Sheria za kutoruhusu Mapadre na Masista kushiriki tendo zinachukulia cheo kina zima viungo?

R-K-O

JF-Expert Member
Jun 27, 2023
482
2,138
Tumbo limeumbwa likipata njaa mtu anatafuta chakula apunguze njaa, Yes kuna kufunga lakini sio moja kwa moja, labda iwe ni muujiza wa nguvu za ziada nje ya uumbaji wetu.

Hamu ya kutaka kusex kwa mwanaume asie hanithi huwa haipekiki bila kujali ni mkimya kiasi gani, ni mstaarabu kiasi gani. hii ni kama njaa hata manabii hao waliokuwa wakiendeleza kizazi walikuwa wanafanya tendo hili, Yesu siwezi kumuingiza hapa maana hata mimba yake ilivyopatikana ni miujiza ndio maana haishangazi aliweza kukaa na njaa siku nyingi na aliweza kuishi bila tamaa ya sex, aliumbwa kitofauti kabisa.

Sasa kwa hawa wenzetu wakuitwa mapadri ambao wanakula viapo kwamba hawawezi kuja kufanya sex maisha yao yote, huu huwa ni unafki au?

Hivi mwanaume rijali viungo vinafanya kazi kabisa bila tatizo, unaweza kukaa na kiwanda hicho kwa miaka?, hebu tuacheni kukashifu nature ya uumbaji wetu.

Na si ajabu ndio maana watu hawa wanajaribu sana kujificha ila wanaumbuka huko mitaani kuwapangia vimada wao vyumba na nyumba na mwisho wa siku kuwazalisha, wengine washakuwa maarufu kuhudhuria gesti.
 
Sex haikwepeki ahaaa hapa kati. sehemu ya ajabu sanaaa unaweza kuwa na akili ila kukosa hilo tendo . unafeli class. unakuwa na hofu ila siku.ukipata kila kitu kinakuwaa sawa
 
Waambie waambie waambie
Alikiba anasema ile kitu ni kama chakula tuu
 
Useja ndo hasa msingi Wa mtawa Yeyote..!

Ni hiari kuwa Mtawa, Unaweza pia kumtumikia Mungu Wako kwa Madaraja Mengine matakatifu kama ndoa n.k.

Sio lazima uwe Padre..!

Na Kwa nguvu zake Mwenyezi Mungu kanisa limesimama Imara mpaka Leo pamoja na Changamoto kali za Ulimwengu huu.
 
Kuna sister mmoja alikuwa ananikubali yaani akiniona tu ananiita mchumba na mama anamwita mkwe, nilikuwa najua utani sasa imepita miaka kama mitano nashangaa natafutwa na anataka kupigwa mashine nilivunga tu, nahisi nikimpiga atanipa mali maana yupo kitengo kikubwa
 
Kwaio bado hujapeleka moto
 
Tumbo limeumbwa likipata njaa mtu anatafuta chakula apunguze njaa, Yes kuna kufunga lakini sio moja kwa moja, labda iwe ni muujiza wa nguvu za ziada nje ya uumbaji wetu.

Hamu ya kutaka kusex kwa mwanaume asie hanithi huwa haipekiki bila kujali ni mkimya kiasi gani, ni mstaarabu kiasi gani. hii ni kama njaa hata manabii hao waliokuwa wakiendeleza kizazi walikuwa wanafanya tendo hili, Yesu siwezi kumuingiza hapa maana hata mimba yake ilivyopatikana ni miujiza ndio maana haishangazi aliweza kukaa na njaa siku nyingi na aliweza kuishi bila tamaa ya sex, aliumbwa kitofauti kabisa.

Sasa kwa hawa wenzetu wakuitwa mapadri ambao wanakula viapo kwamba hawawezi kuja kufanya sex maisha yao yote, huu huwa ni unafki au?

Hivi mwanaume rijali viungo vinafanya kazi kabisa bila tatizo, unaweza kukaa na kiwanda hicho kwa miaka?, hebu tuacheni kukashifu nature ya uumbaji wetu.

Na si ajabu ndio maana watu hawa wanajaribu sana kujificha ila wanaumbuka huko mitaani kuwapangia vimada wao vyumba na nyumba na mwisho wa siku kuwazalisha, wengine washakuwa maarufu kuhudhuria gesti.
Kwani kuwa padre na sister ni Jambo la lazima????

Mbona ni hiari na hakuna anayeficha masharti.

Kila mtu anajua na watu kwa kunua kwao wao wenyewe wanaamua kujiingiza kwenye upadre na usister.
 
Tumbo limeumbwa likipata njaa mtu anatafuta chakula apunguze njaa, Yes kuna kufunga lakini sio moja kwa moja, labda iwe ni muujiza wa nguvu za ziada nje ya uumbaji wetu.

Hamu ya kutaka kusex kwa mwanaume asie hanithi huwa haipekiki bila kujali ni mkimya kiasi gani, ni mstaarabu kiasi gani. hii ni kama njaa hata manabii hao waliokuwa wakiendeleza kizazi walikuwa wanafanya tendo hili, Yesu siwezi kumuingiza hapa maana hata mimba yake ilivyopatikana ni miujiza ndio maana haishangazi aliweza kukaa na njaa siku nyingi na aliweza kuishi bila tamaa ya sex, aliumbwa kitofauti kabisa.

Sasa kwa hawa wenzetu wakuitwa mapadri ambao wanakula viapo kwamba hawawezi kuja kufanya sex maisha yao yote, huu huwa ni unafki au?

