sheria

  1. JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha Muswada unaotaka wake wa Marais na Maspika wastaafu kulipwa kiinua mgongo

    Bunge limepitisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali namba 4 wa mwaka 2023 ambapo moja ya marekebisho katika sheria ya Mafao ya Kustaafu katika Utumishi wa kisiasa inapendekezwa Wenza (Mke/Mume) wa Marais Wastaafu, Wenza wa Makamu wa Rais Wastaafu na Wenza wa Mawaziri Wakuu...
  2. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afunguka, mkataba wa Bandari na DP World umekiuka sheria ya ulinzi wa rasilimali. Ni sheria aliyoipambania Hayati Magufuli

  3. JamiiForums Tanzania Sheria ya Vyuo Vikuu inakataza Wanafunzi kujihusisha na Siasa ndani Chuo

    Je, wajua Sheria ya Vyuo Vikuu ya mwaka 2005 na Kanuni za Mwaka 2013 zimepiga marufuku Wanafunzi kujihusisha na shughuli za Chama cha Siasa ndani ya Majengo ya Chuo? Kifungu cha 57 cha Kanuni ya Vyuo Vikuu inasema "Mwanafunzi yeyote au Mfanyakazi wa Chuo Kikuu anayejihusisha katika shughuli za...
  4. JamiiForums Tanzania Fikiria Dunia ingekuaje kama Dini na Sheria visingekuwepo

    Zipo nadharia tofauti zinazoelezea asili ya jamii (muingiliano) mpaka kufikia dola za hivi sasa na miongoni mwao ni creation theory from holy book na state of nature theory (social contract theory), ambapo kuna wanazuoni kama Thomas Hobbies, Jean Jack.., John Locke na wengineo. Ambapo kundi la...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha huduma za TIA SMILE Massage & SPA kwa kukiuka Sheria

    Ni uamuzi wa Serikali kupitia Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Doroth Gwajima ikiwa ni baada ya Video ya Tangazo la huduma za 'Massage' iliyowekwa Mitandaoni, kuripotiwa kuwa ina Vitendo vilivyo kinyume na maadili. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara hiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Tuhuma za JWTZ kupiga raia huko Kawe: Tunaomba Waziri wa Ulinzi ajitokezee kukemea, kulaani, na kukataza jeshi kujichukulia sheria mkononi

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Ndugu wanaJF wenzangu, nafikiri wengi wetu hapa JF tumesikia, tumesoma na wengine kuona kile kinachosemekana kufanywa na jeshi letu, ambalo tumelipa jina la "Jeshi la Wananchi wa Tanzania. Jeshi hilo tulilipa jina hilo kwa kuamini kwamba, jeshi hilo limeundwa kwa...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Wote ambao hawajavaa helmet wakiongozwa na Makonda sheria ifate mkondo wake

    Makonda ameenda kwenye mapokezi yake ya Ukatibu Mwenezi CCM akiwa kwenye bodaboda ambapo hajavaa helmet. Kama bodaboda wanavyochukuliwa sheria kwa kutovaa kofia ngumu kwa usalama wao na abiria ikawe hivyo hivyo kwa kiongozi ambaye anatakiwa kuwa mfano kwa anaowaongoza. Uzuri ni kwamba...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna sheria inayohusika na mambo ya ugoni?

    Kama mtu kaingilia ndoa ya mtu akazaa na mke wa mtu,ikathibika kwa ushahidi wa mdomo, message,video na picha. Sheria inasema Nini kuhusu hili. Je Pana haki ya Mume ikiwemo fidia kwa mgoni. Kama mgoni amesambaratisha familia kwa maana watoto wanaenda ishi bila malezi ya wazazi wa pande mbili,mme...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Shirika la Wanaume wanaopitia changamoto kwenye ndoa limesajiliwa kwa sheria gani? Video yao imenifanya niogope Ndoa

    Habari wadau. Kupitia Leo tena ya clouds FM imenifanya nilijue shirika la wanaume wanaopitia changamoto kwenye ndoa. Nikakutana na video ya maelezo ya wanachama wao. Baada ya kuitazama hiyo video, nimecheka sana na kidogo Nimewaelewa wale wanaume wa humu jamiiforums wanaosema Kataa ndoa...
  10. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Ukikutwa unamiliki silaha kinyume cha Sheria Faini Milioni 10 au Jela miaka 15 au vyote

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linaendelea kuwakumbusha wananchi wote wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuendelea kutumia vizuri msamaha uliotolewa na Serikali ambapo atakaye salimisha kwa hiari hatachukuliwa hatua yeyote wala kuulizwa maswali. Silaha hizo ni pamoja na zile za wamiliki...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia aipa Zambia ardhi hekari 20 katika bandari kavu Kwala mkoa wa Pwani

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imetenga eneo la hekari 20 za ardhi katika Bandari kavu eneo la Kwala Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kuhudumia mizigo kutoka Zambia ambapo amesema hiyo ndio zawadi ya Tanzania kwa Zambia katika wakati huu wa sherehe za Uhuru wa Zambia. Rais...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Sheria/Utaratibu Mpya ulivyowakosesha Wanafunzi wa UDOM Haki yao…

    SHERIA MPYA ILIVYOWAKOSESHA WANAFUNZI WA UDOM HAKI YAO. Chuo kikuu dodoma,UDOM. 25/11/2022 uongozi wa chuo kikuu cha dodoma( UDOM) katika ndaki ya TIBA ulitoa sheria mpya kwamba mwanafunzi yeyote aliyepata carry over(Yani kufeli somo ambalo hujafikisha coursework) katika somo lolote hatakiwi...
  13. JamiiForums Tanzania Je, Unajua nini kuhusu "Psychological Manipulations",Jinsi ya kuziepuka Na sheria Ya Tanzania inasemaje kuzihusu?

    Habari Za Muda huu wanajamvi! Leo ni siku ambayo ningependa kushare kidogo kuhusu Aina ya mtu kuongozwa kiakili na kufikia kufanya maamuzi kinyume na matakwa yake (Psychological Manipulation). Kwa kwa kuanza Nini maana ya Psychological Manipulation? Psychological Manipulation ni aina ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa nini ni kinyume cha sheria kutumia nguvu kupita kiasi katika kujilinda ikiwa ndiyo njia pekee ya kujilinda dhidi ya hatari?

    Habari wana-JF, Turudi kwenye mada tajwa hapo juu: Kwenye TZ Penal Code: General Rules as to Criminal Responsibility > 18 > 18B > (2) & (3) Inasomeka: (2) Every person shall be criminally liable for any offence resulting from excessive force used in self defence or in defence of another or...
  15. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Teknolojia ya Habari wa Kenya atengeneza Wakili wa kisasa mwenye ujuzi wa Sheria zote za Kenya

    Wakati Naftal Obwoni alipokuwa shuleni, baba yake aliachishwa kazi bila taarifa, jambo lililosababisha kesi iliyochukua muda mrefu dhidi ya mwajiri wake. Obwoni alishuhudia kwa macho yake mapambano ya baba yake kupata haki, na hii ilikuwa kwa sababu baba yake hakuwa na uelewa wa mfumo wa...
  16. JamiiForums Tanzania Je, tamko la Rais ni sheria? Kama halijatekelezwa hatua gani huchukuliwa?

    Je, tamko la Rais ni sheria? Kama ni sheria au lazima litekelezwe? Ikitokea halijatekelezwa au kufanyika kama alivoagiza inakuwaje? Mimi ni mmoja kati ya wahanga waliokutana na tamko hilo halafu halikutekelezwa. Binafsi ilikuwa hivi; mimi nilikuwa mshiriki wa baadhi ujenzi miradi ya Jamhuri...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Je, TCRA wana mamlaka yoyote ya kutunga sheria?

    Naomba kufahamu kwa wajuvi wa sheria hapa JF. TCRA ni taasisi inayosimamia mawasiliano hapa TZ. Je hawa watu wanahusika na kutunga sheria? Mfano ni kuhusu hili suala la VPN
  18. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Viongozi wa Dini CPCT watakiwa kutangaza amani na umuhimu wa kufuata Sheria za Nchi kwa waumini wao

    Viongozi wa Dini zote Mkoani Ruvuma wanatakiwa kuwa mstari wa mbele Kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi katika kutangaza umuhimu wa amani na kusaidia kutoa elimu kwenye maeneo tofauti tofauti ya nyumba za ibada kupitia mahubiri yao ili wananchi waweze kufuta sheria za Nchi na kuepukana na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuzi wa sheria, mgawo wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Habari wana JF naleta mrejesho wa kesi ile ya mgogor wa urithi. Baba aliyezaa na wanawake tofauti. Baada ya kwenda mahakamani ikaonekana ilikuwa ni kampuni na si mali ya mtu binafsi. Na katika mgawanyo wa kampuni kuhusu share mke wa ndoa yani mke wa baba yao aliyezanaye mtoto mmmoja ambaye ni...
  20. JamiiForums Tanzania UN WOMEN: Ni muhimu kuwa na sheria na sera zinazosimamia na kuondoa ubaguzi wa kijinsia

    Sheria na sera zinazoendeleza usawa wa kijinsia ni msingi wa mabadiliko katika jamii. Nchi zinazoongoza kwa kuwa na sheria zinazolinda haki za wanawake zinapunguza kwa kiasi kikubwa matukio ya unyanyasaji wa kijinsia. Kwa mfano, nchi zilizo na sheria dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia katika ndoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…