samaki

  1. encyclopaedia Tanzaree

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kushindwa kula samaki na dagaa

    Habari zenu wanajamvi Mimi nina tatizo la kushindwa kabisa kula samaki, dagaa na vitumbua. Vitu hivyo nilivyoorodhesha hapo mwanzo vilikuwa ndio vitu navyovipenda sana nilipokuwa mdogo mpaka kufikia umri wa miaka 13 ndipo mambo yakaanza kuharibika. Tatizo lilianza kwa kushindwa kula samaki...
  2. IBRAHIM EMMILIAN MBAWALA

    JamiiForums Tanzania Pata ushauri juu ya ufugaji viumbe hai majini ikiwemo samaki, mwani,kaa n.K kisasa (aquaculture)

    Pata ushauri jinsi yakufuga viumbe hai majini kisasa kama samaki aina ya sato, kambale n.k Elimu kidogo juu ya ufugaji samaki aina ya SATO Ufugaji Samaki Aina ya Sato Ufugaji samaki aina ya sato, au tilapia, ni shughuli nzuri na yenye faida. Hapa kuna baadhi ya ushauri muhimu kuhusu ufugaji wa...
  3. Kigoma Region Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ndubu ni samaki wa ajabu anayepatikana Ziwa Tanganyika

    Samaki huyo mwenye mpomo au Komwe jina lake anaitwa NDUBU, ni samaki mwenye kuvutia kwa macho anapendeza mno akiwa kwenye maji. Samaki huyu ni moja ya kivutio cha watalii katika ziwa letu Tanganyika. Hutumika kama samaki wa kuliwa ni mtamu sana na mwenye ladha nzuri na pia hutumika kama samaki...
  4. BwanaSamaki012

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wapenzi wa ufugaji wa Samaki, Vifaranga vya Sato vinapatikana

    Habari za wakati huu? Hii ni kwa wale wote wenye mapenzi au wanaovutiwa na shughuli za kilimo na ufugaji hususani ufugaji wa samaki Tuna toa huduma ya kuuza Vifaranga/mbegu bora ya samaki aina ya Sato (Nile Tilapia) Mbegu zetu ni nzuri Sana kwanza kabisa wana-uniform size, samaki wanakuwa...
  5. BwanaSamaki012

    JamiiForums Tanzania Tunazalisha mbegu Bora ya Samaki (Sato)

    Tunazalisha na kuuza mbegu Bora za samaki aina ya Sato na Kambale. Vifaranga vinazalishwa kitaalamu na vina sifa zifuatazo; ✓ Wanazoea mazingira utakayo wafugia kwa haraka ✓ Wanakua haraka na kufikisha uzito mkubwa mdani ya muda mfupi ✓ Wanazaliana vizuri, under culture conditions ✓ Wanakula...
  6. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Ndugu watanganyika ninaombeni mumsamehe Luhaga Mpina kwa kupima samaki kwa rula, kila mwanadamu ana mapungufu yake

    Ndugu zangu watanganyika, Tumebaki yatima tusio na malezi kwenye hii nyika, Tumetelekezwa kama bendi ýa Lesi wanyika, tumesahaulika, Nakuja kwenu kwa unyenyekevu mwingi kumuombea msamaha Luhaga mpina mbunge wa kisesa kwenu. Hakika japo hajakili alilo lifanya lilikuwa na mapungufu makubwa kwetu...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mmiliki wa Samaki Samaki kapewa Kuwekeza Coco Beach sasa ila Kipindi cha Hayati Magufuli hakupewa?

    Hilo eneo (Coco Beach) Hayati Magufuli alikataa kabisa kupewa Watu (hasa Matajiri) wawekeze hapo akisema kuwa paachwe wazi ili hata Masikini akina GENTAMYCINE tuwe tunakuja Kutembea, Kuogelea na Kupunga Upepo mwanana wa Baharini (wenye Afya) bila tatizo. Cha Kushangaza na Kusikitisha tayari...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wadau Zaidi ya 3,000 Kunufaika na Mikopo ya Ufugaji Samaki

    WADAU ZAIDI YA 3,000 KUNUFAIKA NA MIKOPO YA UFUGAJI SAMAKI Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. David Silinde amesema Serikali kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) katika mwaka huu wa fedha wa 2022/2023 inatekeleza mradi wa kutoa mikopo yenye masharti nafuu na isiyo na riba...
  9. BwanaSamaki012

    JamiiForums Tanzania Tunauza Samaki aina ya Sato

    Tunauza Samaki aina ya Sato kwa Bei ya TSH 9,000 tu kwa kilo moja Kwenye kilo moja unapata samaki 4 - 6 wenye uzito wa 250g - 150g Samaki wetu ni wakufugwa, wanafugwa kitaalamu na aquaculture experts, mabwawa yetu ni concrete pond hivyo samaki wetu Wana radha nzuri na muonekano mzuri Sana...
  10. Njegele

