Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,502
- 113,610
Wanabodi
Hii IGA ya DPW Imetusaidia sana kujua mambo mengi, sio tuu imetusaidia kutuonyesha matundu kwe paa la nyumba yetu kwa kutuonyesha panapovuja, pia umetufungua macho kuona tuna wanasheria wa aina gani, wenye uwezo gani, ndio maana tunaingia mikataba ya hovyo!, tukishtuka, tunavunja hiyo mikataba, tunashitakiwa, tunashindwa, tunatozwa tuzo, tunajimwambafy hatulipi!, lakini mwisho wa siku tunalipa kimya kimya kwa siri bila kusema, au kulipishwa kwa nguvu kwa lazima baada ya ndege zetu kushikwa, tunalipa kimya kimya, ndege zinaachiliwa, maisha yaendelee.
Siku zote fani ya sheria ni fani yenye heshima kubwa, it's a white collar job!, wanasheria ni watu smart upstairs, zamani ilikuwa kupata nafasi kusoma sheria ni wale wanafunzi waliofanya vizuri tuu, wenye Div. 1 tuu, ilikuwa ni fani ya vipanga tuu!.
Kufuatia kuongezeka kwa vyuo vikuu vya binafsi nchini, sasa kila mtu anaweza kusomea sheria, sio vipanga tuu, hata vilaza, wanajiunga na vyuo vikuu vya uchochoroni, wanasomea sheria, wanahitimu na kupata LL.B, ila uanasheria wao ni uanasheria wa vyeti, wa makaratasi!, vilaza hawa hawawezi kupenya LST na kuwa mawakili!, ila ni wazuri kwa kuongea!, na wazuri kwa kujipongeza, sasa ndio wanasheria wetu tegemewa kwenye masuala muhimu kama huu mkataba/makubaliano ya IGA ya Bandari.
Wanasheria ni watu smart, wanavalia nadhifu, wanavaa majoho, wanaongea kwa mapozi with lots of pomposity!, hivyo kuna wengi walitamani kuwa wanasheria, hawakuweza!, lakini sasa kupitia hji IGA ya DPW, fani ya sheria is made simple, imedogoshwa in such a way sasa kila mtu anaweza kuwa ni mwanasheria!.
Tuanze na mastori ya kudogosha
JK na Lowassa walikuwa ni vijana wawili marafiki, katika uchaguzi Mkuu wa 1995, walikodi ndege moja pamoja, wakaenda Dodoma pamoja, wakachukua fomu za kugombea urais kupitia CCM, pamoja, wakazitembeza pamoja kutafuta wadhamini, na kuzirejesha pamoja.
Watu wakawabatiza, jina la Boys II Men, mmoja alionekana kama a boy na mwingine a man!.
Katika mchakato wa urais wa 1995, Baba wa taifa hili, Mwalimu Nyerere, akingali hai, alifanya mikutano ya waandishi wa habari na kutaja sifa za rais tunayemtaka, hali iliyopelekea Boys II Men kupungukiwa sofa, hivyo Benjamin William Mkapa akaibuka kidedea kupeperusha bendera ya CCM, na baada ya kuchaguliwa, aliwajumuisha Boys II Men kwenye cabinet yake.
Kuasisiwa kwa Mtandao wa 2005
Baada ya Boys II Men kushindwa uteuzi wa 1995, ili kujiandaa kwa 2005 likaasisiwa an imaginary group lililoitwa "mtandao" likijumuisha watu mbalimbali zikiwemo media, kazi yao ni kuhakikisha a boy ndiye anapenya 2005.
Kufuatia a silent code ya urais ni kupokezana kati ya Muislamu na Mkristo, kwa vile Nyerere alikuwa Mkristo, akaja Mwinyi Muislamu, Mkapa Mkristo, anayefuata baada ya Mkapa ni Muislamu!.
Kufuatia zamu za kupokezana kati ya Bara na Zanzibar, alianza Nyerere-Bara, akaja Mwinyi- Zanzibar, then Mkapa -Bara, hivyo anayefuatia 2005 ni zamu ya Zanzibar na ni zamu ya Muislamu!.
