Maelfu ya watu wameteremka majiani katika miji kadhaa ya India , masaa machache tu baada ya dazeni kadhaa za waandamanaji na maafisa wa polisi kujeruhiwa, machafuko yaliporipuka katika viwanja vinavyozunguka vyuo vikuu.
Sheria ya uraia iliyoidhinishwa wiki iliyopita inawaruhusu wahamiaji ambao...
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha waraka kudhibiti utoro shuleni ambao pamoja na mambo mengine, utapunguza siku na kuwa chini ya 90.
Kauli hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki jijini hapa na Mkurugenzi Msaidizi Msingi na Uendelezaji wa Sera wa Wizara...
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Geneva Uswisi msemaji wa ofisi hiyo Jeremy Laurence amesema “sheria hiyo iliyorekebishwa inataka kuongeza kasi ya mchakto wa uraia kwa makundi ya kidini ya awaliowachahe ikiwataja hususan Wahindu tu, Singasinga, Wabudha, Wajamatini, Waparsis na Wakristo...
Diaspora wengi hasa wa US walikuwa wameanza kutuma pesa zaidi kwasababu ya urahisi wa kutuma pesa. Kwa kutumia hizi Apps. Lakini inaelekea Serikali imeonzeza sana sheria kiasi kwamba inaweza kufanya watu waache kutumia hizi app na kupunguza mapato makubwa kwa nchi.
Maswali ya uraia, kutuma...
Msajili simamia sheria bila uoga
Nimeipitia sheria mpya ya usajili vyama vya siasa. Sheria hii inampa msajili mamlaka ya kusimamia chaguzi ndani ya vyama ili kuhakikisha haki imetendeka, taratibu za kupata viongozi zimefuatwa na demokrasia imezingatiwa katika kupata viongozi.
Kwa utaratibu huu...
Ufaransa imeathiriwa na mgomo mkubwa ambao unafanyika leo wa wafanyakazi katika sekta ya usafiri wa umma. Treni nyingi hazifanyi kazi, shule zimefungwa na wasimamizi wa mnara wa Eiffel wametoa onyo kwa wageni kutozuru eneo hilo; kufuatia maandamano na mgomo dhidi ya mpango wa serikali kuufanyia...
Wataalamu watatu wa sheria nchini Marekani, wameiambia kamati ya masuala ya sheria ya Baraza la Wawakilishi mjini Washington kuwa wanaamini kwa ukamilifu kuwa Rais Donald Trump alifanya matendo yanayokidhi vigezo vya kufunguliwa kesi ya kutimuliwa madarakani.
Maprofesa hao watatu walialikwa na...
Huu ni mtazamo wangu, na mfano wa sheria kama hiyo inaweza kuwa ni kuwazuia wale wote waliokaa nje ya nchi mfululizo kwa kipindu fulani kabla ya tarehe ya uchaguzi, kugombea nafasi kama ya urais au ubunge.
Sheria za aina hiyo zinaweza kutungwa hata kuwabana watu kugombea nafasi za uongozi...
Serikali ya Tanzania imewasimamisha kazi watendaji 20 wa taasisi mbalimbali kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili.
Akizungumza leo Jumatano Novemba 27, 2019 katika jukwaa la 12 la ununuzi wa umma la nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Ashatu...
Kadiri siku zinavyokwenda, uzalendo wa baadhi ya watu kwa nchi yao unazidi kupungua tena bila sababu ya msingi. Baadhi ya watu wamefikia hatua kufurahia mali za serikali zinapozuiwa au kukamatwa nje ya nchi, wengine wanaona fahari kutetea mabeberu wanaonyonya mali za nchi. Haya ni baadhi ya...
Habari wakuu,
Power of Attorney ni kitu ambacho nimekuwa nakutana nacho mara kwa mara. Ni kitu ambacho kwa maoni yangu, si cha kawaida sana Tanzania kama ilivyo nchi za wenzetu. Inawezekana ni desturi yetu au inawezekana pia ni kwasababu wengi wetu hatuna uelewa wa kutosha kuhusu jambo hilo...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, amesema kuwa hadi kufikia Ijumaa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania litaipitisha Sheria inayotoa mamlaka kwa mtu kujipima UKIMWI.
Hayo ameyabainisha leo Novemba 11, 2019 wakati wa ufunguzi wa semina elekezi kwa...
Spika wa bunge mh Job Ndugai ameitaka serikali kuwa makini inapounda timu za kufanya majadiliano ya kimataifa ( negotiations) na kupeleka watu makini badala ya wababaishaji.
Serikali isiangalie tu kuwa huyu ni Mkurugenzi, RC au Katibu bali iangalie sifa zake alipokuwa shule.....peleka watu...
Serikali imewataka watu ambao hawaridhiki na mwenendo wa shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, bado wanayo fursa ya kufungua kesi kwenye Mahakama za Afrika Mashariki au kushtaki katika Bunge la Afrika Mashariki.
Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt Damas Ndumbaro leo...
Na Mwamba wa Kaskazini
Nimefuatilia masuala kadhaa katika siku mbili hizi nikashindwa hata kushangaa.
Tanzania mwezi huu inatekeleza kitendo kikubwa sana cha demokrasia ambapo wananchi watachagua viongozi wao wa ngazi za chini kabisa; aina ya demokrasia ambayo hata katika baadhi ya nchi za...
Wizara ya Afya inafuatilia sakata la muuguzi anayedaiwa kumbaka msichana mgonjwa na kisha kukimbia kusikojulikana.
Akizungumza na watumishi wa hospitali ya wilaya ya Igunga na viongozi wa sekta ya afya mkoa wa Tabora, Naibu katibu mkuu (Tamisemi-Afya), Dk Dorothy Gwajima alisema lengo ni kuona...
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo...
ccm
chadema
haki
jafo
katiba
katiba ya tanzania
matokeo
mawazo
miti
nyumba
serikali
serikali za mitaa
sheria
tamisemi
tanzania
uchaguzi
upinzani
vyama
wote
Hizi tetesi juu ya vyama/chama cha siasa kitakachojiondoa Kwenye uchaguzi automatically kitakuwa kimejifuta moja Kwa moja kuwa chama halali cha siasa.
Baadhi ya wapambe ambao wanajifanya wanaijuwa Sana Sheria wamepekeka proposal Kwa jiwe huku wakimpa na vifungu vya kuongezea(Sheria ya...
Habari za muda wakuu. Katika pita pita zangu nimekutana na hii Sheria, kuna baadhi ya vitu najiuliza. Naomba muongozo kutoka kwa ndugu zetu wataalamu wa sheria.
“Kwa mujibu wa Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini ya Kazi, 2004, mtoto chini ya miaka 14 hapaswi kuajiriwa. Mtoto mwenye umri wa...
Wana jamvi,
Tangu awamu ya tano iingie madarakani, kumekuwa na malalamiko mengi ya wafanyakazi kuondolewa kwenye nafasi zao kinyume cha sheria na wengine kuteuliwa kushika nafasi mbalimbali kinyume cha sheria na taratibu pia.
Mambo haya kwa wengine inaonekana ni sawa tu. Sasa swali langu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.