Masharti gani ya ajabu umewahi kupewa na Mwenye Nyumba wako?

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
26,248
53,077
Salamu wakuu, katika maisha wengi tuna pitia au tume pitia mengi, na hasa ukija katika swala la upangaji.

👉Hapa ndo huwa kuna vilio au malalamiko mengi, kutoka pande zote. - Iwe mwenye nyumba au mpangaji.

👉Mimi nili wahi ambiwa ni mwiko kujitenga na wapangaji au familia ya mwenye nyumba😁.
Eti ni lazima Niki wepo nitoke nke ili nizungumze na waliopo- 😁

👉Haya we ni sheria ipi ya ajabu uli wahi pewa na mwenye nyumba?

FB_IMG_16911672354728091.jpg
 
Salamu wakuu, katika maisha wengi tuna pitia au tume pitia mengi, na hasa ukija katika swala la upangaji.
👉Hapa ndo huwa Kuna vilio au malalamiko mengi, kutoka pande zote. - Iwe mwenye nyumba au mpangaji.
👉Mimi nili wahi ambiwa ni mwiko kujitenga na wapangaji au familia ya mwenye nyumba😁.
Eti ni lazima Niki wepo nitoke nke ili nizungumze na waliopo- 😁

👉Haya we ni sheria ipi ya ajabu uli wahi pewa na mwenye nyumba??
View attachment 2708453
Hapa nataka mabachela tu ukiowa ondoka ckutaki
 
Back
Top Bottom