Ghafla bin vuu Serikali yote imehamia Dodoma, matamko yote yanatolewa ndani ya viunga vya ugogoni!

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Yani kila kiongozi wa serikali sasa yupo Dodoma. Tunaona mpaka kumbe waziri mkuu au Rais anaweza kuongea na wasaidizi wake nchi nzima akiwa tu Dodoma.

Ila kiukweli nilikuwa sijui kama Rais Magufuli yupo Dodoma hadi nilopomuona leo. Mara ya mwisho aliishia hapo kati hapo kwenye lile daraja nikawa najiuliza kaelekea kona ipi tena?

Sina uhakika sana kama VP yuko hapo Dodoma ila nawaza kuwa lazima atakuwa tu huko. Dodoma kumbe ni sehemu salama ya kuusalimisha uhai.

Hatimaye Dar imekuwa shubiri ghafla. Yani washua wetu mmetukimbia wakati tulikuwa wote kwenye raha? Haya bwana acheni sisi tupambane na sinema za mwana fa na meja Kunta maana hatuna namna wala pa kujisalimisha. Dar ni yetu tunaenda nayo hivyo hivyo! Tukimaliza mapambano mnakaribishwa tena washua!
 
Hatimaye Dar imekuwa shubiri ghafla. Yani washua wetu mmetukimbia wakati tulikuwa wote kwenye raha? Haya bwana acheni sisi tupambane na sinema za mwana fa na meja Konta maana hatuna namna wala pa kujisalimisha. Dar ni yetu tunaenda nayo hivyo hivyo! Tukimaliza mapambano mnakaribishwa tena washua!
Walipokuwa na maono ya kuhamia dodoma, ilikuwa ni kuepuka majanga kama hili la corona virus lisiwapate maana mpaka lifike dodoma wao wameshajihami vya kutosha.
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Wewe Pambana na Covid 2019

Kaka kwenye afya kila mtu atabeba msalaba wake

Dar corona kama kweli ikikaza buti hata wewe utapita njia ya mkato kuelekea huko Nanjilinji

Usilete mzaha umeona Italia watu 400 mpka 600 kila siku

Huko Italia wao walikula bata na kuishi kama wewe sasa bila tahadhari

Chukua tahadhari mkuu, usiishi kwa mazoea
Yani kila kiongozi wa serikali sasa yupo Dodoma. Tunaona mpaka kumbe waziri mkuu au Rais anaweza kuongea na wasaidizi wake nchi nzima akiwa tu Dodoma.

Ila kiukweli nilikuwa sijui kama Rais Magufuli yupo Dodoma hadi nilopomuona leo. Mara ya mwisho aliishia hapo kati hapo kwenye lile daraja nikawa najiuliza kaelekea kona ipi tena?

Sina uhakika sana kama VP yuko hapo Dodoma ila nawaza kuwa lazima atakuwa tu huko. Dodoma kumbe ni sehemu salama ya kuusalimisha uhai.

Hatimaye Dar imekuwa shubiri ghafla. Yani washua wetu mmetukimbia wakati tulikuwa wote kwenye raha? Haya bwana acheni sisi tupambane na sinema za mwana fa na meja Konta maana hatuna namna wala pa kujisalimisha. Dar ni yetu tunaenda nayo hivyo hivyo! Tukimaliza mapambano mnakaribishwa tena washua!
 
Yani kila kiongozi wa serikali sasa yupo Dodoma. Tunaona mpaka kumbe waziri mkuu au Rais anaweza kuongea na wasaidizi wake nchi nzima akiwa tu Dodoma.

Ila kiukweli nilikuwa sijui kama Rais Magufuli yupo Dodoma hadi nilopomuona leo. Mara ya mwisho aliishia hapo kati hapo kwenye lile daraja nikawa najiuliza kaelekea kona ipi tena?

Sina uhakika sana kama VP yuko hapo Dodoma ila nawaza kuwa lazima atakuwa tu huko. Dodoma kumbe ni sehemu salama ya kuusalimisha uhai.

Hatimaye Dar imekuwa shubiri ghafla. Yani washua wetu mmetukimbia wakati tulikuwa wote kwenye raha? Haya bwana acheni sisi tupambane na sinema za mwana fa na meja Kunta maana hatuna namna wala pa kujisalimisha. Dar ni yetu tunaenda nayo hivyo hivyo! Tukimaliza mapambano mnakaribishwa tena washua!
Hata viongozi wakuu wa Chadema wote wako Dodoma!
 
Wewe Pambana na Covid 2019

Kaka kwenye afya kila mtu atabeba msalaba wake

Dar corona kama kweli ikikaza buti hata wewe utapita njia ya mkato kuelekea huko Nanjilinji

Usilete mzaha umeona Italia watu 400 mpka 600 kila siku

Huko Italia wao walikula bata na kuishi kama wewe sasa bila tahadhari

Chukua tahadhari mkuu, usiishi kwa mazoea
Tumeambiwa tuchape kazi maana Corona si zaidi ya ajali wala malaria wala UKIMWI. Ila aliyetuambia hivyo katuachia msala yeye kaamua kula kona.
 
Italy serikali wamekata tamaa,hili janga limewashinda. PM wao amesema hakuna majibu duniani,wanasubiri toka angani(sala na maombi).
 
Watakuelewa wenye akili kama mimi, ila siku akionekana mtu fulani pale mitaa ya nane nane ana kohoa na kubanwa na kifua huku akiharisha utasikia watu wanaomba likizo kwenda kanda ya ziwa. G Sam,

In God we Trust
Huyo mtu atapigwa shaba chaaap

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Yani kila kiongozi wa serikali sasa yupo Dodoma. Tunaona mpaka kumbe waziri mkuu au Rais anaweza kuongea na wasaidizi wake nchi nzima akiwa tu Dodoma.

Ila kiukweli nilikuwa sijui kama Rais Magufuli yupo Dodoma hadi nilopomuona leo. Mara ya mwisho aliishia hapo kati hapo kwenye lile daraja nikawa najiuliza kaelekea kona ipi tena?

Sina uhakika sana kama VP yuko hapo Dodoma ila nawaza kuwa lazima atakuwa tu huko. Dodoma kumbe ni sehemu salama ya kuusalimisha uhai.

Hatimaye Dar imekuwa shubiri ghafla. Yani washua wetu mmetukimbia wakati tulikuwa wote kwenye raha? Haya bwana acheni sisi tupambane na sinema za mwana fa na meja Kunta maana hatuna namna wala pa kujisalimisha. Dar ni yetu tunaenda nayo hivyo hivyo! Tukimaliza mapambano mnakaribishwa tena washua!
Anashinda CHATO hapo anapitaga tu. Ila mara nyingi yuko Chato.
 
Na ikifika hata kwa kina agwe utasikia yupo kule kwenye samaki wa maji baridi kajituliza

Back
Top Bottom