Mbeya: Hukumu kesi ya IGA itasababisha mabadiliko makubwa ya sheria zetu miaka 3-8 ijayo.

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,224
12,945
Maamuzi ya kesi ya kupinga mkataba wa IGA yanayotarajiwa kutolewa kesho nayaona yakienda kubadilisha upepo wa kisiasa, ni Maamuzi mazito ambayo yataenda kubadili Katiba na Sheria zetu nyingi na kupelekea viongozi kushtakiwa kwa jinai na kuliingiza Taifa katika hasara kubwa kwa kuingia mikataba mibovu isiyo na tija kwetu ila ina tija kwa mataifa mengine.

Moja ya changamoto kuu ambayo hukumu hii ikitoka itayumbusha Taifa letu ni shtaka la kama mchakato wa kuipata DP World ulizingatia sheria ya manunuzi ya umma (Public Procurement Act)?

*Mawikili wa Serikali katika kujitetea kwao pale Mahakmani wao walibainisha kuwa mkataba ulikuwa kati ya nchi na nchi na hivo haikuwa na maana yoyote kutumia sheria hii ya Public Procurement Act! Ijapokuwa ni kweli ni mkataba kati ya Tanzania na Dubai ila bado kuna kitu unaweza ukadhani kuwa kuna uwezokano kubwa kuwa ililazimishwa itumike IGA ili kukwepa kutumia sheria ya Public Procurement Act na ndiyo maana ata katika mkataba wenyewe huoni Dubai ikiwa na majukumu yoyote. Je! Maamuzi ya Mahakama yatafunika kombe huyu mwanaharamu apite?

*Ni kweli kuipata DP World haukuzinatia sheria ya manunzi ya umma ila yalikuwa mapendekezo ya Mh Rais mwenyewe mara baada ya kukutana na DP world kwenye maonysesho ya DUBAI EXPO 2020 Yaliyofanyika October 1, 2021 na kuhitimishwa April 31, 2022. Janja iliyotumika hapa Mahakama itaifumbia macho?
Screenshot (22).png

Changamoto ya pili ni pale Mawakili upande wa wallamikaji kuwasilisha hoja kuwa IGA inakiuka Sheria zetu za ndani hasa ili sheria ya Ulinzi wa Rasimali Asili za Taifa (THE NATURAL WEALTH AND RESOURCES (PERMANENTSoVEREIGNTY) ACT,2017)

Sheria ya Ulinzi wa Rasimali Asili za Taifa (THE NATURAL WEALTH AND RESOURCES (PERMANENTSoVEREIGNTY) ACT,2017) inasema inasemaje?
Screenshot (25).png

Screenshot (23).png

Screenshot (24).png

Licha yakuwa Bunge linaenda kufanyia marekebisho sheria hii hasa katika hivo vifungu nilivozungushia ila kimsingi Hukumu inatakiwa kusema ni kweli IGA imekiuka sheria The Natural llealth and Resowces (Permanent Sovereignty) Act, 2017! Je! Mhakama itatamka wazi kuwa Mkataba huu ni Batili?

Licha ya ukiukaji mkubwa wa sheria zetu ili wasaini Mkataba huu, Je! itasabaisha vuuvugu la mabadiliko ya Katiba na Sheria zetu kufikia hatua ya kushtakiwa viongozi ambao wanasaini mikaaba ya aina hii?
1691484390007.png

1691484433154.png

Screenshot (26).png

1691485093943.png

Tuichaie Mahakama iamue kama italisaidia Taifa au italilidimiza kabisa Taifa ila Historia itaandikwa kuwa walioshiriki kuliangamiza Taifa letu ni watu waliopewa dhamana ya kuliongoza Taifa letu.
Pascal Mayalla
 
Maamuzi ya kesi ya kupinga mkataba wa IGA yanayotarajiwa kutolewa kesho nayaona yakienda kubadilisha upepo wa kisiasa, ni Maamuzi mazito ambayo yataenda kubadili Katiba na Sheria zetu nyingi na kupelekea viongozi kushtakiwa kwa jinai na kuliingiza Taifa katika hasara kubwa kwa kuingia mikataba mibovu isiyo na tija kwetu ila ina tija kwa mataifa mengine.

