serikali

  1. Johnny Sins

    JamiiForums Tanzania Nimeota serikali imemfikisha Idris Sultan mahakamani na kumsomea mashitaka

    Nimeota kuwa upande wa serikali umefanikiwa kumfikisha Idris Sultan mahakamani na kumsomea mashitaka matatu. 1. Kukalia kiti cha Rais! 2. Kumvalisha Rais nguo za ki-BITOZI au ki-CHEKIBOB! 3. Kumkata kichwa Rais Mashtaka yaliposomwa, Hakimu alitaka kuchanganyikiwa, akapekuapekua nyaraka huku...
  2. Francis12

    JamiiForums Tanzania Wakili Cleophas Mjema: Uchunguzi wangu umeonyesha kuwa mchakato wa kuharibu uchaguzi serikali za mitaa ulikuwa na hatua zifuatazo

    Anaandika Wakili Cleophas Mjema, __________________________________ Uchunguzi wangu umeonyesha kuwa mchakato wa kuharibu uchaguzi serikali za mitaa ulikuwa na hatua zifuatazo: 1. Maafisa wasaidizi wa kata waliagizwa na wakuu wa mikoa na wilaya, kuwashawishi wenyeviti wa vijiji, vitongoji na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Wagombea wote walioondolewa kwa kuonewa haki itatendeka na watarejeshwa kwenye uchaguzi

    Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema wagombea wote wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao wameondolewa lakini wamekata rufaa malalamiko yao yatasikilizwa na haki kutendeka na kama wameonewa basi watarejeshwa uchaguzini. Chanzo: ITV habari Hizi ni habari njema kwa wapinzani ukizingatia ukweli...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali yataja mikoa vinara uvutaji bangi

    Serikali imesema matumizi ya dawa za kulevya aina ya bangi bado ni tatizo nchini, huku yakishika kasi katika mikoa ya Mara, Tanga, Morogoro, Arusha, Kagera na Ruvuma. Wabunge Jumanne Kishimba (Kahama), Joseph Msukuma (Geita Vijijini), Ali Keisy (Nkasi Kaskazini) na aliyekuwa Mbunge wa Arumeru...
  5. Mystery

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuvurugika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ni kwanini Waziri Jafo hajiuzulu?

    Kila kona unayotembelea ndani ya nchi hii, hakuna habari nyingine unayokutana nayo, bali ni malalamiko ya vyama vya upinzani, kufanyiwa hila katika zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa, kwa kuenguliwa wagombea wake kugombea katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika hapa nchini, tarehe 24...
  6. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani vitakavyoshiriki huu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni wasaliti wa watanzania

    Chama chochote cha upinzani kitakachoshiriki huu uhuni unaoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa ni wasaliti wa watanzania. Kwanini nasema hivyo, matukio yote yaliyoripotiwa nchi nzima yameonyesha ukiukaji mkubwa wa sheria, kanuni na taratibu mbalimbali za uchaguzi ambazo hazijawahi tokea toka...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mmoja wa waandamanaji anayeipinga Serikali, amemchoma kisu na kumjeruhi Mbunge wa Hong Kong

    Beijing, China. Mmoja wa waandamanaji anayeipinga Serikali, amemchoma kisu na kumjeruhi mbunge wa Hong Kong. Mbunge huyo anayeiunga mkono serikali ya Beijing, alikuwa akifanya kampeni ya uchaguzi hii leo. Tukio hilo la karibuni linaashiria kuongezeka kwa machafuko yanayohusiana na maandamano...
  8. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa ufutwe

    Hakuna kuendelea na taratibu za Uchaguzi ambao umejaa hujuma na maigizo ya kisanii.Tuziombe taasisi zote za haki za binadamu,asasi za kiraria na vyama vya siasa waungane kushinikiza serikali kuondoa tarehe iliyopangwa Uchaguzi kufanyika na kupanga upya zoezi lianze upya. Hatuwezi kuingia kwenye...
  9. Mapambano Yetu

    JamiiForums Tanzania Kushiriki Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 ni kubariki hujuma ziendelee

    Ujumbe huu uwafikie viongozi wa vyama vyote vya upinzani hapa nchini na wana harakati ambao kimsingi wamekuwa mstari wa mbele kutetea suala zima la democracy hapa nchini. Kama uwezekano wa kupambana nao haupo, ni vema tukawaunga mkono kama uchaguzi wa serikali za mitaa umeambatana na matukio...
  10. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yalipa matrilioni ya fedha ya madeni kwa miaka minne

    Dodoma. Waziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania, Dk Philip Mpango amesema katika kipindi cha mwaka 2016/17 hadi Septemba 2019, Serikali imelipa jumla ya Sh24.499 trilioni kwa ajili ya deni lililoiva la fedha zilizokopwa kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo. Dk Mpango ameyasema hayo leo...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wiki ya Maulidi: Viongozi wa BAKWATA watembelea miradi ya Maendeleo ya Serikali

