Kwa jicho la tatu: Tanzania ni nchi yenye Serikali inayokabiliana na raia wake? Yenye kupenda kuwatisha raia wake? Nimeuliza tu

capitrait

Senior Member
Jul 18, 2013
100
225
Angalia issue ya Corona: TCRA wanaibuka wanasema itawatia watu ndani.

Angalia issue ya mishahara hewa ya Polisi: Jana, Magufuli anasema pingu mnazo nyie, lock up nyie kwanini msiwakamate?

Angalia issue ya wasiojulikana: Watieni ndani wale wanaorisit issues za watu kutekwa.

Angalia issue ya DPP dhidi ya Mh Lema: DPP anaongea kama mahakama ni yeye na kahukumu tayari, halafu anaongea kwa ujeuri balaa hahahaha. Imebidi Lema amjibu kuwa asimtishe.

Angalia issue ya takwimu: Huruhusiwi kutoa takwimu zozote, hii hata wafadhili wetu walitumaindi. Na ukitoa tu unawekwa ndani!

Angalia kiingereza cha Prof. Ndalichako na Mchina mkandarasi: Don't play with the government we will put you inside until further notice hahahaha. Dah!

Angalia issue ya Akwilina: Imewagharimu akina Mbowe Tsh ml 350. Hahahaha

Angalia issue ya yule dogo aliyeripoti JPM Hostel zina nyufa: Alipelekwapelekwa hadi huruma. Hahahahaha.

Angalia issue ya waziri wa lile Daraja la kuunganisha Moro na Dodoma: Jamaa, Eng Kamwele lakini mkwara aliokuwa anakula ni hatari balaa. Hahahahaha

Angalia issues za DC sabaya:
Hahahahaha.

Matukio ni mengi sana, mnaweza kuongeza.

Je, awamu hii ya JPM ni ya kutishanatishana sana? Ni ya KUKABILIANA na raia wake? Ni kama utawala wa kikoloni?

Tupo Kirwandarwanda!?

Naombeni mnikosoe pengine nina maono potofu. Nisaidie Watanzania wenzangu.

Thanks!
 
Ryaro wa Ryaro1233

Senior Member
Jan 7, 2020
125
250
Daaah!!! Umefikiria sana sijui nini kimekufanya utulize ubongo wako na kuyadadavua hayo yote...Serikali yetu ni sikivu itayafanyia kazi yale yote ambayo yalienda ndivyo sivyo....
 
sblandes

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
4,310
2,000
Duu haya ni mapungufu makubwa ya uwezo wa kushawishi jambo kwa watu walio wengi wakakuelewa na wakalitekeleza bila mtafaruko.
Mara nyingi linatokana uwoga wa kutii jambo bila kulielewa.
Na hii usababisha manunguniko ya chinichini,kwa watu wale wale waliopewa mamlaka ya kusimamia au kuongoza jambo.
Matokeo yake uzaa unafiki.
 
KAPONGO

JF-Expert Member
May 29, 2009
1,480
1,500
Angalia issue ya Corona: TCRA wanaibuka wanasema itawatia watu ndani.

Angalia issue ya mishahara hewa ya Polisi: Jana, Magufuli anasema pingu mnazo nyie, lock up nyie kwanini msiwakamate?

Angalia issue ya wasiojulikana: Watieni ndani wale wanaorisit issues za watu kutekwa.

Angalia issue ya DPP dhidi ya Mh Lema: DPP anaongea kama mahakama ni yeye na kahukumu tayari, halafu anaongea kwa ujeuri balaa hahahaha. Imebidi Lema amjibu kuwa asimtishe.

Angalia issue ya takwimu: Huruhusiwi kutoa takwimu zozote, hii hata wafadhili wetu walitumaindi. Na ukitoa tu unawekwa ndani!

Angalia kiingereza cha Prof. Ndalichako na Mchina mkandarasi: Don't play with the government we will put you inside until further notice hahahaha. Dah!

Angalia issue ya Akwilina: Imewagharimu akina Mbowe Tsh ml 350. Hahahaha

Angalia issue ya yule dogo aliyeripoti JPM Hostel zina nyufa: Alipelekwapelekwa hadi huruma. Hahahahaha.