Moja ya changamoto kuu ambayo hukumu hii ikitoka itayumbusha Taifa letu ni shtaka la kama mchakato wa kuipata DP World ulizingatia sheria ya manunuzi ya umma (Public Procurement Act)?

*Mawikili wa Serikali katika kujitetea kwao pale Mahakmani wao walibainisha kuwa mkataba ulikuwa kati ya nchi na nchi na hivo haikuwa na maana yoyote kutumia sheria hii ya Public Procurement Act! Ijapokuwa ni kweli ni mkataba kati ya Tanzania na Dubai ila bado kuna kitu unaweza ukadhani kuwa kuna uwezokano kubwa kuwa ililazimishwa itumike IGA ili kukwepa kutumia sheria ya Public Procurement Act na ndiyo maana ata katika mkataba wenyewe huoni Dubai ikiwa na majukumu yoyote. Je! Maamuzi ya Mahakama yatafunika kombe huyu mwanaharamu apite?

*Ni kweli kuipata DP World haukuzinatia sheria ya manunzi ya umma ila yalikuwa mapendekezo ya Mh Rais mwenyewe mara baada ya kukutana na DP world kwenye maonysesho ya DUBAI EXPO 2020 Yaliyofanyika October 1, 2021 na kuhitimishwa April 31, 2022. Janja iliyotumika hapa Mahakama itaifumbia macho?
View attachment 2711743
Changamoto ya pili ni pale Mawakili upande wa wallamikaji kuwasilisha hoja kuwa IGA inakiuka Sheria zetu za ndani hasa ili sheria ya Ulinzi wa Rasimali Asili za Taifa (THE NATURAL WEALTH AND RESOURCES (PERMANENTSoVEREIGNTY) ACT,2017)

Sheria ya Ulinzi wa Rasimali Asili za Taifa (THE NATURAL WEALTH AND RESOURCES (PERMANENTSoVEREIGNTY) ACT,2017) inasema inasemaje?
View attachment 2711784

View attachment 2711766

View attachment 2711775

Licha yakuwa Bunge linaenda kufanyia marekebisho sheria hii hasa katika hivo vifungu nilivozungushia ila kimsingi Hukumu inatakiwa kusema ni kweli IGA imekiuka sheria The Natural llealth and Resowces (Permanent Sovereignty) Act, 2017! Je! Mhakama itatamka wazi kuwa Mkataba huu ni Batili?

Licha ya ukiukaji mkubwa wa sheria zetu ili wasaini Mkataba huu, Je! itasabaisha vuuvugu la mabadiliko ya Katiba na Sheria zetu kufikia hatua ya kushtakiwa viongozi ambao wanasaini mikaaba ya aina hii?
View attachment 2711788
View attachment 2711790
View attachment 2711803
View attachment 2711802

majaji ni wateule wa rais hivyo hakuna hukumu hapo ni kutekeleza maelekezo ya ikulu
 
Uzuri ni kwamba bunge like lile lililotunga sheria ya ulinzi wa rasilimamli za taifa ndio hilohilo lililopitisha makubaliano ya IGA.Kwa ufupi hata hiyo serikali haijui inataka kufanya nini.Uwezo wa CCM umepungua Sana kilichobaki ni vurugu tu
 
Maamuzi ya kesi ya kupinga mkataba wa IGA yanayotarajiwa kutolewa kesho nayaona yakienda kubadilisha upepo wa kisiasa, ni Maamuzi mazito ambayo yataenda kubadili Katiba na Sheria zetu nyingi na kupelekea viongozi kushtakiwa kwa jinai na kuliingiza Taifa katika hasara kubwa kwa kuingia mikataba mibovu isiyo na tija kwetu ila ina tija kwa mataifa mengine.

Moja ya changamoto kuu ambayo hukumu hii ikitoka itayumbusha Taifa letu ni shtaka la kama mchakato wa kuipata DP World ulizingatia sheria ya manunuzi ya umma (Public Procurement Act)?

