sahihi

  1. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Vikao vya CCM Ikulu vinakera

    Kwa karibu miaka 10 sasa baadhi yetu tumekuwa tukipinga na kukemea vikali sana vikao vya CCM kufanyikia ikulu ya Dar es salaam. Haya mambo yalishika kasi sana enzi za Jakaya Kikwete [ambaye siku hizi ni kipenzi cha makamanda]. Magufuli naye sasa anauendeleza huo utaratibu wa hovyo. Hii...
  2. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kwa ratiba hii, CHADEMA wako sahihi kutokushiriki

    Tuwekeni ushabiki kando, kinachotangazwa na kupigiwa upatu kama kikao Cha wadau wa siasa hakina Ajenda ya majadiliano hata Moja. Yaani mnafika, wanakaribishana Hadi saa Tano, Chief Hang'her anaongea kama mgeni rasmi. Saa sita wanapiga picha, "kikao" kimeisha picha zimepigwa. Imetoka hio. Kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

    Ni miaka 10 tu imepita tangu mji huu maarufu kama Geneva of Africa utangazwe kuwa jiji. Kutoka kuwa mji wa 9 kwa wingi wa watu hadi kuwa mji wa 3 kwa sensa ya mwaka 2012 na halmashauri ya jiji ya pili kwa wingi wa watu, licha ya upya wake. Lakini ndio jiji lenye hospitali nyingi za private kwa...
  4. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mke kudai mume afute kumbukumbu za picha za mkewe wa zamani?

    Jamaa yangu mmoja alioa akapata watoto watatu katika ndoa ya kwanza kisha wakatalikiana na mkewe kwa sababu zisizoweza kuzuilika. Baada ya muda, jamaa akaoa tena. Mke mpya ana wivu balaa. Sasa imefika wakati mke anataka mume afute kumbukumbu zote za picha za familia yake ya kwanza kwenye laptop...
  5. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nilimpinga Hayati Magufuli kwa mengi, ila kwenye COVID-19 labda alikuwa sahihi

    Binafsi sikuwa mfuasi wa sera, mitizamo na style za kuongoza za Rais Magufuli. Nilimpinga waziwazi na sikuacha kutoa nyongo pale nilipoona anafanya mambo ambayo siyo, hasa yale ya kutumia madaraka yake vibaya na kuvunja sheria alizoapa kuzilinda. Lakini lilipokuja suala ya ugonjwa wa COVID-19...
  6. SubTopic

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kutumia neno COPYRIGHT kufananisha vitu viwili?

    Unakuta mtu anasema:" yani huyu mtoto kafanana na baba yake COPYRIGHT!" Hivi ni sahihi kweli kutumia neno hili kufananisha watu/vitu? Ukisoma maana yake ni tofauti na jinsi neno linavyotumika. Tusaidiane hapo je ni sahihi kutumia neno hili ama sivyo? kama sivyo tutumie neno lipi? Asante
  7. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kufanya mapenzi na mwenza kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa?

    Katika mahusiano kumekuwa na tabia ya kufanya mapenzi kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa na hii inahusisha jinsia zote mbili. Mwanaume wakati mwingine anajaribu kujiridhisha kama mwanamke anaendana na vigezo vyake hali kadhalika kwa wanawake pia. Vijana wengi wamekuwa wakitumia...
  8. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Je niko sahihi? simu yangu haina Security Lock yoyote.

    Habari za muda huu Tech Gurus? natumia simu aina ya Camon 16. Hii simu kwa kuhofia kwamba siku ikipotea nije niipate kirahisi, nimeacha kuweka Security lock, zile za Pattern, number, password ama Fingerprint. Ina SWIPE tu. Je, niko sahihi kiusalama? Je, siku ikipotea naweza kuipata?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwendeni zenu huko 'Wanafiki' wakubwa nyie, Dk. Kimei yuko sahihi tena 100%

    Kauli ya Mbunge wa Vunjo, Dk Charles Kimei kuwa wachaga wanapenda biashara ya magendo inaonekana kuchafua hali ya hewa ambapo kikundi cha wazee kutoka jimboni humo kimejitokeza na kutoa tamko kali dhidi yake. Katika tamko hilo, wazee hao wa kichaga wamelaani kauli hiyo na kwamba wanachukulia...
  10. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Yanga kumlilia Morrison

    Kwa kiwango hiki huyu Wakili Msomi alichoonyesha dhidi ya Red arrows huwezi kuwalaumu Yanga kwa kuendelea kumlilia na Kumkumbuka Benard Morrison, Wakili Msomi.. Hakika Yanga Nendeni Fifa Tena mkakate Rufaa
  11. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Hii Logic ipo sahihi..?

