serikali

  1. C

    JamiiForums Tanzania OMBI: Serikali idhibiti bei kwenye vifaa vya kujikinga na kupambana dhidi ya Virusi vya Corona

    Tatizo kubwa hapa nchini ni kwamba pale inapotokea janga, mlipuko wa ugonjwa basi wafanya biashara hutumia nafasi hiyo kujinufaisha. Kuna vifaa kama hand sanitizer, medical face masks vimekuwa katika uhitaji mkubwa sana kwa ajili ya kujikinga na virusi vya corona. Serikali kupitia waziri wa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Kamwelwe atangaza mkakati wa kupambana na ugonjwa wa Coronavirus kwenye vyombo vya usafiri

    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi a mawasiliano ameitaka mamlaka ya udhibiti usafiri wa ardhini ( Latra) kukutana mara moja na kutoa mwongozo juu ya idadi ya abiria wanaoruhusiwa kusimama ndani ya daladala na Mwendo kasi ili kupunguza msongamano. Waziri Kamwele ameyasema hayo mjini Dodoma alipokuwa...
  3. OLS

    JamiiForums Tanzania Siku 30, halafu? Serikali ije na mikakati thabiti ndani ya siku 30

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima, hii ikiwa ni pamoja na kufunga shule zote, na ligi ya mpira kwa siku 30 kuanzia Machi 17, 2020 Hakuna uhakika kwamba ndani ya siku 30 ugonjwa huu utaondoka, inawezekana ukawa na nguvu zaidi ya ulivyo sasa au...
  4. technically

    JamiiForums Tanzania Serikali kipindi kama sasa ndio huwa inakumbuka umuhimu wa JamiiForums

    Sasa hivi wanavitaka vyombo vya habari ikiwemo JamiiForums kutoa elimu kwamba Corona imeingia watu wachukue tahadhari wakati mpaka leo wana kesi isiyoisha mahakamani. Vyombo vya habari kibao vimepigwa fine ili kuvinyamazisha ila leo vinakumbukwa. Tuishi kwa upendo na kwa kutowaonea wengine...
  5. Bishop Hiluka

    JamiiForums Tanzania Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

    KUJIKINGA NA #CORONAVIRUS: SHULE ZAFUNGWA KWA SIKU 30 Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema shule zote kuanzia za Awali hadi Kidato cha 6 zimefungwa kwa siku 30 kuanzia leo Machi 17, 2020 Amesema, Serikali itafanya marekebisho ya ratiba ya Kidato cha 6, wanaotarajiwa kufanya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina mambo ya ajabu sana; Uhamiaji inanyima watu wanaotusaidia uchumi work permits, wanapofunga ofisi na kuaga Serikali inawaomba wasiondoke!

    Niliwahi kusema humu JF kwamba Tanzania ina mambo ya ajabu sana kuhusiana na utoaji wa work na residence permits hata kwa watu ambao ni wawekezaji, japo kila siku tunapiga kelele eti kuvutia wawekezaji. Wawekezaji wanapokuja wanapata shida sana kupewa work au residence permits. Kuna wawekezaji...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Njia pekee ya kuzuia CORONA Tanzania Ni kuzuia watu kuingia na kutoka nchini

    Ethiopia waligoma kuzuia safari China, Kuna cases 104 mwafrica 1 amekufa, Congo pia. Marekani wameshazuia, sisi haya mambo ya urafiki tuacheni, naiomba serikali nipo chini ya miguu yake wazuie safari zote, huu ugonjwa Ni mbaya. Corona ikija kutuua au kuua ndugu zetu CCM haitapona, nasema...
  8. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Je, Vyuo, Serikali na Taasisi zote za kielimu zimejipanga vipi kutoa huduma za kielimu iwapo tutavamiwa na Corona?

    Wakati huu ambao kuna tishio la korona kila pande ya ulimwengu, Je asasi za kielimu zimejipanga vipi kutolea elimu? Au Ndio zitafungwa kwa muda usio julikana. Nafikiri teknolojia za menti/mentimita na Skype zinaweza kusaidia hilo. Lakini udogo wa teknolojia unaweza kuathiri matumizi yake.
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Serikali yaahirisha mchakato wa kuwaachia huru Wafungwa wa Taliban, yasema inahitaji muda zaidi

    The Afghan government has postponed its plan to release Taliban prisoners, a senior official said, a decision that could sabotage a deal signed last month between the armed group and the United States. Javid Faisal, a spokesman for the National Security Council, said on Saturday the releases...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Corona virus: Tunajifunza nini toka kwa wengine?

