Angalia issue ya Corona: TCRA wanaibuka wanasema itawatia watu ndani.
Angalia issue ya mishahara hewa ya Polisi: Jana, Magufuli anasema pingu mnazo nyie, lock up nyie kwanini msiwakamate?
Angalia issue ya wasiojulikana: Watieni ndani wale wanaorisit issues za watu kutekwa.
Angalia issue ya...
Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema ni marufuku kwa mtu yeyote kutangaza majina ya wagonjwa wa corona kwani hiyo ni siri kati ya Daktari na mgonjwa.
Waziri amesema kutaja taja majina kunaleta unyanyapaa kitu ambacho ni kibaya sana mbele ya jamii na mbele za Mungu. Na zaidi Ummy amesema ndio...
March 22, 2020
Serikali yaombwa ipunguze bei ya nyoka na viumbe wengine wanaopelekwa nje kuuzwa ili wawekezaji hao wachangie fedha za kigeni nchini. Hayo maombi yamesemwa na Paul Madinda mfugaji na muuzaji wa viumbe nje ya nchi wakati akimfahamisha Naibu waziri Costantine Kanyasu juu ya fursa...
Kwakweli serikali ya Tanzania imelichukilia janga la COVID-19 kama jambo la mzaha kupita kiasi, hali hii imewafanya baadhi ya wananchi kubweteka kupita kiasi kutokana na janga hili.
Kwa haya niliyoshuhudia, nachelea kusema kuwa ikitokea COVID-19 ikaiathiri Tanzania kwa kiwango kikubwa basi...
Wanabodi
Samahani. Naomba kuanza na kuomba msamaha kwa kutumia maneno ambayo sio ya lugha ya Kiswahili wala lugha ya Kiingereza bali ni maneno ya lugha ya Kilatini kwasababu sikijui Kiswahili chake, wala Kiingereza chake, ni maneno ambayo yanafundishwa hivyo hivyo.
Imani Kubwa na Jaji Mkuu wa...
Nina wasilisha hoja hii miye kama mtanzania mwingine yeyote mwenye haki ya kutoa mawazo yake kwa maslahi ya nchi yake.
Ninaandika haya kwa uchungu nikifahamu pia kuwa kumekuwa na kutishana kusiko kuwa sahihi kwa watoa maoni hata wale wa nia njema tu kuhusiana na huu ugonjwa.
Hata hivyo ni...
Tujifunze kupongeza na kuamini tulio wapa dhamana ya kutuongoza. Kumekuwa na mvumo wa lawama zakijinga sana kiasi unasema watu wanatumia nini kufikiri?
Kiufupi atuwa serikali imezichukuwa kwa kupunguza kuenea coronavirus ni hatua mujarabu kwa hali yetu ya kiuchumi.
Swala la kufunga kila kitu...
Wachumi na wanahistoria naomba mnisaidie Serikali za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Jakaya hazikufanya udanganyifu wa takwimu za uwepo wa viwanda vipya Tanzania.
Naamini hata Serikali ya awamu ya tano haiwezi fanya kosa Kama Hilo la kupika data za kiuchumi.
Hivyo wanavyosema ndani ya miaka minne...
Waziri Mkuu ametangaza kamati 3 zitakazoshughulikia suala la Corona.
Mh Majaliwa amesema kamati ya kwanza ni ya mawaziri itakayoongozwa na yeye mwenyewe akishirikiana na Ummy Mwalimu.
Ya pili ni kamati ya makatibu wakuu itakayoongozwa na Katibu mkuu kiongozi Dr Kijazi.
Kamati ya tatu ni ya...
Mahojiano aliyofanya Dkt Mohamed Janabi,kuhusu Corona na clip yake aliyoisambaza zimenifanya nijiulize maswali mengi kuhusu menejimenti wa mfumo wa afya hapa nchini!
Profesa Janabi alielezea ugonjwa kwa ufasaha kwa kiwango ambacho kimedhihirisha pengo kubwa Kati ya na kinara ambaye amekuwa...
