Kuna wengine wino mwekundu ulishaandikwa kwenye kitabu ya Mwemyezi Mungu unataabika mpaka mwisho wako tabu juu ya tabu.. naunga mkono hoja yako kabisaIla usiweke matarajio makubwa maana muda mwengine nyakati ngumu huwa haziishi
Dah inatia hurumaKuna wengine wino mwekundu ulishaandikwa kwenye kitabu ya Mwemyezi Mungu unataabika mpaka mwisho wako tabu juu ya tabu.. naunga mkono hoja yako kabisa
na utampata mwingine😅Ukiachwa na mpenzi jipe muda utapona.
Wafanya kazi ngumu, unakuta nikusukuma mkokoteni life lote Hadi unazeekaDah inatia huruma
Kuna wengine kupambana wanapambana sana tu ila mateso kwao ni pie
Sio poa mkuu maisha hayapo fair kabisaWafanya kazi ngumu, unakuta nikusukuma mkokoteni life lote Hadi unazeeka