    Viongozi wa BAKWATA walioko Jijini Mwanza ikiwa ni katika wiki ya maulidi ambayo kitaifa sikukuu itafanyika jijini humo wamempongeza na kumshukuru Rais Magufuli kwa maendeleo anayotuletea. Viongozi hao wamekaguwa miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ikiwemo ujenzi wa meli mpya za...
  12. ibesa mau

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe maelekezo ya fedha za uchaguzi zilizobaki kwenye Halmashauri, naona huku vimeanza

    Kwanza nawashukuru wananchi na wasimamizi kwa namna moja au nyingine walioshiriki kuokoa fedha hizi. Nitakuwa mchoyo wa fadhira nisiposema asante Halmashauri zilipokea fedha nyingi kwa ajiri ya uendeshaji wa uchaguzi, karibu halmashauri zote zimetumia nusu tu ya fedha zilizopelekwa, kwa sababu...
  13. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar dhibitini hawa street boys Forodhani Hotel, mtakosa mapato sana

    Nilikuwa wiki mbili Zanzibar niliyaona ni hatari sana kwa heshima ya Tanzania. Forodhani Hotel imejaa wahuni watoto wadogo street boys leo hii wanaona wazungu wamekaa wanaomba kila mtu. Haitoshi wanapigania chakula wanachopewa na wazungu, inahuzunisha sana. Wakati haya yakiendelea nje ama...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

    Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni Kata ya Kigamboni, Mtaa wa Feri Wagombea wote wa upinzani Hawajateuliwa. Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Kata ya Mabibo Mtaa wa Matokeo Wagombea wote wa Upinzani Hawajateuliwa. Jimbo la Ubungo, Kata ya Manzese: Mtaa Chakula Bora - Wagombea wote wa...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri wa fedha: Matumizi ya Serikali kuongezeka katika bajeti ijayo

    Matumizi ya Serikali yanakadiriwa kuongezeka kutoka Sh33.105 trilioni ya mwaka wa fedha 2019/2020 hadi Sh34.360 trilioni kwa mwaka wa fedha 2020/2021. Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango wakati akiwasilisha Mapendekezo ya Mpango wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2020/2021...
  16. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Njama zilizopangwa na upinzani kuichafua Serikali

    Wapinzani wa nchii hii walipofikia sio sehemu nzuri maana wanataka kuipeleka nchi kwenye machafuko kupitia uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, Kama ulikuwa haufahamu ngoja nikufaamishe mipango na mikakati yao;- 1. Walianza kulalamika kuwa wasimamizi wa uchaguzi wanawahujumu ilihali wao hawakwenda...
  17. technically

    JamiiForums Tanzania Wazalendo wote wa nchi hii njooni uku tujibiwe haya maswali na Serikali ya Rais Magufuli

    Rais Magufuli nilikusema kuhusu miradi inayoeendelea chato kupitia uzi huu Miradi inayoendelea chato inahitaji mjadala wa kitaifa ila sikujibiwa kilichofuata ni mimi kutukanwa na wafuasi wako kwamba ni siasa. Mh Rais tuachane na hayo je miradi yako mikubwa inayotekelezwa kwa nini haina...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe macho: Tunapoelekea vyama vya upinzani huenda vikajeruhi, kuharibu mali na hata kusababisha mauaji ili kuhalalisha ''malalamiko'' yao

    Ndugu zangu, Kumekuwa na juhudi kubwa kwa vyama vya upinzani kupitia mitandao ya kijamii kupotosha yanayoendelea kuanzia kipindi cha uandikishaji, uteuzi wagombea na hatimaye uchukuaji na urejeshaji wa fomu. Kipindi cha kujiandikisha walikuja na kampeni susia susia huku wakitoa picha za...
  19. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Sitapiga kura uchaguzi wa Serikali za mitaa kwasababu ya majibu mepesi ya viongozi wenye dhamana juu ya hujuma kwa wapinzani

    Wakitaka kupitishana wapitishane tu ila sitapiga kura kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Ukimya au majibu mepesi ya viongozi juu ya upumbavu unaofanywa na watendaji wa vijiji/mitaa na kata unaleta picha kuwa viongozi hawachaguliwi na wanachi bali Serikali. Sasa kama Serikali ndio yenye...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanzishwa Wakala wa Uvuvi Tanzania kwa mwaka 2020

    Makujumu makubwa ni: 1. Kuanzishwa mabwawa ya samaki kila Wilaya na kuwa na species mbalimbali 2. Kusimamia uzalishaji wa samaki kwa kuzingatia taratibu za kisayansi 3. Kutafutà masoko ya bidhaa za samaki kwa kuzingatia mahitaji yaliyopo 4. Kuandaa takwimu za samaki pamoja na mahitaji ya...
Back
Top Bottom