Kilio cha walimu na CWT imekuwa kilio cha samaki machozi kwenda na maji

Mar 26, 2023
38
39
Hao jamaa kwa kitendo cha kugomea nafasi waliopewa na mh Rais kwenda kumsaidia kutekeleza ilani ni tatizo kubwa sana.

Na chakushangaza maafisa utumishi katika Halmashauri mbalimbali nchini wanawaunga mkono hao majamaa kwa kuisapoti CWT.

Wanaikandamiza CHAKUHAWATA ambayo kimsingi ipo kumsaidia mtumishi kwa ada nafuu za uanachama.
CHAKUHAWATA mwalimu mwanachama huchangia kiasi cha shilingi 5000 kwa mwezi pasi kujali kiwango cha mshahara wake.

CWT mwanachama huchangia kiasi cha shilingi 8000 hadi zaidi ya shilingi 40000 kulingana na kiwango cha mshahara kitu ambacho ni mzigo mkubwa kwa mtumishi.

Ukizingatia kuwa kanuni za ajira na mahusiano kazini zinampa uhuru mwajiriwa kujiunga na chama chochote cha wafanyakazi lakini kwa walimu imekuwa tofauti.

Kujiunga na CWT imekuwa lazima ukishaajiriwa tu wanakuunga. Sasa kuna ulazima gani kulazimisha uanachama kwa chama ambacho kinampinga mh Rais kwa kukataa hata teuzi zake jambo ambalo ni dharau kubwa wameonyesha waziwazi viongozi hawa wa CWT kwa kiongozi wa nchi.

Tunawaatarifu maafisa utumishi wapeni uhuru wao wafanyakazi wa kujiunga na chama cha wafanyakazi wanachokitaka wao.

Ahsante
 
Hao jamaa kwa kitendo cha kugomea nafasi waliopewa na mh Rais kwenda kumsaidia kutekeleza ilani ni tatizo kubwa sana.
Na chakushangaza maafisa utumishi katika Halmashauri mbalimbali nchini wanawaunga mkono hao majamaa kwa kuisapoti CWT.
Wanaikandamiza CHAKUHAWATA ambayo kimsingi ipo kumsaidia mtumishi kwa ada nafuu za uanachama.
CHAKUHAWATA mwalimu mwanachama huchangia kiasi cha shilingi 5000 kwa mwezi pasi kujali kiwango cha mshahara wake.
CWT mwanachama huchangia kiasi cha shilingi 8000 hadi zaidi ya shilingi 40000 kulingana na kiwango cha mshahara kitu ambacho ni mzigo mkubwa kwa mtumishi.
Ukizingatia kuwa kanuni za ajira na mahusiano kazini zinampa uhuru mwajiriwa kujiunga na chama chochote cha wafanyakazi lakini kwa walimu imekuwa tofauti.
Kujiunga na CWT imekuwa lazima ukishaajiriwa tu wanakuunga.
Sasa kuna ulazima gani kulazimisha uanachama kwa chama ambacho kinampinga mh Rais kwa kukataa hata teuzi zake jambo ambalo ni dharau kubwa wameonyesha waziwazi viongozi hawa wa CWT kwa kiongozi wa nchi.

Ni hawa hawa walimu walio tumika mwaka 2020 kuingiza kura fake kwenye masanduku? Sitasahu, kuna Ticha mmoja ni jirani yangu alichaguliwa kusimamia uchaguzi, alichakachua kura sana, na nadhangaa kumuona ana life lile lile.

