shule

  1. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Wazazi wa wanafunzi Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA, tumechoka na Michango, Rushwa, Utumikishwaji wa watoto wetu shuleni

    Hii ni Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA iliyoko Kata Katerero Wilaya ya Bukoba Vijijini, Mkoani Kagera. Wazazi wa wanafunzi wa shule hii wameandika Barua kwa Rais Samia Suruhu Hassan, Waziri Mkuu na Waziri wa Elimu wakitaka kusaidiwa kutokana na kile wanachoeleza wamechoka na michango, rushwa ...
  2. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Mkuu wa shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda ila hebu tupia jicho ila hili limetia doa

    Awali wakati tunaanza kulalamikia mambo kadhaa kadhaa hapo shuleni, baadhi waliamini ni chuki binafsi, vita ya kugombania madaraka, watu kukosa fursa, n.k. Lengo letu halikuwa baya. Kwa wafuatiliaji wa mitandao, tumefanya haya kukosoa na kupongeza taasisi mbalimbali nchini, mfano St. Mathew...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa Wizara ya Elimu; Walimu wa hisabati shule za msingi hawapo

    Uhakika wa uchunguzi uliofanywa ktk shule za mkoa wa Dar es salaam ulio na walimu wengi umeibua chanzo kikubwa cha kufeli kwa wanafunzi somo la hisabati katika matokeo ya mtihani wa taifa kuwa ni uhaba mkubwa Sana wa walimu wa somo la hisabati ambapo walimu karibia wote wanaofundisha somo la...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ufisadi shule ya Arusha primary school

    Shule ya Arusha primary ni moja kati ya shule kongwe sana nchini Tanzania zinazofundisha kwa lugha ya kiingereza. Ilianza rasmi mwaka 1932. Shule hii ambayo kwa sasa ipo chini ya Jiji , miezi ya karibuni imekuwa na mabadiliko mazuri ya kitaaluma, na kiutendaji, chini ya mwalimu mkuu Ridhiwan...
  5. emmarki

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kutokomeza mimba kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari

    Mimba kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari limekuwa suala endelevu hadi serikali imebidi kuanzisha utartibu wa kuwarudisha shuleni baada ya kujifungua. Je kumekosekana mwarobaini wa hili tatizo? Wewe kama mdau bainisha mbinu au mikakati mizuri inayoweza kutumika kupunguza au kutokomeza...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ni zaidi ya miaka 20 sasa somo la Hisabati linakuwa la mwisho katika ufaulu shule za msingi na sekondari. Nani alaumiwe?

    Habari! Nilikuwa nikipiga survey matokeo darasa la saba . La haula , katika shule za setikali taktibani 6 nilizoangalia sijaona A ya hesabu. Somo la Kiswahili kama kawaida yake ni miaka zaidi ya 40 ndilo linaongoza kufaulisha. Sasa somo la Kiswahili la nini zama hizi? Setikali imeshindwa...
  7. Msanii

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI kushughulikia miundombinu ya shule za umma liangaliwe upya

    Hujambo ndugu? Nimetafakari kwa kina uamuzi wa serikali kuziweka shule za umma chini ya usimamizi wa TAMISEMI hususan miundombinu yao ninaona ni uamuzi unaohitaji kupitiwa upya. Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mujibu wa ibara 1415 na 146 za Katiba ya JMT (nimenakili hapa...
  8. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kusherekea kutimiza miaka 23, Zuchu atoa kompyuta 5 shule yake ya zamani

    Wasanii wana kitu cha kujifunza kutoka kwa Zuchu. Bata kidogo na misaada kidogo. Wakati akisherekea kutimiza miaka 23 ya kuzaliwa,Zuchu amemtuma chawa baba Levo maeneo ya zanzibar kupeleka kompyuta 5 kwenye shule yake ya zamani zikawasaidie katika uchapaji wa mitihani. Happy birthday Zuchu.
  9. Bull Bucka

    JamiiForums Tanzania Bila umeme kwenye shule za Serikali tutaendelea kubaki nyuma kidigitali

    Ujumuishaji wa kidigitali katika sekta ya elimu ni suala linalokubalika kuwa na umuhimu mkubwa katika kuleta mageuzi ya kielimu na kufanikisha maendeleo ya kitaifa. Hata hivyo, ni dhahiri kuwa mchakato huu utachukuwa muda mrefu kufikia mafanikio makubwa hapa nchini kwetu. Kuna changamoto kadhaa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Jukumu la kufanya usafi kwenye mazingira ya shule ni la nani?

