Samaki wanaoongoza kwa thamani

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,585
44,831
Tunaoishi pwani ya bahari ya Hindi tunaenjoy sana masamaki poleni yenu mnaokaa bara.Sasa katika samaki wote wenye bei kubwa ambao pia ni rare sana kwa wavuvi kuwavua ni:-
1.nguru
2.songolo
3.kingfish
4.jodari
5.chewa
Kwa mfano kuna professa hapo UDSM Na technian wake walikuja mtwara wakataka samaki nguru wamfanyie research utumbo wake walimpata ila walimnunua laki tano(500,000).
 
Hapo kwenye chewa hapooo..!! AU ROCK FISH, huyu ni hatari..!! Songoro sijamuelewa bado. Jodari naye si haba..!!

By the way, samaki kwa bei rahisi nenda Msimbati. Kule 1kg ni Tshs 6,000/- bila kujali aina ya samaki.
 
Jitahidi weka na picha chief! Maji chumvi/ bahari ina samaki wengi wa aina tofauti tofauti.
 
Nguru anazidi wote kwa utamu chewa yeye kwa supu
 
Jitahidi weka na picha chief! Maji chumvi/ bahari ina samaki wengi wa aina tofauti tofauti.
1707974833266.png

Chewa
 
Tunaoishi pwani ya bahari ya Hindi tunaenjoy sana masamaki poleni yenu mnaokaa bara.Sasa katika samaki wote wenye bei kubwa ambao pia ni rare sana kwa wavuvi kuwavua ni:-
1.nguru
2.songolo
3.kingfish
4.jodari
5.chewa
Kwa mfano kuna professa hapo UDSM Na technian wake walikuja mtwara wakataka samaki nguru wamfanyie research utumbo wake walimpata ila walimnunua laki tano(500,000).
Safi,

1) Je, wana magamba?
2) Kuna yule anaitwa TUNA kwa lugha ya wenzetu ndiyo yupi?

Ahsante
 
Back
Top Bottom