Hawa wapuuzi sio wa kutetea daima,
 
Hao jamaa kwa kitendo cha kugomea nafasi waliopewa na mh Rais kwenda kumsaidia kutekeleza ilani ni tatizo kubwa sana.
Na chakushangaza maafisa utumishi katika Halmashauri mbalimbali nchini wanawaunga mkono hao majamaa kwa kuisapoti CWT.
Wanaikandamiza CHAKUHAWATA ambayo kimsingi ipo kumsaidia mtumishi kwa ada nafuu za uanachama.
CHAKUHAWATA mwalimu mwanachama huchangia kiasi cha shilingi 5000 kwa mwezi pasi kujali kiwango cha mshahara wake.
CWT mwanachama huchangia kiasi cha shilingi 8000 hadi zaidi ya shilingi 40000 kulingana na kiwango cha mshahara kitu ambacho ni mzigo mkubwa kwa mtumishi.
Ukizingatia kuwa kanuni za ajira na mahusiano kazini zinampa uhuru mwajiriwa kujiunga na chama chochote cha wafanyakazi lakini kwa walimu imekuwa tofauti.
Kujiunga na CWT imekuwa lazima ukishaajiriwa tu wanakuunga.
Sasa kuna ulazima gani kulazimisha uanachama kwa chama ambacho kinampinga mh Rais kwa kukataa hata teuzi zake jambo ambalo ni dharau kubwa wameonyesha waziwazi viongozi hawa wa CWT kwa kiongozi wa nchi.
Tunawaatarifu maafisa utumishi wapeni uhuru wao wafanyakazi wa kujiunga na chama cha wafanyakazi wanachokitaka wao.
Ahsante
FB_IMG_1695347876036.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walimu nu wanafiki sana linapokuja suala la uchaguzi hivyo wacha muipate
 
Kwanza unatakiwa utambue CWT na hao Chakuhawata, wote ni wezi tu. Maana hayupo hata mmoja hapo kati ya hao wawili ana msaada wowote ule kwa mwalimu wa nchi hii ya Kusadikika. Tofauti yao kubwa ni moja tu; mwizi mmoja sugu anawaibia 2% ya mishahara yenu kila mwezi, halafu mwizi wa pili ameona awaabie 5000 tu kila mwezi, kwa kuanzia.

Halafu cha pili unatakiwa utambue hao CWT ni tawi la CCM! (Kwa hiyo na wenyewe wana mchango wao mkubwa tu kwenye kuisaidia CCM kuwatawala wananchi kwa nguvu) Na ndiyo maana wanalindwa na baadhi ya hao vilaza wa Halmashauri wanaoitwa Maafisa Utumishi.
 
Unataka kumaanisha hao walioteuliwa wakakataa ni wajinga? Nina rafiki yangu akikuwa anafanya kazi PSPF akateuliwa na Rais Magu kwenda kuwa DC Tabora Urambo, sasa last week akatolewa akaanza process za kuishtaki serikal kurudishwa kazini, mpaka sasa ana kesi mahakamani.

Wakati huo kuna majamaa wawili nawajua walikataa uteuzi wa Magu, mmoja yupo Mwanza Ofc ya Tigo na mwingi yupo Moro anaendelea na maisha yake ya madini,.

Nikukumbushe tuu, ukishateuliwa nafasi za kisiasa, ukijatenguliwa kurudi kazini hakuna, na nafasi ya kisiasa kutenguliwa ni wakati wowote ukumbuke hilo hata kama umeteuliwa asbh na mchana unaweza tenguliwa.

