sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nawaheshimu sana watu wasiotumia vilevi, Imagine mtu ana stress zake au hana kampani lakini hatumii kilevi chochote

    Mfano, pombe imekuwa sehemu ya tamaduni nyingi duniani kwa muda mrefu na ilikuwepo kwa sababu zake mbalimbali. Sehemu za kukutana na kunywa pombe mara nyingi huwa maeneo ya watu kujumuika, kupunguza mawazo, na kupata kampani. Hata kama huna marafiki wa karibu, ni vigumu kujisikia mpweke ukiwa...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini kumekuwa na story nyingi sana za kutunga mtandaoni Tanzania?

    Nini kimetokea kuanzia JamiiForum, Facebook, Twitter na Instagram raia wengi wa Tanzania hasa vijana wanaposti visa au story nyingi mbalimbali za matukio ya uongo tu ya kutunga ya mahusiano, ndoa, uchawi n.k ?
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna baadhi ya Lecturers katika Chuo cha UCC wanataka rushwa kuwapa wanafunzi madaraja mazuri

    Kuna tabia ya baadhi ya Lecturers wengine hapa chuoni UCC UDSM, tena ni kikundi cha Lecturers inavyoonekana ni wanajuana wanachokifanya, kuanzia kwa Principal Mr. Aron na Mr. Kabigi sana sana. Yaani unakuta ukifeli wanakuambia uwalipe kuanzia laki kwa somo ili wakusafishie na wakuwekee grade...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ndiyo Chama chenye mchango mdogo sana kwa Taifa

    CHADEMA NA SWALI LA MCHANGO WAKE KATIKA MAENDELEO YA TAIFA: MTIZAMO WA KIKOSOAJI === Katika mfumo wa vyama vingi vya siasa, kila chama hupimwa kwa uwezo wake wa kutoa mchango chanya katika maendeleo ya taifa, iwe kupitia sera, ushawishi wa kisera, ushiriki katika taasisi za kidemokrasia au...
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Ni huzuni sana, Taifa letu limepoteza tunu zote na tunawekeza katika Chuki, Ulaghai, vitisho na kutowajibika

    MAANDIKO YANASEMA...TUTAWAGUNDUA KWA VINYWA NA MATENDO YAO. Natamani iwe kama Usajili ili tusajili Wabunge hawa wawe ndani ya Bunge letu na taasisi zenye dhamana ya kulinda Utu na Uhai wetu. Taifa letu lilisifika kama nchi ya Mstari wa Mbele katika ukombozi wa Afrika tukihubiri haki na uhuru wa...
  6. Clark cian

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa mifugo tunapitia changamoto Sana

    Habarini za Leo waungwana wa jamii Forum. Mimi ni daktari mtarajiwa wa Mifugo ninayeishi dar es salaam pande za Mbezi mwisho naipenda Sana hii kazi na ndio maana huwa naifanya Kwa uaminifu wote chini ya madaktari washauri wangu. Lililonileta hapa Leo baada ya miaka mitatu kukatika ni juu ya...
  7. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Huwa nachukia sana 'Kelele' wakati wa Usiku na Asubuhi

    Nahisi nitakua nina tatizo la phonophobia. Ninachukia sana sauti sana sana wakati wa asubuhi na nyakati za usiku yaan sipendi kabisa makelele mida hio. Napenda sana sehemu yenye ukimya. Napenda sana utulivu na kukaa sehemu iliyotulia muda mwingi nikiwa mwenyewe. Sauti pekee inayonipa furaha...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kampala: Dar ni Kiwanda kikubwa sana cha kuzalisha Mashoga, nini kauli ya Serikali?

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Serikali itaendelea kusimamia utekelezaji wa Sheria dhidi ya vitendo vyote vinavyokiuka maadili, mila na desturi za Kitanzania, ikiwemo biashara ya ukahaba na makosa mengine yanayohusiana na maadili ya Jamii. Akijibu swali la Mbunge...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia 2026 Hatari sana. Huu uwanja unaogopesha kinyama.

    Aiseeee .... Kunatisha watu wamejaa sana viwanjani. Kombe limevutia sana. Tulisema halitakuwa na watu lakini tumeona hali ilivyo huko USA, Canada na Mexico. Hongera zao kwa kweli.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tusiwalaumu sana viongozi wetu, ni nature yetu waafrika wengi kuwa loyal kwa rewards kama Vyeo na pesa kuzidi uzalendo wa kufikiria mateso ya wengine

    Unafkiri hawaoni yanayoendelea ?? wanayaona sana tu lakini mapenzi ya vyeo, pesa, maisha mazuri ya familia, n.k. ni muhimu sana kuvitunza Kwa kiasi kikubwa, tatizo linaweza kuwa ni sehemu ya utamaduni wetu wa kisiasa na kijamii. Mara nyingi wengi wetu huwa waaminifu zaidi katika maslahi kama...
  11. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Trump amebadilika sana, kwanini!?

