sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Kuna binti nipo naye kwenye mahusiano, kumbe ana mwanume mwingine na wana miaka 5 kwenye mahusiano

    Hlw Nipo nae tangia mwaka juzi, nilimtongoza akanikubalia nikaanza kuhudumiana naye kama girlfriend wangu na alinambia yupo chini ya uangalizi na wazazi wake so alikuwa akiishi kwao Nikimuhitaji nampata na tunakesha kesho yake anarudi kwao Jana nampigia simu anapokea jamaa yake huku analia na...
  2. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Nataka nibadili jina langu JF baada ya watu kulisema sana

    Mzuka wana jamvi ? Kuna wapuuzi humu JF walikuwa wanafananisha jina langu na la ID ya Chizi Maarifa wakati ni majina mawili tofauti yasiyo fanana sasa baada ya kelele zao nimeona nibadilishe jina na nataka nichague jina Moja kati ya yafuatayo 1. Ghayo de Nyangwisi 2. Ghayo de Nyambumbu 3...
  3. haszu

    JamiiForums Tanzania Natongozwa sana kazini, halafu ni walionizidi umri

    Yani kuna wakati najisikia niringe au nijivune kwa attention ninayopata, lkn kuna wakati naona kama mwisho wa hili hautakua mwema. nimekua nikitongozwa sana tangu nianze kazi, na wengine ni watu lazima nikutane nao kila siku na wengine wamenizidi cheo. Kwa sasa na kipato cha uhakika nimezidi...
  4. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Trump: Usiku wa leo tunaenda kuishambulia vibaya sana Iran.

    Trump anaenda kujitia kidole cha macho.
  5. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Nimefarijika sana TBC kuonesha kombe la dunia

    Hamjambo Naomba wasiwe wanachagua mechi waonyeshe mechi zote Na waache tabia ya kukata mechi kipindi inaendelea Nafikiria kidogo kuunganisha mawazo yangu Azam Tv na TBC kuhusu kuonyesha hizi mechi lakini binafs hainihusu Sina pesa ya kulipia king’amuzi kwa miez hii miwili mitatu na stress...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar ni watu wema sana, Uislamu wao umewafanya wawe hivyo

    1. Kuna watu wanapoteza mamilioni ya fedha ,zinaokotwa na kutangaziwa wenyewe na kukabidhiwa 2. Wakati wa Ramadhani, wanakula nje, wakipita wengine wanakarabishwa. Wakiristo wengi wanakula-Ushahidi wa hili nenda msikiti shurba kidongo chekundu mwezi wa ramadhani 3. Wakiristo wengi hasa J2...
  7. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Hii Retro Tour inadhihirisha Diamond Plutnumz ni moja ya performers wakubwa sana Africa

    Huyu kijana asingejiingiza kwenye mambo ya uchaguzi kwa kauli zile mwaka jana basi angejaza sana kwenye hii retro tour yake. Perfomance nzuri sana, mziki unapigwa live yaani bila chenga wala auto tune. Vifaa sasa wamejitahidi sana, trombone, saxophone, na sauti iko swaafi sana, yaani murua au...
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Je Taarifa Hii Iliyochapishwa na Jarida la Mambo ya Intelijensia Afrika Ina Ukweli Wowote Kuhusu Namba Samia na Nchimbi. Serikali Ikanushe

    My Take Jarida Maarufu la Habari za Intelijensia na Usalama Afrika "The African Report" limechapisha habari hii kuhusu Wakuu wetu. Kama sio ukweli na chokochoko za kibeberu kutia chumvi basi ni vyema Serikali ikakanisha. Mjumbe Hauwawi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Chief Justice, this is not fair! Lissu ameteseka sana gerezani, why postpone his case? Muamue moja mnaloona linamfaa

    Ni vema mkamhukumu mnavyoona/ mnavyopenda kuliko haya mateso mnayompa. Ajue moja, ananyongwa au anafungwa au anaachiwa. Mwamwindi wa Iringa, aliamua moja akalitimiza, akamuua Kleruu na Mwalimu Nyerere akaamua moja akamnyonga. Nanyi amua moja mlitimize. Why postpone his case?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Naibu Waziri wa Vijana, Hassan Khamis: Wanaofanya kazi kwenye Mahotel Zanzibar siyo wazawa inabidi tufanye Mapinduzi

