serikali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kuwaonea wafanyakazi, itafute vyanzo vingine vya mapato

    Inasikitisha kuona kuwa Serikali inagawana sawa mshahara wa mfanyakazi, Yaani mfanyakazi anachukua nusu na Serikali nusu harafu bado mnatushauri tuisifu Serikali.
  2. hp4510

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje Tovuti nyingi za Serikali namba zake za simu huwa sio za hapo?

    Nimekuombana na tatizo hili mara kibao sana. Unakuwa na shida flan, unaenda kwenye website husika, unachukua namba ya simu na ukipiga unaambiwa ni namba ya mdada wa kazi sijui wapi huko. Mfano jana nilikuwa nataka namba ya office ya DPP nimeingia kwenye web yao Nimepata namba napiga kumbe ni...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Agizo la Rais juu ya taasisi za Serikali kupewa kazi za ushauri liliishia wapi?

    Rais anaposonga mbele, aliyoagiza nyuma yanasahaulika. Muongozo ulitolewa na serikali ya awamu hii ikiwa ni pamoja na ofisi za serikali kuhamia majumba ya serikali, mikutano kufanyika nyumba za serikali, kazi za ushauri kufanywa na taasisi za serikakali. Nionacho ni mapambano kati ya tabia za...
  4. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Serikali mkoani Lindi imekiri kudaiwa TZS Billioni 6.9 za wakulima wa korosho ambao hawajalipwa 2018/2019

    Serikali mkoani Lindi imekiri kua inadaiwa na wakulima wa korosho kiasi cha Bilioni 6.9 za wakulima wa korosho kwa msimu wa 2018/2019. Wakulima hao ni wale serikali ilichukua korosho zao na kuahidi kuwalipa ila hadi sasa hawajalipwa. Serikali inadai sababu kubwa ya kuchelewa kuwipa ni kutokana...
  5. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Dr. Abbas: Tenda ya ujenzi wa reli ya SGR kutoka Mwanza-Isaka itatangazwa wakati wowote

    Shirika la Habari la Kimataifa la CNBC Africa tarehe 29 Februari, 2020 limerusha kwa zaidi ya nchi 100 duniani makala inayoeleza mafanikio ya Tanzania katika sekta mbalimbali Ripoti ya RMB ya mwaka 2020 imeitaja Tanzania imekuwa ya 21 duniani, Afrika imekuwa ya 4 na Afrika Mashariki imekuwa ya...
  6. technically

    JamiiForums Tanzania Miaka 5 ya utawala wa Rais Magufuli ametengeneza Serikali ya kishikaji kuliko Kikwete

    Kikwete alilipa bunge meno ili kuikalipia serikali kila wakati inapofanya ndivyo sivyo, kikwete alifika wakati akawatumbua washikaji zake kama Kagasheki, Lowassa, Nchimbi na Tibaijuka na wengine kibao. Magufuli toka ameingia madarakani Paul Makonda, Dotto James wametuhumiwa ila hajachukua hatua...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    Mhudumu wa uwanja wa KIA amesema katika kipindi hiki ambapo ugonjwa wa Corona Virus umepiga sana China, idadi ya watalii kutoka China imeongezeka maradufu kuja nchini. Wachina wenyewe wakihojiwa wamesema pamoja na utalii wamekuja kutafuta sehemu salama kukimbia ugonjwa huo kwao. Hii hali...
  8. concordile 101

    JamiiForums Tanzania Nimekosa amani mwanangu anakohoa kifua kikavu na hapati nafuu

    Ni siku kama ya tatu mwanagu wa mwaka mmoja anakohoa kikohozi kikavu na usiku anapata taabu ya kupumua. Mimi ni mfauatiliaji wa thread ya Coronavirus humu, nimekosa raha kabisa na isitoshe niko mbali nao. Yaani kila nikifuatilia habari ya wataliii Arusha natamani kulia kwa jinsi serikali...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa Serikali waliotokea UVCCM wana jazba na kejeli ukiwaondoa Dkt. Nchimbi na Shigela, hii husababishwa na nini?

    Nikupe tu mifano Mwita Waitara, Salum Happi, Ole Sabaya, Kasesela, Albert Chalamila na wengine wengi tu wale manaibu waziri ukimtoa Mavunde ni full jazba. Je, sababu ni nini? Enzi za Tanu Youth League tulifundishwa namna ya kuhimili vishindo, changamoto na makandokando ya uongozi sina hakika...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Bila kuchelewa, Serikali ya Tanzania ijipambanue kupata uchaguzi huru na haki ili kuondoa upotoshaji

    Kwanza naomba Mods, uzi huu usiunganishwe na nyengine. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na kauli mbali mbali kuhusu Madai ya tume huru ya uchaguzi Tanzania. Si vyama vya upinzani tu lakini hata wadau wa maendeleo na demokrasia wamesikika wakihimiza kwa serikali kuleta tume huru ya uchaguzi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania haitasita kuizuia Zambia kupitishia mizigo yao hapa nchini