    Hivi Trump ni wa kuikosoa Israel waziwazi bila kupepesa macho!? Trump ni mtu wa kufanya makubaliano ya amani na Iran bila kuihusisha Israel? Kwanini Trump amebadilika hivi? Eti jamani!??? Hivi Trump leo hii amekuwa mtu wa kutamka hadharani kwamba bila yeye Israel ingekuwa imefutwa kwenye uso wa...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania FIFA wamejitahidi kudhibiti upotevu wa muda. Wachezaji wamebadilika sana.

    Zile drama za kitoto tumezoea michezoni hazipo tena. Watu kujitia kuumia, kipa kuleta mbwembwe na mambo ya kuchelewa kurusha mipira hatujayaona WC hii. Sema wameokoa muda kisha wakaongeza mapumziko yao ya maji wapige hela!! Hizi sheria zije huku Afrika. zitatusaidia sana.
  13. britanicca

    JamiiForums Tanzania Wanakuachia mchana wanakufuata usiku, nchi ya kishenzi sana

    Jilindeni sana, Kikosi kinapewa maelezo tena kama ilee ya code 29102025 Britanicca
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hii mbungi ya Monaban na Mojaa kuhusu shamba imenichekesha sana

    Watu wa Arusha tunawatambua hawa watu wawili kwa CV zao za mambo meusi. Wote wanalalamikiwa na wengi kama watu wasio na mienendo inayofaa. Monaban katajwa mara nyingi kwenye migogoro ya viwanja. Anatuhumiwa kudhulumu. Huku Mojaa naye akitajwa kama jambazi mstaafu. Sasa hapa kesi iliyopo ni...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hii kauli hatari sana. Chalamila, kesho utawajibika kwa kauli hii. Kumbuka wewe ni M/kiti wa Kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa. Kauli yako ni AMRI

    Matumizi ya nguvu kupita kiasi mwisho wake ni KUUA WATU KAMA 29.10.2026. BADO HAMJAJUTA! HATA MKIWA KABURINI MTAWAJIBIKA! Soma Pia: RC Chalamila: Wanatamani kuleta chokochoko, nguvu tutakayotumia awamu hii kulinda amani, haijawahi kutokea
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tunalimiss sana soka staili ya samba!!

    Brazil waliingia mkenge kwa kuachana na staili ya soka lao la samba lenye burudani ya kufa mtu, linalowekeza kwenye vipaji na wakaiga soka la ulaya linalo-base kwenye mpira wa kibiashara zaidi kuliko burudani!! Tusahau kuibuka na kuendelezwa kwa vipaji kama Pele, Maradona, Ronaldo og...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana kuyakabili na kuyadhibiti watu wabaya wanaopanga kujificha kwenye maandamano haramu siku zijazo

    Napendekeza pasiwepo na huruma, aibu wala kumuonea haya yeyote yule atakae thubutu au kujitia kimbelembele kujaribu kuvuruga amani au kutatiza shughuli za uzalishaji za waTanzania kote nchini. Natoa wito kwa wanausalama mahiri kote nchini, kutomchekea muandamanaji haramu yeyote yule kote...
  18. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Huyu mrembo kusema ukweli nampenda sana . Sema ndio hivyo

    Hata mimi ni binadamu na nna moyo wa nyama nyama. 😫😫 Kusema ukweli ndiye mrembo niliyewahi kumuelewa baada ya kuicheki filamu moja inaitwa DOA(Dead or Alive) ya mwaka 2006. Nadhani Kuna filamu ya jet li nimesahau jina yumo huyu mrembo...dah sema ndio hivyo🥹🥹💔💔💔. Binti wa zamani utatia neno...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa kupenda kwangu Chini nimefanikiwa kwenye mambo mengi sana

    jamaa zangu mara nyingi huwa wananiambia "Chidy unapenda sana chini we jamaa" kwa kweli siwakatalii mimi napenda sana chini na huko kumenisaidia katika mambo mengi sana kwa kuwa nilipoanza kuwa napenda chini nikagundua ukipawezea huko chini kuna utajiri mwingi sana sema watu hawajui tu au...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Utoaji mikopo kwa Wanafunzi wa vyuo nchini unafanyika kwa ubaguzi sana

    Mwanasiasa Abdul Nondo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo amezungumzia taratibu zinazotumika kutoa mikopo kwa Wanafunzi wa vyuo kutoka kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akisema utoaji wake ni wa kibaguzi. Wanafunzi walioshtakiwa ~...
Back
Top Bottom