    JamiiForums Tanzania Natafuta mafuta ya samaki au Pamba

    Habari Wapendwa, Natafuta chimbo la mafuta ya samaki au mafuta ya pamba anajua tafadhari nijuze.
  11. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Waziri Abdallah Ulega: Nilishindwa kupinga maamuzi ya Luhaga Mpina kupima samaki kwa rula kwenye migahawa

    Naona Wabunge na Mawaziri kutoka chama cha mapinduzi bado wanapeleka moto kwa Luhaga Mpina baada ya kuonesha kuwa-challenge kwenye masuala mbalimbali. Akichangia Bungeni, Waziri wa Mifugo na Uvuvi ametupa dongo kwa Boss wake wa zamani kwenye Wizara hiyo kuwa hakutumia busara kupima samaki ambao...
  12. McCord

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya wavuvi wanatumia vyandarua kuvulia samaki, huu sio uhujumu wa maisha ya viumbe vya majini?

    Uvuvi kwa kutumia vyandarua vya kuzuia mbu unasababisha hata wale samaki wadogo ambao walikuwa na muda wa kukua kuvuliwa na mwisho wa siku idadi ya samaki inapungua. Serikali isimamie uvuvi huu wa holela na kuhakikisha unahitimishwa.
  13. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Wale samaki wa Hayati Magufuli walikuwa watamu sijapata ona

    Habarini. Mnakumbuka samaki aliokamata kutoka kwa wachina waliokuwa wanavua kwenye bahari yetu kwa Magendo? Basi wale samaki waligawiwa kwenye vyuo na mashule mbalimbali ya mkoa wa Dar Es Salaam. Samaki wale walinikuta nikuchukua diploma ya unesi kwenye chuo fulani jijini Dar. Chuoni pale...
  14. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Faida za Omega 3 Fat Acid mwilini

    ZIJUE FAIDA ZA MAFUTA YA SAMAKI MWILINI 🦈OMEGA 3 FAT ACIDS Mafuta haya ya samaki, yana vitu vikuu viwili ikiwemo EPA & DHA ambayo husaidia ku-regulate pressure ikae kwenye level yake. Faida za kutumia mafuta ya samaki(omega 3) 1) AFYA YA MFUMO WA MZUNGUKO WA DAMU. 👉Mafuta ya samaki yenye...
  15. BwanaSamaki012

    JamiiForums Tanzania The most profitable business idea (ufugaji samaki)

    Habari zenu wakuu Kwanini na amini biashara ya ufugaji samaki ni fursa nzuri kwa mtu anayetaka kuwekeza? Ni kwa sababu kuna upungufu mkubwa wa samaki kwenye vyanzo vya asili vya maji, wakati huo huo kuna ongezeko kubwa la idadi ya watu Duniani. Idadi ya watu duniani inaendelea kuongezeka...
  16. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Unafanyaje kukaanga nyama au samaki bila mafuta kukurukia?

    Wakuu katika vitu vinanifanya nisile nyama au samaki za kuunga ni vile unavyokaanga halafu mafuta yanakurukia. Yaani unakuwa unapika sura umeweka Magharibi mkono unaogeuza mboga kwenye mafuta uko mashariki. Mimi huwa napaka unga wa ngano, lakini wakati mwingine huwa sitaki kupata ladha na...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Wafugaji wa samaki mliopo Mbeya

    Ninaomba wafugaji wa samaki mliopo Mbeya jiji tuwasiliane mnipm kuna kitu ninatafuta.
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kula dagaa kuna faida kuliko kula samaki wakubwa

    Tofauti na samaki wakubwa, mtu anayekula dagaa anakula hadi mifupa yake. Sasa mifupa ina madini mengi sana ya calcium. Madini hayo ndiyo hujenga mifupa ya viumbe wote. Binadamu anayekula dagaa anakuwa na mifupa imara sana kuliko alaye samaki wakubwa, hasa kwa watoto ambao wanakua. Kwa kweli...
  19. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mazingira ya soko kuu la Samaki Hai

    Hili ndilo soko kuu la samaki kwa sasa lililopo eneo la Maili Sita katika Wilaya ya Hai Wafanyabiashara wakubwa na wadogo wa samaki waliohamishiwa eneo hilo walikabidhiwa eneo hilo lisilokuwa na miundombinu yoyote inayoendana na aina hiyo ya biashara. Hakuna miundombinu ya vyoo maalumu kwa...
  20. BwanaSamaki012

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wapenzi wa Samaki Sato (Fresh)

    Hello ladies and gentlemens? Poleni na pilika pilika za maisha nimekuja na habari nzuri kwenu kwa wale wapenzi wa Sato wabichi (fresh) Tunatoa huduma ya kuuza samaki fresh aina ya Sato kwa bei ya Tsh 8,500 kwa kilo, wanaingia kati ya samaki 5 - 4 kwenye kilo 1. Samaki wetu wanaradha nzuri kwa...
Back
Top Bottom