    Moja kwa moja kwenye mada: Majirani zetu Kenya, Rwanda na DRC tayari wamesha ripoti kuwapo kwa wagonjwa wa corona katika nchi zao.Kwa hali hii ni wazi kuwa hapa kwetu ni suala la muda tu sasa. Wenzetu, katika nchi nyingi kutegemeana na ukubwa wa tatizo wame kuwa wakichukua hatua kadhaa katika...
  11. OLS

    JamiiForums Tanzania Je, mikopo isiyo na riba ya serikali inatangazwa kiwango cha kutosha?

    Ili kupunguza tatizo la ajira nchini, serikali kupitia Halmashauri zote nchini na Mfuko wa Rais, wanatoa mikopo isiyo na riba kwa vijana, wanawake na walemavu Halmashauri zinatoa asilimia 10 ya mapato yake ya ndani kwa vijana, wanawake na walemavu, ikiwa ni asilia 4, wanawake, asilimia 4 vijana...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Unajua kwamba ukitaka kukarabati nyumba yako au kuijengea uzio ni lazima uombe kibali Serikali za Mitaa kabla ya kufanya hivyo?

    Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imetilia mkazo sheria ya ardhi na upangaji miji ambayo inamtaka kila mkazi katika eneo lake anapotaka kufanya ukarabati wa nyumba yake, kupaka rangi ama kujenga uzio lazima awe na kibali kutoka halmashauri. Mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni, Aron...
  13. Mag3

    JamiiForums Tanzania Je, Huyu karani aliyeandika stakabadhi ya serikali ya Jamhuri ya Tanzania yuko sahihi?

    Sitaeleza mengi ila nitaachia picha iongee... Kinachohuzunisha na kusikitisha ni kwamba hii risiti imetolewa ofisini kwa Hakimu Mkazi Mwandamizi, Kisutu.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Chadema msikate tamaa; hata Nyerere, Mandela nk walihukumiwa kwenda jela na serikali zilizokuwa madarakani - na leo tunajua haikuwa halali

    Historia ina mambo ya ajabu sana. Binafsi huwezi kunishawishi hata chembe kwamba kweli viongozi wa Chadema walifanya makosa, na hata kama kuna chembe ya makosa katika mambo waliyoshitakiwa, walistahili adhabu walizopewa. Ninaamini kwa dhati kwamba adhabu walizopewa, kama hazina maagizo kutoka...
  15. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Tuipongeze Serikali kwa kupunguza ujangiri kwa zaidi ya 95%

    Mimi ni moja ya watanzania waliobahatika kuzaliwa kati ya moja ya mbuga ya wanyama maarufu sana hapa Tanzania na Duniani kwa ujumla. Miaka nakua mimi tulikua tunaishi Mbugani baadae tukaja kuondolewa, hivyo wanyama karibu wote nimekua nikiwaona kwa macho yangu, hivyo ningetamani huo urithi...
  16. Masinki

    JamiiForums Tanzania Tunazipenda sana ajira zetu ila watu wanaoitwa mabosi wanafanya tuzichukie na kuichukia Serikali

    Sahau kuhusu Simba na Yanga kwa leo. Karibu tuangazie suala hili. Ni kisa cha kweli nilichoadisiwa na mmoja wa marafiki zangu na classmate wangu,yeye ni mtumishi wa umma katika mkoa X wilaya X hapa nchini ameanza kazi mwaka 2011 kama afisa msaidizi baadaye akawa confirmed afisa kamili...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tuna unga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano, maendeleo hayana chama

  18. diana chumbikino

    JamiiForums Tanzania Serikali kuondoa changamoto zote uwekezaji

    SERIKALI itaendelea kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji na kuondoa changamoto zote zinazokwamisha sekta ya uwekezaji nchini. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema hayo juzi alipotembelea Kiwanda cha Saruji Simba jijini Tanga ambapo alizungumza na uongozi pamoja na wafanyakazi wa kiwanda hicho...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Sheria, VICOBA vinatakiwa kusajiliwa na kulipa kodi ya Serikali?

    Sheria ya Microfinance na kanuni zake inasemaje kuhusu vikundi vya watu kuweka fedha na kukopeshana yaani VICOBA(sio SACCOS)? Je,VICOBA vinatakiwa kusajiliwa? Na je,vinapaswa kulipa kodi? Kama vinapaswa kusajiliwa na kulipa kodi, kutosajili na kutolipa kodi adhabu yake ni nini?
  20. Parabora

    JamiiForums Tanzania Viongozi wasio na maono, weledi na ubovu wa mifumo unaifanya serikali kulipa watumishi wengi wasiokuwa majukumu ya kazi

    Nasema hili nikiwa nimeliona katika ofisi nyingi za serikali baada ya kurudi likizo huko nyumbani, Serikali inatumia gharama nyingi sana kulipa mishahara na posho za watumishi lakini ni wachache sana, wachache mno wanaofanya kazi, wengi wao wanaripoti na kupiga soga mda wote wakiwa kazini...
Back
Top Bottom