Kwa wajuzi wa sheria, mgawo wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

Mr shika

Member
Jun 14, 2023
64
111
Habari wana JF naleta mrejesho wa kesi ile ya mgogor wa urithi. Baba aliyezaa na wanawake tofauti.

Baada ya kwenda mahakamani ikaonekana ilikuwa ni kampuni na si mali ya mtu binafsi.

Na katika mgawanyo wa kampuni kuhusu share mke wa ndoa yani mke wa baba yao aliyezanaye mtoto mmmoja ambaye ni wa mwisho alikuwa na asilimia nyingi.

Mke wake alikuwa na asilimia 95% ya ile hotel na maduka yaliyozunguka kwenye ile hotel.

Na Baba yao alikuwa na hisa asilikia 2.5% Na mtoto wao alikuwa na asilimia 2.5% kwenye hio kampuni ambayo ilikuwa ina hiashara moja tuu ya hotel.

Sijajua wataamua nini hao ndugu wakubwa.

Sehemu ya kwanza
Thread 'WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?' WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?
 
Unataka kusema uyo mzee alikuwa analelewa au
Hpn.
Kwenye mali hio moja.
Huyu mzee alikuwa na mali zingine tena mkewe hakuhusika kwenye hizo mali.
Alikuwa ananyumba 4 ambazo waligawaana , na maeneo mawili zina maduka ( flame za maduka).
Na vitu vingine.
Ila hotel hii ndo ilikuwa ya mkewe.
Na nyumba mbili ambazo mdogo wao alizibeba zote.
 
Back
Top Bottom