Kazi ya kwanza ya mtandao ni kuipoka Zanzibar haki yake, hivyo yule possible wa Zanzibar, something just happened to him, and he left!.
Dr. Salim alipotupa karata yake, akashughulikiwa perpendicular hadi kutumia picha za photoshop to make believe, 2005 the Boy akaukwaa. Walikubaliana na Man kuwa atakaa just for one term na kumpisha Man!.
The Boy, akaunda serikali ya kishikaji, the Man akafanywa kiranja Mkuu. The Boy akaona urais ni mtamu, kuishia single term kutamkosesha utamu, akaamua kumtosa the Man, wakamuundia zengwe, The Man akaachia ngazi the boy akaendelea kupeta!
Kufuatia the Boy kumaliza full term yake yote, then 2015 kukatokea a scramble ya kugombea urais!, The Boy ameudogosha sana urais!, kuna watu wakajiona kama the Boy ameweza kuwa rais, basi kila mtu anaweza kuwa rais!, wakajitokeza wagombea 62!.
Hiki kinachoendelea kwenye mjadala wa IGA ya DPW na Bandari zetu, kumeidogosha sana fani ya sheria!, sasa kila mtu anajiona ni mwanasheria!.
IGA hii imetusaidia sana kuna wanasheria na mawakili wanao ongea kama ma layman, na wakati huo huo kuna ma layman wanashuka na nondo, wanasheria watasubiri!.
IGA ni barua ya posa kwa DPW kuiposa Bandari yetu!.
Mambo yalianza zamani mwezi February 2022 wakati wa Expo Dubai, kijana shababi Mwarabu wa Dubai, kamuona binti Bandari ya Dar es Salaam, kampenda. Akamwalika Mzazi wa binti kutembelea Dubai wakati wa Expo Dubai, ndipo kijana shababi DPW akatangaza nia ya kumposa binti Bandari Dare Salaama. Nia njema, MoU kati ya Bandari na DPW ikasainiwa Dubai huku mzazi akishuhudia, MoU hiyo ni kumruhusu shababi DPW kuleta barua ya posa.
October 2022 shababi DPW katua nchini na mshenga wake kuleta barua ya posa, IGA.
Mzazi wa binti ni Mama Samia, akamruhusu mjomba mtu Prof. Mbarawa kuipokea barua hiyo ya posa, Mbarawa akaanguka saini yake barua ya posa ikapokelewa ile October 2022.
Mzazi wa binti Bandari, mamie mwali akaipeleka barua hiyo ya posa kwenye kikao cha wanafamia, kuomba ridhaa ya wanafamilia kuridhia barua ya posa ikubaliwe binti Bandari aposwe na Mwarabu wa Dubai. Kikao cha familia, kikaridhia, ndio kile kikao cha Bunge kuridhia IGA.
Baada ya posa kukubaliwa sasa ndio anapangiwa mahari. At this stage IGA ni makubaliano tuu ya kukubali kupokea barua ya posa lakini mahari haijapangwa, haijalipwa!.
Tunaweza kuikata hii IGA na hakuna any legal implications!. Ila baada ya kukubalina mahari, HGA, na shababi DPW akakubali, that is a contract, ikitokea tuka ghairi, hawa jamaa watatushitaki for a legitimate expectations.
IGA ni makubaliano tuu, hauna any legal consequences, HGA ndio mkataba rasmi wenye legal implications.
Hivyo sasa wanasheria sio watu muhimu kivile, anyone and anybody can be mwanasheria, na sio kila mwanasheria aliyesemea sheria ni mwanasheria!, wengine ni wanasheria makaratasi lakini upstairs is an empty shells!.
Paskali

Nakubaliana na wewe, ila lets get to the drawing board ya hii IGA, Watanzania waelimishwe IGA ni nini na ni ya kazi gani,Mkuu Pascal, katika IGA kuna ahadi on both parties ya kutimiza mambo fulani in the future. Ahadi hizo ni executory consideration. Na zisipotimizwa kuna legal consequences.
Amandla...