    Habari 👋 Wajuzi ningependa kujuzwa zaidi kuhusu hili. It's a geometry of belief, makanisa ya kikatoliki hasa jimbo kuu la mkoa fulani hua limejengwa katikati ya mji. Yaani sehem inapoonyesa kwamba hapa ndio kati ya mji basi kanisa (Jimbo kuu) linakua limejengwa hapo. Sio kwenye clock tower or...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushinda kesi CAS Bernard Morrison anataka kuishtaki Yanga SC kwa kufoji sahihi yake katika Usajili

    Taarifa za ndani kabisa ambazo KEROZENE nimepenyezewa zinasema ya kwamba baada ya Mchezaji Bernard Morrison Kukerwa na alichofanyiwa na Yanga SC mpaka kumpeleka CAS wakati haki ilikuwa ni upande wake sasa anataka Kuwanyoosha kwa Kesi ya Kufoji sahihi yake ambayo ni Kesi rasmi ya Jinai (Criminal)...
  13. luangalila

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi stationary kuthibitisha loss report badala Jeshi la Polisi?

    Hii kitu nimekumbana nayo leo baada ya kujaza loss report online kisha kufanya malipo then nikafika kituo cha polisi ili waithibitishe ndipo askari niliye mkuta kituoni akaniambia nikathibitishie stationary. Je hii ni sahihi kweli jamani
  14. N

    JamiiForums Tanzania Upi ndio uwekezaji sahihi?

    Watanzania wenzangu naomba tufanye tafakuri hii ili kuona na kupima maono ya viongozi wetu ambao tumewapa dhamana ya kutuongoza na kutufikisha katiko mafanikio ya juu kwenye historia ya mwanadamu. Natambua kuwa kila mtu ndani ya nchi hii ana wajibu wa kulilinda, kilijengwa na kilitetea taifa...
  15. Underthesea

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini utaoa/olewa na mtu asiye sahihi

    (usomaji wa dakika 7) Wangapi wanaweza kukiri kuwa wanahisi wameoa/wameolewa na mtu asiye sahihi? Basi mimi nipo hapa kutoa ushauri nasaha pamoja na faraja kwenu. Unajua watu wengi tuna hasira tulizozibeba ndani yetu juu ya mahusiano yetu ya kimapenzi, jinsi mahusiano yetu yalivyoenda. Leo...
  16. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiri kuwepo upungufu wa umeme, Makamba alisema ni 'scheduled maintainance'

    Rais Samia akiwa mkoani Mwanza amesema anatambua uwepo wa upungufu wa umeme ikimaanisha vyanzo vilivyopo havikidhi mahitaji yaliyopo. Waziri wetu wa nishati aliliongelea suala la kukatikatika kwa umeme chanzo chake ni marekebisho ya mfumo wa zamani. Tunaandaliwa kwa umeme wa dharura?
  17. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Oil sahihi Kwa injini za Boti

    Boti ndogo zinatumia injini za Nje(Outboard Engine) zimetengenezwa kulingana na mapigo ya injini (engine stroke/cycle). Hapa kuna aina mbili (2) injini kulingana na mapigo Kuna 2 Stroke Outboard Engines na 4 Stroke Outboard Engines. Watumiaji wengi wa boti au vyombo vidogo vya majini wamekuwa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi akaunti ya Serikali ya TCCIA ku-follow changudoa mitandao ya kijamii?

    Kama mnavyoona hapa yaani hata ukiwa unatumia account ya company huwezi KUFOLLOW account za Instagram za machangudoa
  19. comte

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Mheshimiwa Jaji ukiisoma hukumu hii UGANDA Vs OKUMU REGAN AND OTHERS pingamizi letu juu ya diary ya shahidi utaliona ni sahihi

    Kibatala: Mheshimiwa Jaji niende kwenye hii Kesi ya Wenzetu ya UGANDA Vs OKUMU REGAN AND OTHERS Kama Kuna Kesi itakuisaidia basi kesi hii.. Na Kupeleka Ukurasa wa Tano, Sisi tumesema Kwamba Shahidi Ni INCOMPETENT. Kibatala: Kama unaona Kuna ugumu wa kufanya uamuzi kwenye kesi hii naomba itumie...
  20. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Rayvanny anatengeneza direction sahihi ya Bongo Fleva. Wasanii muifate

    Kuna siku niliweka thread nikisema Rayvanny ndio Mangwea wa kizazi cha sasa, wakatokea watu wakanishambulia sana. Sasa niwaambie movement za sasa za Ray ndio standard tunayopaswa kwenda nayo kama tunataka kutoboa soko la international. Ukisikia EP yake mpya inaitwa New Chui unaona kabisa hii...
Back
Top Bottom