sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Mko wapi, tatizo mnajificha sana mabroo

    Niko tu uchochoroni, Siziwezi hekaheka za vijana Mimi Mzee wenu,nipo mahali nimejibanza napata local beer
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Msemo wa Sugu ‘matako yenu’ umekaa kishamba sana, aliye karibu naye mwambie aachane nao

    Mheshimiwa Joseph Mbilinyi aka sugu sijakataa ana kipaji cha kuongea na kuhamasisha watu, lakini kuna baadhi ya misemo yake kama ‘matako yenu’ imekaa kishamba kuliko kisiasa au kiuongozi. Kila kiongozi huwa na jingle yake, lakini jingle pia inatakiwa ijenge heshima na ukubwa wa brand yake. Kwa...
  3. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Nilitegemea huyu kijana ataitwa bungeni kupewa zawadi, ila wachezaji wa mpira wanapishana huko bungeni

    Kijana Wa Kitanzania Aibuka Mshindi Mashindano Ya Nyuklia Kimataifa Kijana mtaalamu kutoka Tanzania, Japhet Matekere, amechaguliwa kuwa mmoja wa washindi wa mashindano ya video ya kimataifa ya “Atoms Empowering Africa 2026”. Mashindano hayo yaliyoandaliwa na kampuni ya nishati ya nyuklia ya...
  4. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Kombo: Rais Samia amesemwa na kuchorwa sana baada ya uchaguzi, wakati amefanya kazi kubwa kutulinda kuwa na uhai

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa siku za hivi karibuni Rais Samia amekuwa akisemwa na kuchorwa sana na lawama zote kupewa yeye kutokana na matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi, wakati rais alifanya kazi kubwa ya kikatiba...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Harakati ni kupambania yale ambayo yanaonekana hayako sawa

    HARAKATI siku zote huwa zina lengo la kupambania yale ambayo tunadhani hayako sawa kwenye jamii na yale ambayo tunadhani yalitakiwa kufanywa kwa mtazamo mwingine kabisa na huwa zinakuwa na lengo la kuikumbusha serikali au watawala juu ya mambo fulani fulani. HARAKATI haiwezi kugeuzwa kuwa ni...
  6. X

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani wana economic cooperation with China? Dunia ina unafiki sana

    Moja ya jambo limeniacha na peace of mind ni kuwa neutral sana kwenye siasa za Tanzania zisizoeleweka. Nimeona mahali JF mleta mada ameleta document ya Desemba 2025 ambapo bunge la senate la Marekani limepanga kupitisha muswada unaagiza kutathmini ushirikiano wa Tanzania na China kijeshi...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kuna ongezeko kubwa sana la chuki kutoka kwa wananchi kwenda kwa viongozi wao

    Nimekuwa nafuatilia vyombo vya habari hususan mitandao ya kijamii na mazungumzo ya watu mitaani. Siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la chuki kwa viongozi wakuu wa nchi. Chuki hizi zaweza kuipeleka nchi pabaya, je nini kifanyike.
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Niliroga sana

    Niliroga mchana nikaroga usiku, niliroga kushoto nikaroga kulia, niliroga mashariki nikaroga magharibi, niliroga kaskazini nikaroga kusini. Niliroga chini nikaroga juu, niliroga mbele nikaroga nyuma, niliroga jua nikaroga mwezi, niliroga nyota nikaroga mawingu. Niliroga milima nikaroga...
  9. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Kijana Usithubutu kuzaa nje ya Ndoa! Tafadhari sana! Uliza wakongwe

    Tafadhari tafadhari sana. Mtoto wa nje ya ndoa ni shida sanaaa! Hii hesabu haijawahi kukaa vizuri. Mimi ni muhanga
  10. Mad Max

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA ovyo sana. Siku ya nne Maji hamna Mitaa ya Mbezi!

    Management ya DAWASA na wafanyakazi wake wote mna roho za ajabu sana. Sijui mnataka tuishije bila maji. Mnatuchukulia poa sana. Mkijisikia njooni mrudishe Maji Mitaa ya Mbezi.
  11. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa sana na serikali kutompa ushirikiano Terence Crawford na badala yake wakampa Ferdinand.

    Jamaa Terence Crawford ni bondia bora zaidi kwa kipindi hiki akiwa na mafanikio tele kwenye mchezo wa boxing na ni bondia anayetazamwa sana kwa kifupi ni bondia mwenye heshima tele kwenye mchezo wa boxing hivyo ana nguvu kubwa sana ya ushawishi. Jamaa yupo peace sana kwanza alileta taarifa ya...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ili kuitetea Serikali ya CCM ya sasa unahitaji kuwa muongo sana na usie na hata chembe ya aibu!

