Mganga Mkuu wa Serikali ni nani na nini majukumu yake?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,171
9,397
Mahojiano aliyofanya Dkt Mohamed Janabi,kuhusu Corona na clip yake aliyoisambaza zimenifanya nijiulize maswali mengi kuhusu menejimenti wa mfumo wa afya hapa nchini!

Profesa Janabi alielezea ugonjwa kwa ufasaha kwa kiwango ambacho kimedhihirisha pengo kubwa Kati ya na kinara ambaye amekuwa akitoa taarifa na Elimu Waziri Ummy na wenzake !

Hakika Profesa Janabi ametuasa kuhusu hatari ya ugonjwa huu na jinsi gani tunatakiwa kujiandaa.

Wakati natafakari haya nikakumbuka kuwa Serikalini kuna mtu anaitwa Mganga Mkuu wa Serikali (Chief Medical Officer) nafikiri huyu ndiye alitakiwa kuwa msemaji wa Serikali kuhusu afya badala ya kumtumia Waziri. Cha kushangaza hata Naibu Waziri hapewi nafasi ilihali yeye Ni mtaalamu!

Hivi tatizo ni nini? Ni Waziri Ummy anapenda kuongea sana au ndio mfumo ulivo?

Kama ni mfumo jukumu la Mganga Mkuu wa Serikali ni nini!?

Inakuwaje Hadi media inachukua taarifa za kina Polepole kuwa tutaidhibiti Corona Kama tunavyothibiti upinzani.?😀😀😀
 
Dkt Janabi katafutwa na TBC hakwenda binafsi
Ktk maswala kama haya wasemaji ni Waziri wa Afya au viongozi wa juu
Hata ufipa leo kajitokeza mbowe kuahirisha jambo ambalo hata mnyika angelifanya kwa mtazamo wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr Janabi yule kweli anapaswa haswa kuitwa Dr ingawa yeye ni bingwa wa magonjwa ya moyo
Mahojiano aliyofanya Dkt Mohamed Janabi,kuhusu Corona na clip yake aliyoisambaza zimenifanya nijiulize maswali mengi kuhusu menejimenti wa mfumo wa afya hapa nchini!

Profesa Janabi alielezea ugonjwa kwa ufasaha kwa kiwango ambacho kimedhihirisha pengo kubwa Kati ya na kinara ambaye amekuwa akitoa taarifa na Elimu Waziri Ummy na wenzake !

Hakika Profesa Janabi ametuasa kuhusu hatari ya ugonjwa huu na jinsi gani tunatakiwa kujiandaa.

Wakati natafakari haya nikakumbuka kuwa Serikalini kuna mtu anaitwa Mganga Mkuu wa Serikali (Chief Medical Officer) nafikiri huyu ndiye alitakiwa kuwa msemaji wa Serikali kuhusu afya badala ya kumtumia Waziri. Cha kushangaza hata Naibu Waziri hapewi nafasi ilihali yeye Ni mtaalamu!

Hivi tatizo ni nini? Ni Waziri Ummy anapenda kuongea sana au ndio mfumo ulivo?

Kama ni mfumo jukumu la Mganga Mkuu wa Serikali ni nini!?

Inakuwaje Hadi media inachukua taarifa za kina Polepole kuwa tutaidhibiti Corona Kama tunavyothibiti upinzani.?

In God we Trust
 
Tatizo ni hiyo ID yako ndiyo imekifanya kichwa chako kishindwe kuelewa nini moandisha uzi amezungumzia
Dkt Janabi katafutwa na TBC hakwenda binafsi
Ktk maswala kama haya wasemaji ni Waziri wa Afya au viongozi wa juu
Hata ufipa leo kajitokeza mbowe kuahirisha jambo ambalo hata mnyika angelifanya kwa mtazamo wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Tafuta uzi wangu kuhusu ukimya wa MSD na mganga mkuu wa serikali kuhusu kuelezea status ya corona nikala mineno humu ndani mpaka basi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawajielewi wala hawajui ni nani anapaswa kuongea
CMO ndio ilikuwa aonekane sambamba na waziri wa Afya na hata PM kila anapoongelea hili ila kwetu naona ni tofauti kabisa

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mahojiano aliyofanya Dkt Mohamed Janabi,kuhusu Corona na clip yake aliyoisambaza zimenifanya nijiulize maswali mengi kuhusu menejimenti wa mfumo wa afya hapa nchini!

Profesa Janabi alielezea ugonjwa kwa ufasaha kwa kiwango ambacho kimedhihirisha pengo kubwa Kati ya na kinara ambaye amekuwa akitoa taarifa na Elimu Waziri Ummy na wenzake !

Hakika Profesa Janabi ametuasa kuhusu hatari ya ugonjwa huu na jinsi gani tunatakiwa kujiandaa.

Wakati natafakari haya nikakumbuka kuwa Serikalini kuna mtu anaitwa Mganga Mkuu wa Serikali (Chief Medical Officer) nafikiri huyu ndiye alitakiwa kuwa msemaji wa Serikali kuhusu afya badala ya kumtumia Waziri. Cha kushangaza hata Naibu Waziri hapewi nafasi ilihali yeye Ni mtaalamu!

Hivi tatizo ni nini? Ni Waziri Ummy anapenda kuongea sana au ndio mfumo ulivo?

Kama ni mfumo jukumu la Mganga Mkuu wa Serikali ni nini!?

Inakuwaje Hadi media inachukua taarifa za kina Polepole kuwa tutaidhibiti Corona Kama tunavyothibiti upinzani.?😀😀😀
Kwenye hili la utoaji elimu ya kinga ya Corona, Tanzania tuna tatizo, tumshukuru sana Mungu, hot tropical climate imetunusuru, vinginevyo...
Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best! - JamiiForums

P
 
Mahojiano aliyofanya Dkt Mohamed Janabi,kuhusu Corona na clip yake aliyoisambaza zimenifanya nijiulize maswali mengi kuhusu menejimenti wa mfumo wa afya hapa nchini!

Profesa Janabi alielezea ugonjwa kwa ufasaha kwa kiwango ambacho kimedhihirisha pengo kubwa Kati ya na kinara ambaye amekuwa akitoa taarifa na Elimu Waziri Ummy na wenzake !

Hakika Profesa Janabi ametuasa kuhusu hatari ya ugonjwa huu na jinsi gani tunatakiwa kujiandaa.

Wakati natafakari haya nikakumbuka kuwa Serikalini kuna mtu anaitwa Mganga Mkuu wa Serikali (Chief Medical Officer) nafikiri huyu ndiye alitakiwa kuwa msemaji wa Serikali kuhusu afya badala ya kumtumia Waziri. Cha kushangaza hata Naibu Waziri hapewi nafasi ilihali yeye Ni mtaalamu!

Hivi tatizo ni nini? Ni Waziri Ummy anapenda kuongea sana au ndio mfumo ulivo?

Kama ni mfumo jukumu la Mganga Mkuu wa Serikali ni nini!?

Inakuwaje Hadi media inachukua taarifa za kina Polepole kuwa tutaidhibiti Corona Kama tunavyothibiti upinzani.?
Majanga Tanzania huwa Yana siasa ndani.Mganga mkuu siyo mwanasiasa yupo Neutral hivyo msemaji lazima awe mwanasiasa ili kuwapa ujiko ule Upande.Halafu taarifa za wanasiasa zinachujwa Sana Kuna sehemu za kuamini Kuna sehemu inabidi ujiongeze.Waziri Ni mwanasiasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom