samaki

  1. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Je, samaki anatapika watoto, anazaa au anataga mayai?

    Leo mchana katika pita pita nilikuta watu katika mtaa mmoja wanabishana kuhusiana namna ambavyo samaki hupata watoto au vifaranga kama watu wengine wanavyodai. Katika mjadala huo kulikuwa na baadhi ya watu waliodai kuwa samaki anazaa watoto na kulikuwa na wengine waliodai kuwa samaki ana taga...
  2. USSR

    JamiiForums Tanzania Tandika, Dar: Amuua mpenzi wake na kumtenganisha viungo

    Binadamu tuna roho ngumu sana imagine mke kisu kama huyu mwamba kaamua kumuuwa na kumkata vipande vipande kama samaki kisha kuvizika Sehemu totauti tofauti ili kukosekana ushahidi. Jeshi la polisi linamshikilia mwanaume mmoja kwa kosa la kumuuwa mkewe kisha kumkatakata vipande vipande na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Naishauri Serikali ifunge Uvuvi wa Samaki katika ziwa Victoria kwa muda wa miezi sita

    Samaki katika Ziwa Victoria kama vile wamekwisha kabisa. Wavuvi wanatumia gharama kubwa sana na mwisho wa siku hakuna faida wanayopata kutokana na ukosefu wa samaki. Pili Ziwa Victoria imechafuliwa na kila aina ya uchafu na hivyo kupelekea kutozaliana kwa samaki. Kutokana na sababu hizo...
  4. Xi jiping

    JamiiForums Tanzania Nikifugia samaki kwenye kisima watakubali? Kambale

    Wakuu kisima changu kimejaa vyura kibao. Sasa nimewaza badala ya kujaza vyura si bora nifugie samaki. Maana kama vyura anaweza ishi samaki pia anaishi. Nataka nitafute niweke Kambale maana ndo naambiwa wana roho ngumu wanaishi hadi kwenye majaruba ya mpunga. Ushauri
  5. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Tanzania japo kuwa na mito, maziwa na sehemu kubwa ya bahari lakini samaki wajawai kuwa kitoweo kikubwa

    Kuna mda inabidi ujiulize sana ili swali sababu ni nchi yangu imepewa kila kitu lakini na hakuna kitu kama tunavoona geita na dhahabu. Kuna nchi wale wasanii waliokwenda kule kutuletea ajenda yao wakitaka bima ya afya zao na mwenyekiti wao utazani samaki mkavu chuchungi. wajajifunza korea...
  6. BwanaSamaki012

    JamiiForums Tanzania Jipatie Mbegu Bora ya Samaki Kambale kwa bei nafuu

    Karibu nikuuzie mbegu bora ya Kambale kwa bei nafuu ya Tsh 300 kwa kifaranga kimoja. Kambale ni aina ya samaki mstahimilivu na anayefugika kwa urahisi kuliko aina nyingine ya samaki. Mbali na kuwa mstahimilivu, pia wana sifa ya kukuwa haraka mara mbili zaidi ya sato. Unaweza kuboreshe...
  7. Tman900

    JamiiForums Tanzania Mvuvi wa Samaki na Mfalme

    Alichoniadithia Babu Yangu mwaka 1996 Mwezi wa 6. Siku ya Juma Pili. " Kulikua na Mvuvi ametoka baharini kuvua, amebeba Samaki watatu wazuri sana. Akiwa anatembea alikutana na mfalme. Mfalme kawapenda wale Samaki akataka auziwe hao samaki. Lakini Mvuvi alikataa kumuuzia. Ndipo mfalme...
  8. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Msimshangae Msigwa: Mvuvi ndiyo huamua samaki auzwe au aliwe supu

    Kuna baadhi ya watu wanashangaa ukengeufu wa Msigwa. Wengine wanahoji kama ana utimamu wa akili ama kawehuka. Lakini lazima tukubaliane kuwa sote kama watanzania tunao ujinga wa kihalaiki. Ujinga wetu mkubwa ni kuwategemea sana wanasiasa kusimamia maslahi yetu bila sisi kuwasimamia wao...
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Samaki anayetembea nchi kavu na kupaa juu

    Samaki Garnai wanaoweza kutembea nchi kavu, kuogelea majini na kuruka angani. Wana mkia mrefu ambao huwasaidia kusawazisha wakati wa kutembea juu ya ardhi
  10. mackj

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ianzishe ruzuku kwa wakulima wa kilimo cha samaki ili kulinda rasilimali za uvuvi kwenye maziwa na bahari nchini

    Kilimo cha maji (AQUACULTURE) ni sekta muhimu na inayokua kwa kasi zaidi ya uzalishaji wa chakula cha wanyama duniani, na inaendelea kuzidi kasi ukuaji wa idadi ya watu, huku usambazaji wa kila mtu kutoka kwa wafugaji wa samaki ukiongezeka kutoka kilo 0.7 mwaka 1970 hadi kilo 7.8 mwaka 2008...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Picha: Wafuatao ni samaki tunaowapata sana hasa ukanda huu wa Lindi beach

    Mnaoishi bara Poleni sio kidogo endeleeni kutunyima protein ya nyamaPori, senene na kumbikumbi. Tunaokaa pwani ya Bahari Hindi tunaendelea kufaidi sea food. Kibua-huyu najua maarufu sana hasa Kwa dar Changu-huyu Lindi na Mtwara Kwa wingi Lupapa Chewa - huyu wa supu kabisa moja ya samaki mwenye...
  12. chiziwafursa

    JamiiForums Tanzania Je kibali cha takiwa ukitaka kufuga samaki kibiashara ?

    Nimesikia ukitaka kufuga samaki kibiashara watakiwa uwe na kibali maalum kinacho kuruhusu uweze kufanya huo ufugaji 1,je ni kweli au? . 2,kama ni hivyo je nitahasisi gani ina husika ? Nimekuja huku nahisi kwa urahisi na weza kupata watu wenye uzoefu na ufugaji wa samaki kwa...
  13. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuota unavua samaki kwa ndoano? Hii ndio tafsiri yake

    Ingawa mimi sio mtu ninayeamini sana katika ndoto ila kama wewe unaamini basi watalaam wako wa mambo hayo ya kutafsiri ndoto wamesema Uvuvi na ndoano katika ndoto ni ishara kwamba mtu anayeota ndoto atapata riziki nyingi za halali na nzuri. Mwanamke aliyepewa talaka akiona akiwa amelala anavua...
  14. Gentlemen_

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ufugaji wa samaki kwa mapinduzi ya kitaaluma na kiteknolojia katika shule za serikali nchini Tanzania

    Chanzo: Adobe Stock UTANGULIZI: Maono yangu ni kuiona Tanzania katika nyanja ya elimu inapiga hatua kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo ufugaji. Napendekeza serikali ifatilie na kuchambua mawazo haya kwa mustakabali bora wa elimu yetu hapa nchini. DHIMA KUU YA MRADI HUU: Ufugaji wa samaki...
  15. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Tazama banda la kupokelea Samaki lililojengwa na TAMISEMI kwa Tsh. Milioni 50

    Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa banda la kupokelea samaki katika soko la kimataifa la samaki lilipo eneo la Katambe Magarini lililojengwa kwa fedha za mfuko wa ndani Halmashauri kiasi cha Tsh. Mil 50 lakamilika kwa 100%. OR TAMISEMI
  16. Olivia olivia

    JamiiForums Tanzania Kufungua Bucha la samaki Dar kutoka Ziwa Victoria

    Kwa hapa Dar, je naweza kufungua butcher la samaki wabichi sato, sangara n.K kutoka Mwanza ? Kwa mtaji wa 2 milioni. Kwa wazoefu na soko la SAMAKI na usafiri pia Kutoka MWANZA to Dar hiyo pesa inatosha ?? Naomba mnielekeze
  17. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupika mchuzi wa samaki na Nazi (chukuchuku)

    Natumaini wazima. Leo nawaletea recipe ya kupika samaki wa Nazi chukuchuku,wengine wanasema mchuzi ambao hauna mambo mengi MAHITAJI Samaki wabichi unaweza tumia pia wakavu. Nazi, karoti, hoho, kitunguu maji, nyanya, chumvi na ndimu ukipenda. Andaa viungo vyako katakata size utayopenda...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini bei ya samaki ni ghali sana maeneo ya pembezoni mwa bahari

    Tangu nimekuwa nikitembelea ukanda wa Pwani yaani mikoa ya Pwani, Dar, Lindi na Mtwara nimekuta na mambo mengi ambayo yamekuwa yakinishangaza, tukianza na bei ya samaki ipo juu kuliko hata mikoa ambayo haina rasilimali bahari au maziwa Kwa ajili ya uvuvi wa bidhaa hiyo. Baadhii ya watu husema...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Samaki, nyama, kuku na maharage kuliwa kama mboga ni dalilli ya umaskini?

    Kwenye hoteli kubwa zote, na nyingi za kati menu ya chakula kikuu huwa ni samaki, kuku, nyama ya ng'ombe, mbuzi kitimoto na nyinginezo halafu ndio unachagua utakula na nini ikiwa ni ugali, wali, viazi n.k Kwenye hizi hoteli bei ya chakula inapimwa kwa samaki, kuku na nyama kisha (wanga) ambao...
  20. Heparin

    JamiiForums Tanzania Marekani: Lori lenye Samaki hai 100,000 lapinduka, wengi wanusurika

    Zaidi ya Samaki hai 100,000 walimwagwa barabarani baada ya Lori lililokuwa likiwasafirisha kudondoka barabarani, hata hivyo wengi wa samaki hao wamepona. Baada ya kutokea kwa ajali hii, samaki takriban 77,000 walidondokea kwenye majani pembezoni mwa barabara kisha kingia kwenye mkondo wa maji...
Back
Top Bottom