    Serikali yetu chini ya CCM imegeuka kuwa kituko cha Karne yaani wanadiriki kudanganya kusema uongo na kupiga propaganda ambazo nadhani hata shetani anakaa kuwashangaa.!
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Omar Mahita: Nilikuwa IGP katili sana

    Unamkumbuka IGP Omar Mahita? moja IGP aliyesifika kuwa katili vibaya sana na yeye mwenye amethibitisha hiyo kwa kusema alikuwa acheki na mtu anakwambia "Ukicheza na bwa utaingia naye msikitini" IGP mstaafu Omar Mahita ameyasema hayo kwenye M&S Podcast
  14. DR VRM

    JamiiForums Tanzania Elimu rasmi sio kigezo pekee au cha mtu kuwa tajiri kihalali, lakini ni nyenzo thabiti sana inayoweza kurahisisha kukuza utajiri

    Unaweza kumfundisha mtoto wako kutafuta na kutumia pesa kwa kuanza kumjengea tabia ya kuweka akiba, kuelewa thamani ya kazi kupitia shughuli ndogo za nyumbani, na kumshirikisha katika maamuzi ya kifamilia ili kueleza tofauti kati ya matakwa na mahitaji ya msingi Kujenga akili ya kifedha...
  15. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na kitu cha ajabu sana

    Miaka ya sitini katikati kulikuwa na mzee mmoja anauza genge pahala, alikuwa ni maarufu sana, Hivi majuzi nimekutana nae na cha jabu alikuwa amevaa shati lile lile maarufu, nikadhani labda ninaota...nikamuita fulani?? akaitika naam....nikamuuliza siku hizi upo wapi, akanijuza yu sehemu...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Aliyepewa ukiranja Mkuu amejitahidi sana kuficha uhalisia wake lakini hatimae ameonyesha rangi yake halisi Kuna ushahidi wake aliahidi kutoa miaka ile

    Narudia kusema siasa sio mpira wa miguu na hivyo hutuhitaji kushabikia kama Simba na Yanga Siasa inagusa Maisha ya watu Moja Kwa Moja Siasa inahitaji watu serious na wenye misimimamo ya kweli sio kuingiza igiza TU ilomradi Maisha yaendelee na KUPATA vyeo Hivyo hata ukificha ficha Kuna siku...
  17. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Best option yangu kwenye odds 1.3+ ni First Goal Scoring By Kicking, hainiangushi sana , Je wewe ni special option gani imekuchomesha sana.

    Watu wengi kwenye betting wanaogopa odds kubwa lakini ukweli ni kwamba kuna baadhi ya special options zina odds ndogo kabisa kama 1.2–1.4 ila ndio zina mitego ya ajabu sana Zinaonekana rahisi mbele ya macho lakini football ni mchezo wa matukio yasiyotabirika. Unaweza ukaona option “hii lazima...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Iran yaonesha miundombinu ya kijeshi 228 ya Marekani ilipigwa vibaya sana mashariki ya kati. Marekani ilificha

    Picha za satellite za Iran zilionesha uharibifu mkubwa na hasara kubwa sana Marekani ilipata kutokana na kipigo Cha Iran kilichofanywa katka makambi (bases) za Supapawa Marekani huko mashariki ya kati. Makambi mengi yalipigwa, na ndani ya makambi hayo yalikua ni Kambi za ndege,meli,rada...
  19. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Kula vizuri ndio kilevi changu, kwa hili nashukuru sana Mungu

    Situmii pombe, Situmii sigara. Situmii kitimoto Sio mtu wa wanawake Kilevi changu ni kula vizuri sana, mfano Leo weekend Nimepika nyaama ya mbuzi kilo Moja na ndizi za kukaanga nakupa taratibu. Hakika Sina kilevi zaidi ya kula vizuri
  20. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Kwa nyomi hii naona kama umasikini ni mkubwa sana kwetu

    Binafsi nimekuwa mteja mara kadhaa kwa bidhaa za huyu jamaa ila kwa aina hii ya lundo la watu kukimbilia vitu vya bei rahisi na vilivyo tumika naona kama umaskini bado sana kwetu. Upande wapili huju mr anatengeneza hela nyingi sana sana sana tena hela ambazo sidhani kama serikali inapata hata...
Back
Top Bottom