NIkiangalia jenga la CORONA na uvaazi wa mitumba naona kabisa tunaenda kupata UGONJWA HUO kwa njia za mitumba. Ugonjwa huo unasemwa unaambikizwa kwa kugusa sehemu yenye virusi hivyo ndio maana tunashauri kunawa mikono mara kwa mara. njia za kupata zipo nyingi ila hiyo ya kugusa ni mojawapo...
The private sector is bumping on hardship moment after Covid-19’s tragedy which is still happening and no one knows the forthcoming. Business volumes have abruptly dropped yet the fixed costs have to be met, beyond and above there are other recurrent expenditures.
There are critical issues with...
Wakuu,
Kwa taarifa nilizo nazo, ni kuwa muda si mrefu Rais Magufuli atalihutubia Taifa.
Kama hii itatokea, itakuwa mara ya kwanza tangu aingie madarakani kuhutubia Taifa.
Tutarajie nini?
Stay tuned...
=======
LIVE:
VIDEO:
Rais Magufuli anasema;
=> Baada ya kuibuka Ugonjwa wa Corona...
Yani kila kiongozi wa serikali sasa yupo Dodoma. Tunaona mpaka kumbe waziri mkuu au Rais anaweza kuongea na wasaidizi wake nchi nzima akiwa tu Dodoma.
Ila kiukweli nilikuwa sijui kama Rais Magufuli yupo Dodoma hadi nilopomuona leo. Mara ya mwisho aliishia hapo kati hapo kwenye lile daraja...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mh Kanyasu amewataka watalii waliopanga kutembelea Tanzania kuahirisha safari zao hadi pale ugonjwa wa Corona utakapokuwa umedhibitiwa.
Mh Kanyasu amewataka watalii hao kutofuta safari zao bali waahirishe kupisha hili janga linaloisumbua Dunia kwa sasa...
Waziri wa kilimo Mhe. Japhet Hasunga ameihaidi menejimenti ya Tanzania Horticultural Association (TAHA) ushirikiano katika kukuza tasnia ya horticulture nchini Ahadi hiyo imetolewa na mhe.Hasunga alipotembelea ofisi za makao makuu ya taasisi hiyo zilizoko mkoani Arusha
Akitoa maelezo mafupi...
Watanzania wote hatujui Kiingereza katika viwango vya 3.5-4 hii ni kutokana na kukaririshwa zaidi sarufi ya Kiingereza kuliko lugha yenyewe/mawasiliano.
Serikali inapaswa kugharamia waalimu wageni ambao watakuja kufundisha lugha ya kingereza kwa ufasaha ambapo watatumia mbinu za ufundishaji wa...
Uchumi wa Dunia nzima unashuka. Kwa Tanzania utalii ni kama umesimama wote na watu karibu wote inabidi wasimamishe safari zake mpaka mwakani. Sasa Tanzania tunaingiza $2.5B kwa mwaka mmoja tujiulize pesa za miradi tutapata wapi.
Ushauri wangu kwa muda mfupi Serikali ikope mapema kabla ya riba...
Wagonjwa wa Corona wafika 3 sasa Tanzania baada ya wawili zaidi kupatikana leo na mmoja kutoka Zanzibar.
Waziri mkuu Majaliwa athibitisha kwa kusema “Tuna ongezeko la wagonjwa wawili ambao wamethibitika kuwa na Corona Tanzania, mmoja kutoka Zanzibar yeye ni Mjerumani ana miaka 24 na tayari...
Hivi sasa mabenki wanatutumia sms wakitushauri tuache utaratibu wa kufanya miamala kwa kutumia cash money na badala yake tutumie huduma za kielektroniki(mobile banking) kufanya miamala hiyo kama njia mojawapo ya kupambana na ugonjwa wa corona.
Binafsi naupokea ushauri huo ila nawashauri kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.