*Mawikili wa Serikali katika kujitetea kwao pale Mahakmani wao walibainisha kuwa mkataba ulikuwa kati ya nchi na nchi na hivo haikuwa na maana yoyote kutumia sheria hii ya Public Procurement Act! Ijapokuwa ni kweli ni mkataba kati ya Tanzania na Dubai ila bado kuna kitu unaweza ukadhani kuwa kuna uwezokano kubwa kuwa ililazimishwa itumike IGA ili kukwepa kutumia sheria ya Public Procurement Act na ndiyo maana ata katika mkataba wenyewe huoni Dubai ikiwa na majukumu yoyote. Je! Maamuzi ya Mahakama yatafunika kombe huyu mwanaharamu apite?

*Ni kweli kuipata DP World haukuzinatia sheria ya manunzi ya umma ila yalikuwa mapendekezo ya Mh Rais mwenyewe mara baada ya kukutana na DP world kwenye maonysesho ya DUBAI EXPO 2020 Yaliyofanyika October 1, 2021 na kuhitimishwa April 31, 2022. Janja iliyotumika hapa Mahakama itaifumbia macho?
View attachment 2711743
Changamoto ya pili ni pale Mawakili upande wa wallamikaji kuwasilisha hoja kuwa IGA inakiuka Sheria zetu za ndani hasa ili sheria ya Ulinzi wa Rasimali Asili za Taifa (THE NATURAL WEALTH AND RESOURCES (PERMANENTSoVEREIGNTY) ACT,2017)

Sheria ya Ulinzi wa Rasimali Asili za Taifa (THE NATURAL WEALTH AND RESOURCES (PERMANENTSoVEREIGNTY) ACT,2017) inasema inasemaje?
View attachment 2711784

View attachment 2711766

View attachment 2711775

Licha yakuwa Bunge linaenda kufanyia marekebisho sheria hii hasa katika hivo vifungu nilivozungushia ila kimsingi Hukumu inatakiwa kusema ni kweli IGA imekiuka sheria The Natural llealth and Resowces (Permanent Sovereignty) Act, 2017! Je! Mhakama itatamka wazi kuwa Mkataba huu ni Batili?

Licha ya ukiukaji mkubwa wa sheria zetu ili wasaini Mkataba huu, Je! itasabaisha vuuvugu la mabadiliko ya Katiba na Sheria zetu kufikia hatua ya kushtakiwa viongozi ambao wanasaini mikaaba ya aina hii?
View attachment 2711788
View attachment 2711790
View attachment 2711803
View attachment 2711802
Tuichaie Mahakama iamue kama italisaidia Taifa au italilidimiza kabisa Taifa ila Historia itaandikwa kuwa walioshiriki kuliangamiza Taifa letu ni watu waliopewa dhamana ya kuliongoza Taifa letu.
Pascal Mayalla
ACT wanasemaje?
 
Likimalizika hilo tunahitajia hela inayochotwa na kanisa na kama haitoshi na mkataba wa Muungano.
 
Hakuna kesi hapo kesi ipo mahakamani mnaihubiri kwenye mikutano na kutoa hukumu mikutanoni.
 
Safari ya jana ya Bibie Mbeya huenda mahakama ikatoa maamuzi kulingana na wanavyotaka wenye mpini.
 
MTU ámbaye hatujampigia kura sio Vizuri akauza Mali zetu. Hatujamtuma.
Amewekwa na Katiba Hivyo afuate Katiba .

Hata wabunge waliopo WENGI waliingia kimagumashi. Ivyo Hawana Haki ya kuuza Rasilimali zetu mana hatujawatuma kutuwakilisha.

Huu mkataba usubiri baada ya 2025 Ili aje Rais ámbaye ameomba kura Kwa Wana nchi na atapata nafasi ya Kupiga kampeni ya kuwaambia Wananchi kuwa akichaguliwa atauza bandari na rasilimali zetu Kwa sababu Hana Imani na Wasomi wasomi WETU mana ni vigumu kuwasimamia.
Lakini pia Bunge la 2026 litakua ni Bunge lililotokana na kura halali Hivyo litakua na uhalali Wa kupitisha mkataba halali kihalali.

Suala la DPW limeshaleta mtafaruku unaoleta hisia za Udini ,utanganyika na Uzanzibar Hivyo limapaswa kuachwa mpaka Wananchi wachague wawakilishi Kwa misingi ya kampeni ya kuuza bandari au kutokuuza Wananchi waelewe na wachague wawakilishi Wa kwenda kuuza au kulinda rasilimali zao.
 
Back
Top Bottom