    Waziri wa biashara mh Bashunga amesema Zambia inafanya faulo katika biashara ya mahindi kwenye soko la DRC. Mh Bashunga amesema kama Zambia wataendelea na faulo zao japo wote tuko kwenye SADC basi serikali haitasita kuizuia kupitishia mizigo yao hapa nchini. Source ITV habari!
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanaotumia vitabu visivyo na ithibati ya Serikali kuchukuliwa hatua

    Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Tate Ole Nasha amesema serikali haitegemei kuona vitabu ambavyo havina ithibati ya serikali na ikigundulika hivyo hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya wahusika. Hayo yalielezwa leo wakati wa uzinduzi wa usambazaji vitabu vya kiada...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Simba / Serikali mdhibitini Haji Manara kabla hajaleta madhara Kwa Taifa

    We Haji Manara unapenda Sana kutania na.kukashifu wenzako lakini wewe ukitaniwa unakuwa mkali, hizo NI Double Standard. Jerry Muro.kaongea Kwa utani Tu " Haji Manara arudi kwenye kazi ya ualimu WA madrassa" wewe umefanya press conference unalalamika eti Uislamu umekashifiwa na umeenda mbali...
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali kuu ya Kenya yamnyang'anya Sonko jiji la Nairobi je jiji la DSM tunajifunza nini kufuatia sakata la Meya Mwita?

    Jiji la Nairobi limekumbwa na ufisadi uliotukuka hali iliyopelekea Gavana wa jiji hilo kuzuiwa kuingia ofisini na taasisi ya kupambana na rushwa nchini humo. Leo serikali kuu ya Kenya imetwaa uendeshaji wa jiji hilo ikiwemo usimamizi wa utoaji Huduma zote za kijamii ikiwemo elimu, afya, maji...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ili kundoa usumbufu kwa serikali na CCM, Wizara ya elimu iagizwe kuondoa topiki zinazomfanya mwanafunzi kuwa mchambuzi,masomo ya kuchagua A au B muhim

    Nimetafakari sana na kugundua kumbe ccm hii shida tunayoipata tumeitengeneza wenyewe tangu enzi za mwalimu Nyerere Kipindi cha mzee Nyerere,masomo mengi ya kuhoji mifumo yalifundishwa, na haya ndio shida kubwa kwetu Awamu ya mzee Mwinyi na Mkapa,Benki ya Dunia na mashirika ya kimataifa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu elimu bure

    Kwanza kabisa naipongeza sana Serikali kuhusu dhana ya Elimu Bure kuanzia elimu ya msingi mpaka Sekondari LAKINI kuna changamoto zinazotakiwa kuangaliwa kwa umaakini sana. Kwanza fedha inayotolewa kwenye shule ni kidogo sana. Leo asubuhi nimesikia kule Shinyanga katika Shule mmojawapo wanapewa...
  17. Informer

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

    Wakuu, Huenda Kabendera akawa huru leo baada ya Hati ya Mashtaka kufanyiwa marekebisho. Baada ya Erick Kabendera kukubali makosa, Upande wa Serikali wamemsomea Mashtaka Rasmi. Mashtaka hayo ni pamoja na Uhujumu Uchumi pamoja na Kukwepa Kodi baada ya kosa la kuongoza Genge la Uhalifu...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Sudani Kusini: Rais Kiir na Mpinzani wake, Riek Machar wakubali kuunda Serikali ya Muungano

    Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir na Mpinzani wake Riek Machar wamekubaliana kuunda serikali ya muungano kufikia siku ya Jumamosi kama walivyokubaliana. Hatua hiyo inafuatia mkutano uliofanyika katika Ikulu katika mji mkuu wa Juba siku ya Alhamisi. Rais Kiir ameahidi kuwalinda viongozi wa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Bayport: Majambazi yanayolindwa na Serikali?

    Ndugu Watanzania wenzangu ni nani anayeilinda kampuni ya Bayport Financial services. Taasisi hii imelalamikiwa muda mrefu mpaka malalamiko kutinga bungeni lakini bado ipo na inawaibia, kuwadhulumu watanzania hasa walimu wa nchi hii. Mimi ni mwalimu niko mkoa wa Simiyu wilaya ya Itilima niliwahi...
  20. joto la jiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Al-Shabaab waendelea kuwa mfupa mgumu kwa serikali ya Kenya

    Kitendo cha serikali ya Kenya kuwahamisha waalimu wote ambao sio wazawa/waisilamu kutoka kaunti za Mandera na Wajir na kaskazini mashariki mwa Kenya kutokana na kushindwa kuwahakikishia usalama wao kwasababu ya kulengwa na Alshabaab, ni dalili za wazi kwamba GoK imesalimu amri mbele ya...
Back
Top Bottom