Nawaunga mkono kwa kukataa uteuzi kwa kweli
 
Hao jamaa kwa kitendo cha kugomea nafasi waliopewa na mh Rais kwenda kumsaidia kutekeleza ilani ni tatizo kubwa sana.
Na chakushangaza maafisa utumishi katika Halmashauri mbalimbali nchini wanawaunga mkono hao majamaa kwa kuisapoti CWT.
Wanaikandamiza CHAKUHAWATA ambayo kimsingi ipo kumsaidia mtumishi kwa ada nafuu za uanachama.
CHAKUHAWATA mwalimu mwanachama huchangia kiasi cha shilingi 5000 kwa mwezi pasi kujali kiwango cha mshahara wake.
CWT mwanachama huchangia kiasi cha shilingi 8000 hadi zaidi ya shilingi 40000 kulingana na kiwango cha mshahara kitu ambacho ni mzigo mkubwa kwa mtumishi.
Ukizingatia kuwa kanuni za ajira na mahusiano kazini zinampa uhuru mwajiriwa kujiunga na chama chochote cha wafanyakazi lakini kwa walimu imekuwa tofauti.
Kujiunga na CWT imekuwa lazima ukishaajiriwa tu wanakuunga.
Sasa kuna ulazima gani kulazimisha uanachama kwa chama ambacho kinampinga mh Rais kwa kukataa hata teuzi zake jambo ambalo ni dharau kubwa wameonyesha waziwazi viongozi hawa wa CWT kwa kiongozi wa nchi.
Tunawaatarifu maafisa utumishi wapeni uhuru wao wafanyakazi wa kujiunga na chama cha wafanyakazi wanachokitaka wao.
Ahsante
CHAKUHAWATA kama chama kipya hakiwezi kuwa na nguvu na ushawishi kuweza kuwatetea wanachama wake.Hiyo michango hata kama ni midogo itawanufaisha tu viongozi wake.
CWT bado ni tegemeo,siyo kwa walimu tu,bali watumishi wote wa umma.Kinachotakiwa ni migogolo ya kiuongozi itatuliwe ili kazi iendelee.
 
Hebu tuorodheshee mafanikio Yao ikilinganishwa na michango mikubwa inayokusanywa?
 
CHAKUHAWATA kama chama kipya hakiwezi kuwa na nguvu na ushawishi kuweza kuwatetea wanachama wake.Hiyo michango hata kama ni midogo itawanufaisha tu viongozi wake.
CWT bado ni tegemeo,siyo kwa walimu tu,bali watumishi wote wa umma.Kinachotakiwa ni migogolo ya kiuongozi itatuliwe ili kazi iendelee.
Wewe utakuwa ni mnufaika ndani ya CWT. Umeshindwa tu ku declare interest.
 
Kwanza unatakiwa utambue CWT na hao Chakuhawata, wote ni wezi tu. Maana hayupo hata mmoja hapo kati ya hao wawili ana msaada wowote ule kwa mwalimu wa nchi hii ya Kusadikika. Tofauti yao kubwa ni moja tu; mwizi mmoja sugu anawaibia 2% ya mishahara yenu kila mwezi, halafu mwizi wa pili ameona awaabie 5000 tu kila mwezi, kwa kuanzia.

Halafu cha pili unatakiwa utambue hao CWT ni tawi la CCM! (Kwa hiyo na wenyewe wana mchango wao mkubwa tu kwenye kuisaidia CCM kuwatawala wananchi kwa nguvu) Na ndiyo maana wanalindwa na baadhi ya hao vilaza wa Halmashauri wanaoitwa Maafisa Utumishi.
Upo sahihi sana
 
Wewe utakuwa ni mnufaika ndani ya CWT. Umeshindwa tu ku declare interest.
Hapana,mimi siyo mnufaika.Isipokuwa ni mtumishi wa umma ambaye naamini CWT wakiishinikiza Serikali juu ya maslahi yao huwa watumishi wengine tunaambulia pia.Chama changu TUGHE hakina nguvu ya kushinikiza Serikali.
 
Nyinyi mkipewaga T-shirt na kofia, mnaona maisha mmeyapatia. Mnashirikiana na CCM kufanya madudu kwenye uchaguzi.

Acha mnyooshwe!
 
Hapana,mimi siyo mnufaika.Isipokuwa ni mtumishi wa umma ambaye naamini CWT wakiishinikiza Serikali juu ya maslahi yao huwa watumishi wengine tunaambulia pia.Chama changu TUGHE hakina nguvu ya kushinikiza Serikali.
Sasa mbona hiyo CWT ya kuishinikiza serikali kwa sasa haipo!! Bora hata ile CWT ya yule jamaa aliyestaafu (somebody Mgaya)!! Walau ilikuwa na meno.

Hii CWT ya sasa imejaa wahuni tu wanaogombania hela za walimu.
 
Back
Top Bottom