serikali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya Magufuli kuwatosa Wapalestina? Netanyahu anakuja Afrika ya Mashariki

    Tunamjua Rais wetu, akipewa heshima kubwa ya kubumba (charm offensive) au kusifiwa basi ataenda extra mile hadi kuichanachana misingi iliyowekwa na watangulizi wake. Sote tunafahamu kuwa sera ya nchi yetu kuhusu mgogoro wa Wapalestina na Waisrael ni kusimama na Wapalestina ili wapate haki yao...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania imefika pabaya sana, nchi za magharibi zikimwaga silaha nchini na kuweka vikundi vya waasi, vijana wataunga mkono kwa wingi dhidi ya serikali

    Wenye mamlaka wanalo la kujifunza japo ngozi nyeusi ni vigumu sana kutokujimwambafy pale wanapopata madaraka. Hakika huku mtaani kila ninapopita vijana wanashangilia na wanaona kama USA na washirika wake hawajachukua hatua stahiki inabidi aongoze vikwazo au kama walivofanya Libya, kuna baadhi ya...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Serikali pigeni marufuku ujinga huu wa wachungaji feki

    Naandika kufuatia tukio lililotokea mjini Moshi. Tunayo mifano ya haya yaliyotokea Moshi. Miaka ya 90 Alijitokeza Joseph Kibwetere aliyeteketeza roho za watu Uganda kwa makusudi. Ombi langu kwa serikali ni kupiga marufuku mikutano ya aina hii ambayo lengo lake ni kupotosha watu wenye udhaifu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Serikali kuangalia upya utaratibu wa kuanzisha Makanisa, Wachungaji watapaswa kuwa na Shahada ili kupunguza "Vibanda Imani"

    Waziri wa mambo ya ndani Mh Simbachawene amesema kufuatia vifo vya watu 20 kwenye Huduma ya Mwamposya huko Moshi, serikali itaangalia upya utaratibu wa kusajili hizi Huduma. Simbachawene amesema Wachungaji wanaoanzisha Huduma za kiimani watapaswa kuwa na shahada ili kupunguza " Vibanda Imani"...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Lema aishauri serikali juu ya mikusanyiko

    February 2, 2020 Mh. Lema atoa ushauri kwa idara za serikali kuhusu usalama Mh. Lema mbunge wa CHADEMA na waziri kivuli wa Mambo ya Ndani kambi ya upinzani, atoa ushauri kwa vyombo vya usalama kama Jeshi la Polisi, Idara ya Zimamoto na Uokoaji juu ya kujipanga popote kunapokuwa na mikusanyiko...
  6. C

    JamiiForums Tanzania NIDA

    Serikali kupitia mamlaka yake ya Usajili wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ilitoa muongozo wa kupata namba yako ya NIDA kwa njia ya kielectronic kama tayari MTU kishafika kwenye mamlaka halisi na kujisajili lakini anasubilia namba. Cha kushangaza ,Unapo andika ombi La kupata namba huambiwa ombi...
  7. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Magufuli chaguo la Mungu hayupo anayeweza kumwandama yeye na Serikali yake akabaki salama! Marekani wanajua thamani yake ndio maana hawamgusi

    Alijua athari ya kujipendekeza kwa Mabeberu nini kingetokea Jiulize kwa mfano wanasema wanamwekea Vikwazo asisafiri yeye Magufuli kwenda Marekani Dunia ingewashangaa Magufuli ukiangalia Safari yake ya kisiasa ni hatua ambazo mwenyezi Mungu alimpangia azipite na mpaka kusudio LA Mungu...
  8. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Kutamalaki kwa Hekima: Serikali ijibu vipi Marekani na kwanini? Mtego wa Ikulu

    Na. M. M. Mwanakijiji Serikali ya Marekani ingeweza kuchukua hatua kali zaidi kuliko ambazo imechukua kwa nchi rafiki kama ya Tanzania. Tangu wakati wa Kikwete Tanzania imejisogeza zaidi na Serikali ya Marekani kiasi kwamba ni sawa kabisa kuamini kuwa tuna uhusiano wa karibu na wa kirafiki na...
  9. Ulimbo

    JamiiForums Tanzania Je, ni viongozi wa Chama na serikali waliowahi kuwekewa vikwazo vya kuingia nchi za nje?

    Kutokana na hili la Mkuu wa mkoa wa Dar es salaamu kuzuiliwa kuingia Marekani, watu waengi wamajitokeza kila mmoja akileta mawazo yake juu ya jambo hilo. - Wengine serikali ipige marufuku wamarekani kuingia nchini - Rais atoe tamko - Marekani imevunja sheria ya kidiplomasia na mengine mengi...
  10. ibesa mau

    JamiiForums Tanzania Leo Serikali kulilia fedha za mabeberu, imekwama wapi?

