Niagize samaki sato/sangara/dagaa wa kukaanga nikutumie mpaka ulipo kwa uaminifu

My hair my crown

JF-Expert Member
Feb 5, 2016
800
2,127
Natumaini mmeamshwa salama.

Karibuni mnitume samaki toka mwanza sangara, sato (wabichi au waliokaangwa) na dagaa waliokaangwa wakiwa wabichi. Kwa wanaohitaji wabichi mara nyingi wanatumwa kwa ndege.

Moja kwa moja mimi siuzi samaki direct ila natoa huduma ya kwenda kumnunulia mteja samaki au dagaa na kumtumia mkoani kwake kwa uaminifu ila mimi ananilipa elf 10 tu, kwenda kumnunulia kupeleka waandaliwe hapa ni kutolewa utumbo, kuoshwa na kukaangwa then niwasubiri mpaka wapoe ndo wafungwe nikatume, wabichi wanatolewa tu utumbo na kupakiwa kwa kuwekwa chumvi na barafu na kwenda kuwatuma.

Samaki huku hawauzwi kwa kilo kama tulivozoea kwingine bali wanauzwa kwa mmoja mmoja kulingana na ukubwa wa samaki, na sato wana bei juu kuliko sangara. Hivyo mteja wangu ukija niambie unataka samaki wa sh. ngapi jumla na size unayopendelea then itakua ni kazi yangu kukununulia.

Kwa dagaa kuna wa kuanzia elf 5 kuendelea sado tsh. 20,000

Kwa mawasiliano zaidi karibu 0694 366 291

Screenshot_20231206-082158~2.png
Screenshot_20231206-081826~3.png
Screenshot_20231206-081750~2.png
Screenshot_20231206-081801~2.png

Attachments

  • Screenshot_20231206-081858~2.png
    Screenshot_20231206-081858~2.png
    229.6 KB · Views: 14
  • Screenshot_20231206-081924~2.png
    Screenshot_20231206-081924~2.png
    96.6 KB · Views: 13
  • Screenshot_20231206-081911~2.png
    Screenshot_20231206-081911~2.png
    185.9 KB · Views: 17
Hii biashara imekaa kimchongo sana mbona. Unafanya biashara muda sasa hujaweka hata namba ya simu, me siwezi kukuamini. Ofisi yako ipo Mwanza maeneo gani? Utapeli wa mitandaoni tumeushtukia
 
Hii biashara imekaa kimchongo sana mbona. Unafanya biashara muda sasa hujaweka hata namba ya simu, me siwezi kukuamini. Ofisi yako ipo Mwanza maeneo gani? Utapeli wa mitandaoni tumeushtukia
Nilijua nimeweka namba kumbe sikuweka nimeiweka sasa, iko hivi sina ofisi maalum mimi nafanya tu kwenda kununua kamanga kuwapeleka watengenezwe kisha kumtumia muhusika, kwa dagaa ndo nanunua jumla ofisini kwa mtu. Kuhusu uaminifu sikatai ndio utapeli mwingi but sina namna ya kuanza kukulazimisha uamini, mtu atakaye amini anakaribishwa ambaye hata amini siwezi mlazimisha, ila wewe ku conclude kuwa nami ni tapeli unanikosea, as long as hujaniagiza na nikakutapeli.
 
Hiyo ilikua ni order ya mteja ndoo ndogo iko na samaki 17 Sato
 
Attachments

  • Screenshot_20231211-091237~2.png
    Screenshot_20231211-091237~2.png
    108.7 KB · Views: 20
Natumaini mmeamshwa salama.

Karibuni mnitume samaki toka mwanza sangara, sato (wabichi au waliokaangwa) na dagaa waliokaangwa wakiwa wabichi. Kwa wanaohitaji wabichi mara nyingi wanatumwa kwa ndege.

Moja kwa moja mimi siuzi samaki direct ila natoa huduma ya kwenda kumnunulia mteja samaki au dagaa na kumtumia mkoani kwake kwa uaminifu ila mimi ananilipa elf 10 tu, kwenda kumnunulia kupeleka waandaliwe hapa ni kutolewa utumbo, kuoshwa na kukaangwa then niwasubiri mpaka wapoe ndo wafungwe nikatume, wabichi wanatolewa tu utumbo na kupakiwa kwa kuwekwa chumvi na barafu na kwenda kuwatuma.

Samaki huku hawauzwi kwa kilo kama tulivozoea kwingine bali wanauzwa kwa mmoja mmoja kulingana na ukubwa wa samaki, na sato wana bei juu kuliko sangara. Hivyo mteja wangu ukija niambie unataka samaki wa sh. ngapi jumla na size unayopendelea then itakua ni kazi yangu kukununulia.

Kwa dagaa kuna wa kuanzia elf 5 kuendelea sado tsh. 20,000

Kwa mawasiliano zaidi karibu 0694 366 291

Una vibali vya kusafirisha? Maana hao sangara ni RB
 
Unasafirisha kwa njia gani? Mfano hao samaki 17 sato ulisafirisha wapi na kwa njia gani?
kuna njia mbili kwa ndege na bus, kwa ndege hasa wabichi ili wawahi wasiharibike, kwa bus waliokaangwa ndo maranyingi nawatuma kwa bus.
Hao sato alitaka akaangiwe kabisa walienda kwa bus Arusha.
 
Yes, ila kiuhalisia hapo samaki mmoja ni 5000 zingine ni gharama za usafiri, matengenezo, ya service, kwa wa ndege kuna kununua ndoo barafu na chumvi.
Ukubwa anakaribia hiyo circumference ya ndoo ndogo ukimuweka katikati kwa kumlaza.
Kama vipi mkuu ukawawekea receipts za usafirishaj na ujitahidi kufungua ka office online na physical
Idea yako ni nzuli kweli ila unahitaji ushauri
 
Sato 5 kwenda Arusha ni sh ngp?
Wa Size hiyo uliyoweka kwenye ndoo
 
Back
Top Bottom