Uchumi wa Dunia nzima unashuka. Kwa Tanzania utalii ni kama umesimama wote na watu karibu wote inabidi wasimamishe safari zake mpaka mwakani. Sasa Tanzania tunaingiza $2.5B kwa mwaka mmoja tujiulize pesa za miradi tutapata wapi.
Ushauri wangu kwa muda mfupi Serikali ikope mapema kabla ya riba na bank nyingi duniani kkosa pesa. Pesa za banks nyingi duniani zinatoka kwenye makampuni lakini hakuna uzalishaji na baada ya miezi michache bank zitakuwa hazina pesa za kukopesha.
Hivyo Serikali ifanye sasa hivi kukopa na kukaa na pesa Benki Kuu wakati wa kusubiria maana hatutakuwa na pesa na kusababisha miradi mingi sana kusimama. Vilevile tuongeze uzalishaji kwenye kilimo kwa kasi. Nashauri Serikali ijaribu kupunguza gharama ambazo sio za lazima hata zile ndege hakuna ulazima wa kununua wakati huu.
Thamani ya kampuni ya Boeing imeshuka sana share zake kutoka $385 March 2019 mpaka $102 mwaka huu ni kushuka kwa 73%. Hata tukiwapa pesa za ndege sasa hawataweza kuwalipa wafanyakazi wao yaani itaenda kulipa wadai wao na inaomba pesa ya kuinusuru serikalini.
Serikali iweke mbinu za kujiandao na anguko la uchumi wa dunia kama mwaka 2008.