Tangu nijiunge JF nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu wanawake na saikolojia yao kwa ujumla

Tangu nijiunge JF nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu wanawake na saikolojia yao kwa ujumla

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,016
Reaction score
3,007
Wanawake wanapenda ngono sana sana... nimegundua kwamba, huenda wao ndo wanapenda sana ngono kuliko wanaume. kitu cha kushangaza ni kwamba huku mitaani au sehemu yoyote ukimface wanawake huonyesha kwamba hawapendi, na kwamba wewe ndio unamconvice apende.

kwakua huku ni anonymous, wanaonyesha uhalisia wao kwa uwazi zaidi.

Nyuzi nyingi zinazoongelea mambo ya ngono utakuta zimeanzishwa na wanawake, na wanaelezea kwa moyo wao wote na akili zao zote kiasi cha kwamba unaweza kuhisi unaangalia porn kwa jinsi unavyokita wanaelezea in detail.

Nimegundua wanawake wanapenda ngono kuliko kula, lakini katika uhalisia wao wa real identity ndo kitu kikubwa wanacho jaribu kuki minimize ionekane hawakioendi na sio kipaumbele chao.

mimi kama mtafiti na professor sikuishia hapo, nikafanya utafiti kwa wanyama wengine na ndege. kwakua nimebobea kwenye maswala ya kuku, nikaanza kuchunguza tabia zao za mahusiano na tendo lao kwa ujumla.

kitu nikichogundua ilikua nintofauti na binadamu. kuku hia hawataki kufanya tendo la ndoa, hadi jogoo awa convince.

Jinsi nilivyofanya utafiti:
nilichukua kuku wakubwa, kisha nikachukua majogoo wadogo ambao ndo wanaanza kujifunza kuwika ambao ndo wanabalehe na ndo wapo moto.

kuku walikuwa wakubwa ni mishangazi kwaiyo walikia na uwezo wa kuwapiga na kiwadhibiti majogoo hao wadogo.

nilichogungua: hao majogoo walikia wanataka kufanya tendo la ndoa na kuku, lakini kuku wanagoma na wanawapiga majogoo hawakubali hata maramoja.

nikawaacha majogoo hadi wawe wakubwa zaidi, walivokua wakubwa zaidi wakawa na uwezo wa kupiga kuku, baada ya hapo wanamkimbiza kuku wanamkamata wanafanya nae tendo la ndoa, au wanamdanganya na kum convince kumconvice.

hapo nikagundua kitu muhimu kwenye saikolojia ya wanawake: huenda kuku wanataka majogoo ambao ni more powerful.

na nikafananisha na saikolojia ya binadamu: wanawake wanapenda wanaume ambao wana umri mkubwa kuliko wao, au wenye urefu mkubwa kuliko wao, au wanaoweza kuwatawala.. either wana hela nyingi etc

Hizi ni tafiti ambazo zimenifanya niunganishe dots.

Jogoo akiwa powerfull anamkimbiza kuku kidogo tu kisha anampata.

Mwanaume akiwa na hela anamfukuzia mwanamke kidogo tu, kisha anampata.

lakini hawa wote, wanapenda ngono kuliko kula, ila wana instinct ya kuchagua.
 
Mm niliyashindwa mapenzi nikahamia Kwenye nyeto, Sasa nna amani 😎
achaana na nyeto... Watu wengi tulishawai kupitia stage hiyo. ni moja ya staje mbaya sana kiroho, kiakili nk...

kunakipindi niliona rate ya mademu kunikataa ni kubwa nikaendeleza nyeto, baadae nikaona ni too much na ni ujinga.

nilovyoacha nyeto, ndani ya mwezi, mademu wakawa wananisumbua. hadi ambao walinikataa mwanzo wakaanza kunitafuta. Mimi ndo nikawa nawachagua

hapo ndo nikapata nguvu ya kuacha nyeto jumla. nilipoona ina uhusiano mkubwa sana na mahusiano ya kila siku.
 
achaana na nyeto... Watu wengi tulishawai kupitia stage hiyo. ni moja ya staje mbaya sana kiroho, kiakili nk...

kunakipindi niliona rate ya mademu kunikataa ni kubwa nikaendeleza nyeto, baadae nikaona ni too much na ni ujinga.

nilovyoacha nyeto, ndani ya mwezi, mademu wakawa wananisumbua. hadi ambao walinikataa mwanzo wakaanza kunitafuta. Mimi ndo nikawa nawachagua

hapo ndo nikapata nguvu ya kuacha nyeto jumla. nilipoona ina uhusiano mkubwa sana na mahusiano ya kila siku.
Kuna uhusiano gn ww kupiga nyeto na kukataliwa na mademu?
 
Kuna uhusiano gn ww kupiga nyeto na kukataliwa na mademu?
uhusiano upo, unaanzia kwenye akili, ubongo na mentality. muda mwingi hauwezi kuuelezea huo uhusiano moja kwa moja. ila pia ubongo wa wengine una detect japo nao pia hawatajua kua wamedetect kitu fulani ila madhara yake yanaanza kuonekana


kama unabisha jaribu miezi 3 usipoge nyeto, ukiona ni uongo endelea nayo kama kawaida

jaribu tu miezi 3 uone
 
Ngono ni starehe na inaburudisha, sidhani kama kuna mtu hapendi kuburudika
Shida ni hatupendi ngono na nyinyi maana 80% hamtuwezei,ndo maana unaona saivi watu wanahangaika na dildos,lesbian etc
 
Back
Top Bottom