    Naibu Waziri wa Vijana, Ajira na Uwezeshaji, Zanzibar Hassan Khamis Hafidh, akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti ya Vijana katika Baraza la Wawakilishi Juni 6, 2026, alisema licha ya kuwepo kwa hoteli 1,184 zilizosajiliwa Zanzibar, idadi kubwa ya wafanyakazi katika baadhi ya...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ombaomba wa Tanzania ni wabunifu sana

    Kuna wamama nimekutana nao barabarani wanaomba msaada ukishuka tu kwenye gari wanaanza kwa kuambia "Asalamaleko, kuna jambo zuri la baraka tungependa kukushirikisha kwa ajili ya sadaka..." kisha wanakupa kadi yenye maelezo mengi, mwisho wa siku kumbe ni msaada tu unatafutwa Kuna wakina mama wa...
  12. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Nampenda Trump Ila anaboa Sana ni mwoga wa Vita salute kwa Benjamin Netanyahu

    Km Trump asingekuwa mwoga wa Vita utawala wa kigaidi wa Iran ungeshaanguka mpaka Sasa Sasa Trump anapigana Vita vya sitaki nataka Iran ikipokea kipigo kidogo tu ikiomba ceasefire naye anajaa anasimamisha Vita Israeli ukianza kuangusha Moto mtakatfu kwa magaidi,Iran wanampigia simu Steve...
  13. Red black

    JamiiForums Tanzania Muda ni mwalimu mzuri sana🕛

    Jambo lolote linalokusibu, kukusumbua,au una mashaka nalo lipe muda.
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Toyota Rush. Moja ya gari pendwa sana kwa baadhi ya watu ni kiwemo mimi

    Toyota Rush ni gari aina ya SUV ndogo (compact SUV) inayotengenezwa na kampuni ya Toyota Rush. Inajulikana kwa kuwa ya familia, yenye nafasi na uwezo wa kuhimili barabara mbaya. Sifa kuu za Toyota Rush Injini ya petroli ya 1.5L Ina uwezo wa kubeba abiria 7 Ground clearance kubwa (huisaidia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Napenda sana designer

    Hivi ninawezaje kuanza kuwa kuwa clothes designer. Usharudi.
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Leo nimemwona Mwandambo Daah! Mpaka nimelia. Nimesikitika Sana

    Mpo salama Wakuu! Leo acheni tuu! Msinione nimekuja nimenyong'onyea. Mambo niliyokutana nayo yanaumiza Sana. Mara ya mwisho kulia machozi ni kwenye Msiba wa Bibi Yangu Kipenzi. Mwaka Juzi yaani miaka miwili iliyopita. Mimi ni wale wanaume tunaoamini Mwanaume hapaswi kulia. Na ikitokea Amelia...
  17. SIR MGAX

    JamiiForums Tanzania Huyu mchaga ni level ya juu sana

    Wachaga ni wasomi sana lakini mbona siwaoni katika nafasi kubwa za uongozi?
  18. C

    JamiiForums Tanzania Tangu nijiunge JF nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu wanawake na saikolojia yao kwa ujumla

    Wanawake wanapenda ngono sana sana... nimegundua kwamba, huenda wao ndo wanapenda sana ngono kuliko wanaume. kitu cha kushangaza ni kwamba huku mitaani au sehemu yoyote ukimface wanawake huonyesha kwamba hawapendi, na kwamba wewe ndio unamconvice apende. kwakua huku ni anonymous, wanaonyesha...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunaabudu sana viongozi, inatumaliza

    Watanzania tunaabudu sana mtu anaeitwa kiongozi. Tunakuwa "awe stricken...." tunazidiwa na furaha. Nimeona clip Kenan Kihongosi - of all the people - ametokea kwenye tawi la CHADEMA sijui ni mkoa gani pale..... Tawi kabisa lina jiwe la msingi na mabendera ya CHADEMA Watu wakaanza...
  20. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Kutofanya mapenzi kwa muda mrefu ni mbaya Sana Kwa Sisi wanaume

    Hii ni Kweli kabisa ukizingua wee ni boya kabisa. Kwa Sisi wanaume tusipokula mzigo Kwa Muda mrefu akili inakuwa kama imeganda hivi.Unaweza kuidanganya akili kwamba huwazi Tena kuhusu papuchi lakini pale unapoenda kuoga alafu Mzee wa kazi ukiupaka sabuni ndio utajua Kula mzigo ni Tiba Kwasisi...
Back
Top Bottom