoto wako unaowalipia million 20 am sure ,watakuja kukutana na waliosoma st kayumna pale Nkrumah hall UDSM ,na watamaliza chuo watakutana kwenye dashboard ya ajira portal kuomba ajira utumishi ,watasugua Sana miguu kwenda udom kufanya interview.....

Najua saizi unawaona kama next Samia suruhu ,au next JPM ,au next kasimu majaliwa

This life is meaningless
 
Back
Top Bottom