    Wakuu, Nani ana jukumu la kuweka mazingira ya shule safi? Ni walimu, wanafunzi au watu maalum wa kufanya usafi? Shule hasa za serikali wanafunzi ndio huwa wanakuwa na jukumu la kufanya usafi kwenye mazingira ya shule kwa kufagia uwanja, ofisi za walimu, kusafisha vyoo na hata wakipewa adhabu...
  11. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Nashauri shule zote zifutwe ili kukuza ajira

    Huko Tanganyika unaweza ukasoma miaka na miaka mpaka mgongo ukapinda, halafu ukimaliza kusoma unaambiwa kawe KONDAKTA. Na usiombe uwe kondakta mwenye digriii, utasimangwa mpaka na sisimizi. Ukikodoa jicho unaona kila mtu anakuzomea. Unaamua kuvaa miwani myeusi. Utafiti wa kitaalamu unaonesha...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Case Study: Kama kwenu hakuna wafanyabiashara, komaa na shule, Biashara iwe ni Plan B, Usiige wengine bila kufikiria hali ya kwenu

    kwenye familia / ndudu zako wa karibu kukiwa na watu waliofanikiwa kwa kufanya biashara inakuwa rahisi kwa wengine kuingia kwenye biashara tofauti na wale wasio na familia au ndugu walifanikiwa kibiashara, sisemi kuwa Huwezi kufanikiwa kabisa bila kuwa na historia ya biashara kwenye familia...
  13. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Je, mliomaliza shule pamoja miaka ya nyuma bado mnaendelea kuwasiliana?

    Kama jibu ni ndio funguka hapa huwa mnasaidiana kwa vipi au kwenye mambo gani? Pia kama mmeishia kusababishiana presha na vichomi tu, funguka ilikuwaje? Funguka upone
  14. Objective football

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wasakata kabumbu maarufu nchini, mimi nikiwa shule ya msingi huko mkoani!

    1.Nurdin Bakari 2.Abdi Kassim Babi 3.Joseph Kaniki 4. Niko Nyagawa 5. Fredrick Mbuna 6. Juma Jabu JJ 7. Meshack Abel 8.Shamte Ali 9. Said Bahanuzi 10.Emmanuel Gabriel Mwakyusa 11.Mrisho Khalfani Ngasa Hawa wakongwe nataka kujua kwa sasa wako wapi! je vilabu vina thamini mchango wao kwenye soka.
  15. DolphinT

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wafanyakazi Shule Maarufu Tabata- Dar es Salaam Kugoma Muda Wowote

    Hizi ni tetesi zilifika hivi punde kwamba wafanyakazi katika shule maarufu huko Tabata Dar es Salaam kugoma muda wowote kuanzia sasa hali inayotishia kuhatarisha zoezi linaloendlea la mitihani ya kitaifa wakitaka kuushinikiza Ungozi wa shule na menejiment kusikiliza kero zao za muda mrefu ambazo...
  16. Kabewa

    JamiiForums Tanzania Ilala Dar: Watoto watembea kilomita 15 kufuata elimu

    Watoto wadogo wa shule za msingi Msongola, Yangeyange na Msongola Mpya kata ya Msongola wilaya ya Ilala waishio Chakenge Richmond, na Yangeyange wamekuwa wakipata adha kubwa ya kutafuta elimu kwa kutembea kwa zaidi ya Km 15 kwenda katika shule za Msongola, Yangeyange na Msongola Mpya ambapo...
  17. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Kufeli Mitihani siyo kufeli maisha

    Nikiwa katika matembezi mara nikasikia mlio wa honi ya gari kugeuka nakutana na jamaa niliyesoma naye darasa moja, [Class mate] Aliposhusha kioo cha gari na kunisabahi, Nikabaki nashangaa, Jamaa kwa muonekano wa haraka haraka yupo vizuri kiuchumi, Mavazi ya gharama na Micheni ya dhahabu...
  18. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Hongera mkuu wa shule ya sekondari Migungani-Bunda

    Ukifika shule hii unaweza fikiria ni private kwa jinsi walivyoipangilia! Namna tu walivyopanda maua, usafi na nidhamu kwa ujumla utabaini walimu wapo kitimu zaidi na hawana mgawanyiko! Well done Headmaster,Mr Boaz! Well done Migungani secondary school, the heaven of Bunda!
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hali ni tete katika Shule ya Sekondari Nkuhungu Mkoani Dodoma, Walimu malalamiko, Wanafunzi vilio

    Hali ni tete katika Shule ya Sekondari Nkuhungu Mkoni Dodoma, Walimu malalamiko, Wanafunzi vilio. Shule ya Sekondari Nkuhungu Mkoani Dodoma inakabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo zimelalamikiwa na Wanafunzi na Walimu shuleni hapo. Shule hiyo ya binafsi ipo Kilometa 10 kutoka katikati...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Reuben Nhamanilo Aiomba Serikali Kuongeza Nguvu kwa Wananchi katika Ujenzi wa Shule za Msingi Handeni Mjini

    "Je, ni lini Serikali itamaliza mgogoro wa mpaka kati ya Handeni na Kilindi katika eneo la Bondo" - Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo Reuben Nhamanilo, Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini "Serikali imekwishatatua mgogoro wa mpaka kati ya Halmashauri ya Handeni na Kilindi katika eneo la Bondo kwa...
Back
Top Bottom