Angalia issue ya waziri wa lile Daraja la kuunganisha Moro na Dodoma: Jamaa, Eng Kamwele lakini mkwara aliokuwa anakula ni hatari balaa. Hahahahaha

Angalia issues za DC sabaya:
Hahahahaha.

Matukio ni mengi sana, mnaweza kuongeza.

Je, awamu hii ya JPM ni ya kutishanatishana sana? Ni ya KUKABILIANA na raia wake? Ni kama utawala wa kikoloni?

Tupo Kirwandarwanda!?

Naombeni mnikosoe pengine nina maono potofu. Nisaidie Watanzania wenzangu.

Thanks!
Wacha kuwa na mawazo na mitazamo ya kisengerechuma! Nchi yeyote lazima ikabiliane na changamoto lukuki katika kutekeleza majukumu yake ya kuwatumikia raia.
Hata chama chako kingefanikiwa kushika madaraka kingepambana na changamoto nyingi tu.
 
mzamifu

JF-Expert Member
Mar 10, 2010
4,660
2,000
Woga nao mh! Umezuka mtindo viongozi wakitajwa tu na mkuu huinuka na kusujudu umeenea sana. Tafsiri yake ni nini hasa. Likiwepo pungufu fulani basi mhusika ananywea kabisa. Ukiangalia hotuba ya makabidhiano ya ripoti ya Cag na Takukuru utagundua kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hjayhals

JF-Expert Member
Feb 13, 2013
696
500
Sasa hivi wanapita vichochoroni kupiga faini 50,000 ambao hawajaweka ndoo za kunawa mikono ama sanitizer katika viofisi vyao vya kujitafutia mlo... Dah! Badala ya kupita kuwafikishia elimu wanapita kuwapiga faini ukute mtu hajui hata kama kuna corona tanzania.

Angalia issue ya Corona: TCRA wanaibuka wanasema itawatia watu ndani.

Angalia issue ya mishahara hewa ya Polisi: Jana, Magufuli anasema pingu mnazo nyie, lock up nyie kwanini msiwakamate?

Angalia issue ya wasiojulikana: Watieni ndani wale wanaorisit issues za watu kutekwa.

Angalia issue ya DPP dhidi ya Mh Lema: DPP anaongea kama mahakama ni yeye na kahukumu tayari, halafu anaongea kwa ujeuri balaa hahahaha. Imebidi Lema amjibu kuwa asimtishe.

Angalia issue ya takwimu: Huruhusiwi kutoa takwimu zozote, hii hata wafadhili wetu walitumaindi. Na ukitoa tu unawekwa ndani!

Angalia kiingereza cha Prof. Ndalichako na Mchina mkandarasi: Don't play with the government we will put you inside until further notice hahahaha. Dah!

Angalia issue ya Akwilina: Imewagharimu akina Mbowe Tsh ml 350. Hahahaha

Angalia issue ya yule dogo aliyeripoti JPM Hostel zina nyufa: Alipelekwapelekwa hadi huruma. Hahahahaha.

Angalia issue ya waziri wa lile Daraja la kuunganisha Moro na Dodoma: Jamaa, Eng Kamwele lakini mkwara aliokuwa anakula ni hatari balaa. Hahahahaha

Angalia issues za DC sabaya:
Hahahahaha.

Matukio ni mengi sana, mnaweza kuongeza.

Je, awamu hii ya JPM ni ya kutishanatishana sana? Ni ya KUKABILIANA na raia wake? Ni kama utawala wa kikoloni?

Tupo Kirwandarwanda!?

Naombeni mnikosoe pengine nina maono potofu. Nisaidie Watanzania wenzangu.

Thanks!
 
Mromboo

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
1,910
2,000
Kigwangala na wale wapandishwa cheo wa Jeshi Usu.

Katibu Mkuu Wa CCM Dr. Bashiru Ally na yule Mwandishi wa The CITIZEN aliyefukuzwa kazi.
 
Top Bottom