samaki

  1. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Tazama banda la kupokelea Samaki lililojengwa na TAMISEMI kwa Tsh. Milioni 50

    Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa banda la kupokelea samaki katika soko la kimataifa la samaki lilipo eneo la Katambe Magarini lililojengwa kwa fedha za mfuko wa ndani Halmashauri kiasi cha Tsh. Mil 50 lakamilika kwa 100%. OR TAMISEMI
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kufungua Bucha la samaki Dar kutoka Ziwa Victoria

    Kwa hapa Dar, je naweza kufungua butcher la samaki wabichi sato, sangara n.K kutoka Mwanza ? Kwa mtaji wa 2 milioni. Kwa wazoefu na soko la SAMAKI na usafiri pia Kutoka MWANZA to Dar hiyo pesa inatosha ?? Naomba mnielekeze
  3. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupika mchuzi wa samaki na Nazi (chukuchuku)

    Natumaini wazima. Leo nawaletea recipe ya kupika samaki wa Nazi chukuchuku,wengine wanasema mchuzi ambao hauna mambo mengi MAHITAJI Samaki wabichi unaweza tumia pia wakavu. Nazi, karoti, hoho, kitunguu maji, nyanya, chumvi na ndimu ukipenda. Andaa viungo vyako katakata size utayopenda...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini bei ya samaki ni ghali sana maeneo ya pembezoni mwa bahari

    Tangu nimekuwa nikitembelea ukanda wa Pwani yaani mikoa ya Pwani, Dar, Lindi na Mtwara nimekuta na mambo mengi ambayo yamekuwa yakinishangaza, tukianza na bei ya samaki ipo juu kuliko hata mikoa ambayo haina rasilimali bahari au maziwa Kwa ajili ya uvuvi wa bidhaa hiyo. Baadhii ya watu husema...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Samaki, nyama, kuku na maharage kuliwa kama mboga ni dalilli ya umaskini?

    Kwenye hoteli kubwa zote, na nyingi za kati menu ya chakula kikuu huwa ni samaki, kuku, nyama ya ng'ombe, mbuzi kitimoto na nyinginezo halafu ndio unachagua utakula na nini ikiwa ni ugali, wali, viazi n.k Kwenye hizi hoteli bei ya chakula inapimwa kwa samaki, kuku na nyama kisha (wanga) ambao...
  6. Heparin

    JamiiForums Tanzania Marekani: Lori lenye Samaki hai 100,000 lapinduka, wengi wanusurika

    Zaidi ya Samaki hai 100,000 walimwagwa barabarani baada ya Lori lililokuwa likiwasafirisha kudondoka barabarani, hata hivyo wengi wa samaki hao wamepona. Baada ya kutokea kwa ajali hii, samaki takriban 77,000 walidondokea kwenye majani pembezoni mwa barabara kisha kingia kwenye mkondo wa maji...
  7. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Jamani nilichokikuta kwa mfanyakazi wangu kupika chipsi zege na samaki

  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Serikali isimamie na kutilia mkazo sheria ya kuzuia ulaji wa KASA ili kuepusha vifo

    Salaam wakuu, Kila mwaka wenzetu Zanzibar wamekuwa wakipata visa vya vifo kutokana na ulaji holela na usio makini wa KASA. Tukiendelea kuendekeza hili suala tutajikuta kila mwaka tunapoteza nguvu kazi nyingi tena za familia moja kutokana na ulaji wa huyu kiumbe. Ni vyema mamlaka za Zanzibar...
  9. Amaniwood

    JamiiForums Tanzania Mbegu bora ya samaki ni ipi na je inapatikana wapi?

    Habari wadau wa ufugaji. Kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa mbegu bora ya samaki. Zilizopo nizile ambazo hazikui sana kufikia kiasi cha Sato mkubwa, asilimia kubwa zinakuwa kama perege. Je ni wapi au ni namna gani mfugaji anaweza akawa au akapata mbegu bora ya samaki aina ya Sato inayokuwa...
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Samaki wanaoongoza kwa thamani

    Tunaoishi pwani ya bahari ya Hindi tunaenjoy sana masamaki poleni yenu mnaokaa bara.Sasa katika samaki wote wenye bei kubwa ambao pia ni rare sana kwa wavuvi kuwavua ni:- 1.nguru 2.songolo 3.kingfish 4.jodari 5.chewa Kwa mfano kuna professa hapo UDSM Na technian wake walikuja mtwara wakataka...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kupata ndege, mdudu, mti, ua, samaki wa taifa

