Hii Retro Tour inadhihirisha Diamond Plutnumz ni moja ya performers wakubwa sana Africa

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
3,344
Reaction score
13,254
Huyu kijana asingejiingiza kwenye mambo ya uchaguzi kwa kauli zile mwaka jana basi angejaza sana kwenye hii retro tour yake.

Perfomance nzuri sana, mziki unapigwa live yaani bila chenga wala auto tune.

Vifaa sasa wamejitahidi sana, trombone, saxophone, na sauti iko swaafi sana, yaani murua au mufti kama wanavyosema shemeji zangu wa mombasa.
 
Bei anayoiweka kwenye show yake ni nyingi na still anapata watu wengi hiyo ameweza kwa kweli, kwa usawa huu kiingilio cha chini unaweka 50,000 we unaona kazi ndogo na hapo ni mkoani
 
Ila naona bado amepata pata watu.
 
Bei anayoiweka kwenye show yake ni nyingi na still anapata watu wengi hiyo ameweza kwa kweli, kwa usawa huu kiingilio cha chini unaweka 50,000 we unaona kazi ndogo na hapo ni mkoani
Ningeshangaa sana kama nisingekuona kwenye huu uzi wa kumsifia Dai,
Hivi yule mwenzako sinza pazuri alipotelea wapi?

Usinifokee tu naumwa sikio.
 
ole wake nisikie mtu analalamika kuhusu michango ya Harusi.
kama mna nguvu za kuchangia mambo ya kishetwani muwe na nguvu hizo hizo kwenye mambo matakatifu
 
Ningeshangaa sana kama nisingekuona kwenye huu uzi wa kumsifia Dai,
Hivi yule mwenzako sinza pazuri alipotelea wapi?

Usinifokee tu naumwa sikio.
Tanzania tuna shida ya akili na ndio maana mpaka Sasa Kuna uchadema na uccm nilitegemea utakuja na hoja badala yake umejikita kwenye assumption kwamba Ninapenda msanii
 
Kumbe mna shida ya akili huko? Basi ndio maana imekuchoma wakati mimi nimeandika jambo la kawaida tu,

Basi siku mkimaliza hilo tatizo la akili,urudi tena hapa kujibu comment yangu bila masikitiko.
 
WEWE unataka tubishane na Mimi hiyo kitu sina
 
Back
Top Bottom