Hivi mwanaume rijali viungo vinafanya kazi kabisa bila tatizo, unaweza kukaa na kiwanda hicho kwa miaka?, hebu tuacheni kukashifu nature ya uumbaji wetu.

Na si ajabu ndio maana watu hawa wanajaribu sana kujificha ila wanaumbuka huko mitaani kuwapangia vimada wao vyumba na nyumba na mwisho wa siku kuwazalisha, wengine washakuwa maarufu kuhudhuria gesti.
Kila kitu kipo kwenye Biblia soma Mathayo sura yote ya 19 kuanzia mstari wa 1 hadi 15 ni maneno yake Yesu mwenyewe.

Wanafunzi wake wakamwambia, Mambo ya mtu na mkewe yakiwa hivyo, haifai kuoa.
11 Lakini yeye akawaambia, Si wote wawezao kulipokea neno hili, ila wale waliojaliwa.
12 Maana wako matowashi waliozaliwa hali hiyo toka matumboni mwa mama zao; tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi; tena wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea neno hili, na alipokee.

Hiyo ni KARAMA watu wa namna hiyo huwa wanaona mke/mume kwao si kitu cha thamani kubwa sana kama kuwa tu karibu na Mungu. Hawajilazimishi wala kutumia nguvu nyingi kufanya hivyo, tofuati na wengi wanavyodhani. Mwanamke aliyejitoa kwa Mungu, kaamua kutojishughulisha na mambo ya mume, huyo naye anatafsirika kama towashi.
 
Mpka kuitwa Padri si jambo dogo kuna Maandalizi mengi sana kuwaandaa kisaikoji ndio maana inachukua miaka mingi pia mpka kufika daraja hili. Kabla hujaleta maada ishugulishe akili yako kdgo kwa kutafuta maarifa hii itakusaidia sana
 
Tumbo limeumbwa likipata njaa mtu anatafuta chakula apunguze njaa, Yes kuna kufunga lakini sio moja kwa moja, labda iwe ni muujiza wa nguvu za ziada nje ya uumbaji wetu.

Hamu ya kutaka kusex kwa mwanaume asie hanithi huwa haipekiki bila kujali ni mkimya kiasi gani, ni mstaarabu kiasi gani. hii ni kama njaa hata manabii hao waliokuwa wakiendeleza kizazi walikuwa wanafanya tendo hili, Yesu siwezi kumuingiza hapa maana hata mimba yake ilivyopatikana ni miujiza ndio maana haishangazi aliweza kukaa na njaa siku nyingi na aliweza kuishi bila tamaa ya sex, aliumbwa kitofauti kabisa.

Sasa kwa hawa wenzetu wakuitwa mapadri ambao wanakula viapo kwamba hawawezi kuja kufanya sex maisha yao yote, huu huwa ni unafki au?

Hivi mwanaume rijali viungo vinafanya kazi kabisa bila tatizo, unaweza kukaa na kiwanda hicho kwa miaka?, hebu tuacheni kukashifu nature ya uumbaji wetu.

Na si ajabu ndio maana watu hawa wanajaribu sana kujificha ila wanaumbuka huko mitaani kuwapangia vimada wao vyumba na nyumba na mwisho wa siku kuwazalisha, wengine washakuwa maarufu kuhudhuria gesti.
1Wakorintho 7:32 “Lakini nataka msiwe na masumbufu. YEYE ASIYEOA hujishughulisha na mambo ya Bwana, ampendezeje Bwana;

33 bali yeye aliyeoa hujishughulisha na mambo ya dunia hii, jinsi atakavyompendeza mkewe.

34 Tena iko tofauti hii kati ya mke na mwanamwali. YEYE ASIYEOLEWA HUJISHUGHULISHA NA MAMBO YA BWANA, APATE KUWA MTAKATIFU MWILI NA ROHO. Lakini yeye aliyeolewa hujishughulisha na mambo ya dunia hii, jinsi atakavyompendeza mumewe”.
 
Hatujui sheria zao ni nini. Kwa hiyo siyo rahisi kucomment.
Nilikuwa napita muda mchache uliopita Buguruni na nikawaona hawa watoto wa shule wametoka shule,wanaelekea nyumbani,wamesimama kujadiliana. Watoto hawa darasa la sita au la saba. Mvulana mmoja,wengine wasichana ,wanaongea kuhusu "shahawa". Nilitamani sana kuwauliza wanaongea nini kuhusu shahawa,ni somo wametoka kujifunza darasani sasa hivi au vipi ?
Katika dini ya Buddha kuna mazungumzo mengi sana kuhusu shahawa na jinsi inavyoweza kuthibitiwa ili mtu awe mseja.
Inahusu concentration on the chakras. Shahawa ikitaka kutoka,flow yake inakuwa reversed,inarudi juu. Kwa hiyo hawa watu quite deliberately,wanakuwa waseja.
Lakini sometimes sheria zao zinakuwa namba hii;kwamba ile sheria wataifuata katika radius ya maili ishirini. Kwa hiyo huyo padre akienda giko nje ya Jiji akafanya ufuska,we utamwita mnafiki,lakini labda yeye atakuwa anafuata sheria yake.
Kama wale masista nadhani canon law inawaruhusu kufanya sex na mawaziri au wabunge. Nimesoma kitu kama hicho katika Canon law . Nasema "nadhani",nisije nikajiletea vita.
 
Back
Top Bottom