    Sasa kuna kampeni ya kupata vazi la taifa. Kwa ajili ya utalii na utamaduni tunatakiwa kupata vingi vya taifa. Mti, ndege, ua, mdudu, samaki nk nk. 1. Napendekeza siafu awe mdudu wa taifa 2. Secretary bird awe ndege wa taifa.
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Samia Mkoani mwanza kugawa zana za uvuvi: Serikali iongeze maeneo ya hifadhi ya mazalia ya samaki na kutenga visiwa vya uwekezaji wa kitalii

    Rais Samia atakuwa na ziara mkoani mwanza mwishoni mwa mwezi January 2024. Namshauri atoe maelekezo kwamba yaongezwe maeneo ya hifadhi ya mazalia ya samaki ambayo yatakuwa na kinga ya kisheria kwa watu kutofanya uvuvi. Kila mkoa ambao ziwa lipo, kuwe na eneo tengefu la mazalia ya samaki, wavuvi...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tiba ya harufu mbaya kama samaki aliyeoza kwenye uke

    Siku hizi ni kama nina bahati mbaya yaan Kila nikiotea kibint nakuta kinanuka ukeni .....yaan vingine vidogo tu lkn balaa.... Naomba msaada wa matibabu ya hii kitu maana Kuna bint mmoja alinisumbua miaka minne ndio kanikubalia siku kuu ya juzi....sasa nikajipanga kupiga doz ya maana lkn bahati...
  14. My hair my crown

    JamiiForums Tanzania Niagize samaki sato/sangara/dagaa wa kukaanga nikutumie mpaka ulipo kwa uaminifu

    Natumaini mmeamshwa salama. Karibuni mnitume samaki toka mwanza sangara, sato (wabichi au waliokaangwa) na dagaa waliokaangwa wakiwa wabichi. Kwa wanaohitaji wabichi mara nyingi wanatumwa kwa ndege. Moja kwa moja mimi siuzi samaki direct ila natoa huduma ya kwenda kumnunulia mteja samaki au...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Paka shume asiyekula samaki

    Sitaki shida, kama unataka salamu nenda shuleni watakuamkia. Nioneshe mwanamke asiyependa pesa nami nikuoneshe paka shume asiyekula samaki Dunia hii. Huwezi pata!
  16. jastertz

    JamiiForums Tanzania Natamani nifuge samaki chumba nilichopanga

    Habari JF, Leo katika pita pita zangu nimekaa nimewaza nianzishe ufugaji wa samaki ndani ya chumba nilichopanga, Nikianza na samaki hata kumi naona watatosha, Hii imekaaje wadau... seem like joke but niko sawa kabisa. any idea
  17. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Je, unapenda pilau kuku, biriani mbuzi, nyama choma, makange ya samaki, ugali dagaa na mbogamboga? Mbinguni hazitakuwepo.

    Kuna vitu na mambo yanayopendwa sana hapa duniani ambavyo sio dhambi lakini ni kuwa hivyo vyote havitakuwepo. Kwa mfano sisi tunaopenda misosi mitamu kama ile ya Shishi food, white rose na Marry brown ni kuwa haitakuwepo. Kitu nachosikia kinatajwa tajwa ni maziwa na asali. Pia huenda kikawepo...
  18. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika makange ya samaki bila kutumia viungo vingi

    Natumain wazima na weekend inaenda vizuri Niwaletee recipe ya kupika makange ya samaki Mahitaji Samaki aliekaangwa Kitunguu maji na kitunguu swaumu nyanya za.kawaida(saga) na nyanya ya pakti,chumvi Pilpilili hoho na karot ( kata shape upendayo ) Pilipili manga kama utapendelea Nazi Kama...
  19. Akotia

    JamiiForums Tanzania Unpopular opinions kuhusu Samaki: Kutoka Dar es Salaam Kwenda Mwanza na Bukoba"

    Juzi kati nikipata fursa ya kutembelea Kanda ya ziwa Kwa wiki kadhaa. Nikapata uzoefu wa kipekee nilipotembelea Mwanza na Bukoba, maeneo ambayo mimi kama mkazi wa Dar es Salaam niliyozoea maisha yake ya pwani, nilifunzwa mambo mengi hasa kuhusu vyakula hasa hasa Samaki. Nikiwa Dar es Salaam...
  20. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tunawasaidiaje wapenzi wetu wanaotoa harufu mbaya ukeni wakati wa tendo?

    Niliwahi kuwa na mrembo fulani mzuri kweli kweli, lakini sasa wakati wa tendo ile harufu hata ukioga IPO tu. Mwisho wake niliamua kumuacha kimyakimya. Najua wako wengi wenye hiyo changamoto. Tunawasaidiaje?
Back
Top Bottom