Chizi Maarifer
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,149
- 2,560
Mzuka wana jamvi ?
Kuna wapuuzi humu JF walikuwa wanafananisha jina langu na la ID ya Chizi Maarifa wakati ni majina mawili tofauti yasiyo fanana sasa baada ya kelele zao nimeona nibadilishe jina na nataka nichague jina Moja kati ya yafuatayo
1. Ghayo de Nyangwisi
2. Ghayo de Nyambumbu
3. Mnywa Visungura wa Jf
4. Pacha wake loose Nut
4. Smooth Criminal
5. Pirate of the Pirates
6. GhayoNyahu
7.Hensamu wa Jf
Jina gani kati ya hayo nitumia na lina unyama mwingi ?
Na wewe una lolote lingine unaloliona litanifaa ?