    Serikali kila siku inajidai ina fedha za kutosha, inakusanya mapato mengi kuliko serikali zote, Leo kimewakuta nini hadi kilio kila kona. Ni nashauri tokeni hadharani muwaambie wananchi kwamba Yale mliyokuwa mnajimbwambafai kwa wananchi ilikuwa ni uongo na hadaa. Wachumi walikuwa wanahoji kila...
  11. Kitombise

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Rais Magufuli na Serikali yake kwa ujumla

    habarini za wakati huu. Ushauri wangu kwa rais ni kumpa mbinu ambazo atazitumia kutatua changamoto za kifedha kama world bank(WB) watasitisha kutupa mkopo wa $500million tuliokuwa tunatarajia kuupata ili tukatatue changamoto katika sekta ya elimu nchini. "japo kuna wanyapiaji nyuma ya pazia...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Marekani yaipongeza serikali ya Rais Magufuli, yatoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi kwa JWTZ

    Serikali ya Marekani inayoongozwa na Rais Donald Trump imefurahishwa na utendaji wa serikali ya awamu ya 5 na imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi. Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na magari ya kisasa ya kijeshi. Sherehe ya makabidhiano imefanyika katika viwanja vya kambi ya jeshi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Zitto Kabwe kutumia " ubunge" wake kuikosesha serikali mkopo wa WB kimethibitisha kauli ya Prof Assad kwamba Bunge si Imara

    Bunge limemtaka AG ambaye pia ni mbunge kuchunguza kama kitendo cha mbunge wa Kigoma mjini mh Zitto kutumia nyaraka za bunge kuishtaki serikali huko benki ya dunia hakina chembe chembe za Jinai ndani yake. Hapa nina maswali mawili: Mosi, Jinai inachunguzwa na mwanasheria mkuu wa serikali...
  14. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Nina wazo, Serikali ichukuwe hiyo hela kutoka kwa Watalii!

    Nimeona Tanzania inaingiza kama Watalii milioni 1.5, ili kupata hizo milioni 500 tulizonyimwa tuzichukuwe ktk kwa Watalii, ni Dola ~USD 330/Mtalii tunaipata hiyo milioni 500. Ni swala la kutafuta vitu 30 anavyofanya Mtalii hapa kwetu na kumuongezea Dola 10, kwa Muzungu wa first World country...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu ya Kenya yasitisha zoezi la kuchukua taarifa za fingerprints za watu

    My Take: Hizi ni aina za mahakama zinazotambua vyema wajibu wake wa kulinda haki za watu. Hizi information zikiwa ploriferated huna pa kukimbilia maana fingerprints ndiyo password yako usiyoweza kuibadili
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa serikali: Uchumi wa Tanzania umekua kwa 6.9%

    Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi amesema kwa takwimu za mpaka September 2019, uchumi wa Tanzania umekua kwa 6.9% huku matarajio yakiwa ni kufikia hadi 7.1% “kwa Afrika Mashariki tunahangaika na Rwanda, kwa Nchi za SADC Tanzania ni miongoni mwa Nchi ambazo zinaongoza kwa uchumi wake...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu Mwamakula: Sakata la Zitto, Serikali na Benki ya Dunia litufungue macho kuhusu umuhimu wa maridhiano ya kisiasa nchini

    SAKATA LA MHESHIMIWA ZITTO, SERIKALI NA BENKI YA DUNIA LITUFUNGUE MACHO KUHUSU UMUHIMU WA MARIDHIANO YA KISIASA NCHINI Nimeona barua iliyoandikwa na Mheshimiwa Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini kwenda Benki ya Dunia kuiomba Benki hiyo izuie au iahirishe kutoa mkopo kwa Serikali ya Tanzania...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yakataa ombi la CHADEMA la kutaka uchaguzi wa Serikali za Mitaa urudiwe, Waziri Mkuu asema wagombea ndio walipaswa kukata rufaa

    Waziri Mkuu Mh Majaliwa amesema serikali haiwezi kukubali kurudiwa kwa uchaguzi wa serikali za mitaa kama ilivyoombwa na Chadema kwa sababu kila uchaguzi una kanuni na taratibu zake. Majaliwa amesema Wagombea wa Chadema ndio waliopaswa kulalamika na kukata rufaa kwa mujibu wa sheria na sio...
  19. G Sam

    JamiiForums Tanzania Nitaendelea kushirikiana na Zitto Kabwe pamoja na Lissu kuichoma Serikali ya Tanzania

    Mimi siyo mnafiki ila kiukweli ninayajua na kuyafahamu mengi yanayofanywa na Serikali ya Magufuli. Serikali kusema kweli imekuwa ikifanya mambo ya ukandamizaji na haya yanayohubiriwa hakuna lolote lile. Sasa basi mimi nitaendelea kutoa ushirikiano kwa wadau wanaotaka mambo yaende sawa. Kusema...
Back
Top Bottom