Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Novemba 4, 2019 kuanzia majira ya saa tatu na nusu (3:30) asubuhi atawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni
Wanaoapishwa ni pamoja na;
1. Charles Edward Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
Nafahamu kwamba watu wengi wameanzisha threads wakijaribu kuelezea suala la CAG Kisheria! Hata hivyo, wengi wao kama sio wote walichofanya ni kurundika vifungu vya kisheria bila kutoa ufafanuzi!
Mbaya zaidi, hawatoi ufafanuzi wa matumizi ya neno SHALL kwa mujibu wa sheria zetu! Nimelazimika...
Ndio, kila mtanzania anajua mume wa zamaradi anapaswa kwenda jela, na pia kila mtu anajua kuwa hatoenda jela na ataachiwa, na kila mtanzania anajua ni kwanini hatoenda jela, hii ndio tanzania mtu anabaka ushaidi upo ila hafungwi, huku uingereza ninapoishi sasa huwezi kukuta mambo hizo.
Asante...
Habari zenu wanajukwaa?
Ngoja nijikite kwenye lengo la uzi. Naishauri Serikali sasa wabadili mwelekeo katika kuelekea Serikali ya viwanda.
Vijana wanaomaliza kidato cha sita wapelekwe VETA kwa miezi 3 ili wakapate mafunzo ya awali (basic) ya ufundi mbalimbali.
Kwa kufanya hivi itasaidia...
Jamaa alikuwa na shamba pori.
Serikali ikalitifaisha kwa sababu ya kutoendelezwa muda mrefu.
Wakauziwa wengine kama viwanja na wana hati za serikali za mitaa.
Miaka mingi imepita, jamaa kaibuka anadai kashinda kesi na wanunuzi wote ni wavamizi.
Kwa Harakaharaka nani yuko sahihi.
Mwenye shamba...
NA RAJAB MKASABA, IKULU
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ameitaka Jumuiya ya Majaji na Mahakimu ya Nchi za Afrika Mashariki (EAMJA) kuhakikisha sheria zinatafsiriwa kutoka lugha ya Kiingereza kwenda lugha ya Kiswahili.
Alisema hatua hiyo...
Na Elius Ndabila
ewndabila@yahoo.com
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na hoja ambayo imeshikiwa bango na baadhi ya Watanzania wakiomba Mh RAIS Dkt John Magufuli aongezewe muda wa kuliongoza taifa hili. Hoja hii mwanzo ilianza kama utani na Mh Juma Nkamia Mbunge wa Chemba. Ninaweza kusema...
Siku chache zilizopita niliwahi kuja na uzi humu kumlaumu Waziri wa habari, ambaye pia ni Dokta pale alipojaribu kumsifia hadharani Mama Mshirikina/Mchawi.
Niaminivyo mimi Mtu yeyote anayeogopa, kukubali au kusifia vitendo vya kishirikina naye pia ni mshirikina.
Hakuna maana yoyote Mtu kujiita...
Bunge litunge sheria kali ya kutunza mazingira. Baada ya sheria kali ya money laundering ambayo haina dhamana, basi ninatamani Bunge lije na sheria kali ya mazingira. Ninadhani bado sheria ya mazingira tuliyonayo haijakidhi haja au imeshindwa kusimamiwa.
Udhaifu wa usimamizi au ubutu wa sheria...
Sijajua kama kuna sheria na utaratibu wa kufanya kazi kwenye kampuni ambayo haipo Tanzania lakini wamekuajiri na kukulipa.
Kwa teknologia ya siku hizi unaweza kufanya kazi ukiwa popote duniani kwa kutumia software za siku hizi na internet.
Sasa je unalipaje kodi? Ni kodi zipi hizo? Na ni...
Sheria inaweza kumlazimisha mwanamke kusoma lakini siyo kuzaa. Kuolewa ni jambo moja na kuzaa ni jambo lingine la Kimungu.
Damu ya hedhi ndicho kipimo na taarifa ya Kimungu kuwa msichana amekua na yuko tayari kuzaa kwa kuolewa au kwa kutokuolewa.
Hata mama na bibi zetu walizaa kwa njia hizo za...
Wotu tunafahamu kuwa serikali haina dini ila ni serikali hii hii inayosimamia uanzishwaji wa makanisa na misikiti na hata kuyasajili.
Binafsi naona wakati umefika serikali isiishie katika kuyasajali tu makanisa haya bali tuwe na sheria itakayoruhusu serikali kupitia chombo/maafisa maalumu...
Wakuu mimi nashauri tui"shape" vizuri vizazi vijavyo vya JMT kwa kuwafundisha katiba na sheria za nchi na umuhimu wake. Hii itawasaidia watoto kuelewa vizuri hata wakiwa watu wazima, mithali inatufundisha hivyo.
(A) Itawasaidia watoto wetu kuelewa:
1.wakati wa kusema mambo fulani yahusuyo...
Spika Ndugai ameipongeza Serikali kwa kazi nzuri na Muswada umepita kwa kura za Ndiyo
======
BAADHI YA NUKUU (KUTOKA UPINZANI)
Kambi ya rasmi ya upinzani bungeni imekosoa muswada wa marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa wa mwaka 2018 ikisema ni uonevu mkubwa dhidi ya vyama hivyo...
Kwanini tunajali kuhusu marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa?
1: Marekebisho yanampa Msajili mamlaka kubwa isiyo na mipaka.
Kimsingi, marekebisho yanayopendekezwa hayatoi fursa ya ushindani huru kwenye jukwaa la kisiasa. Msajili anateuliwa na Rais, ambaye ni mwenyekiA wa chama kimoja cha...
Viongozi waandamizi wa vyama mbalimbali vya upinzani leo watazungumza na waandishi wa habari. Watazungumzia maazimio ya #Azimio la Zanzibar.
Muda: Saa tano kamili asubuhi
Eneo: Makao Makuu ya CHAUMMA, Makumbusho, Dar es salaam.
======
UPDATES;
Viongozi Waandamizi wa Vyama mbalimbali vya...
U.S. Embassy Tanzania
Kuzorotoa Kwa Haki Za Kiraia Na Haki Za Binadamu Tanzania
Serikali ya Marekani imesikitishwa sana na matukio ya mashambulizi yanayoshamiri na hatua za kisheria zinazochukuliwa na serikali ya Tanzania, ambazo zinakiuka uhuru wa raia na haki za binadamu, na zinazojenga...
BAADHI ya wakazi wa kijiji cha Muhalala katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida wameiomba serikali kutunga sheria kali itakayowadhibiti wanaume wanaokataa kuambatana na wake zao kwenda kliniki wakati wenzi wao hao wakiwa wajawazito.
Rai hiyo imetolewa na wakazi hao wakati timu ya...
Katika siku za hivi karibuni umeibuka mgogoro mkubwa wa kijamii hapa nchini uliosababishwa na maamuzi ya kibabe ya Mhe John Magufuli kuhusiana na malori na mabasi, hivi sasa mgogoro huo unapelekea kuathiri vibaya uchumi wa nchi na kusababisha mfumuko wa bei na kuathiri ajira za wananchi wengi...
1.Usaliti nchini China inaruhusiwa kwa mwanamke aliyesalitiwa na mume wake kumuua mume wake,lakini sharti amuue kwa mkono wake
2.Kwa sheria za Nervada ni kosa kubwa sana kisheria kama utakutwa una urembo wowote katika uume wako(mwanaume)
3.In Bahrain,daktari wa kiume anaruhusiwa kumtibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.