Wamekosea sana kumpeleka kuhojiwa kwenye kamati za vitisho na polisi kwa sababu huko ataibuka mshindi tu kwani hawataweza kujibu hoja zake. Na kwa kuwa wameshamtisha na akaonyesha ushupavu wa kutotishika atazidi kuwa maarufu.
Na wakikosea zaidi wakamuumiza popote, au hata wakimfukuza ubunge...
Nimefuatilia kwa karibu majibu machafu na ovyo ya huyo Gwajima (siamini kama kweli ni mchungaji au askofu mwenye karama), Kama kweli ni mchungaji kuna ethics zake, ni upumbavu na upuuzi kujitapa kuwa hata kama amelala na mrembo yule kwani kuna shida gani?
Hivi ni wewe unayehubiri kanisani neno...
Huwezi kupiga hatua ya kimaendeleo kwa kuongeza kodi (tozo). Unapoweka kodi kubwa unaua uchumi. Uchumi unapokufa huwezi kupata hiyo kodi. Shughuli za kiuchumi zinaposhuka kuna watu hawataweza kuajiriwa katika maisha yao yote. Watu watamaliza vyuo lakini hawatapata fursa ya kuajiriwa katika...
Siku ya leo nikiwa kwenye mizunguko yangu ya kawaida na pikipiki nilimgonga mama mmoja mzembe akiwa anavuka barabara bila kuchukua tahadhari,
Alikuwa anavuka anaangalia mbele tu bila kutazama upande mwingine, nilikuwa siko spidi sana, lakini tukio lilimfanya aende chini, sikutaka kusimama...
Wakuu kwema? Nauliza kama ni sahihi kufanya kazi ukiwa na muonekano wa Rasta (dread).
Je, kwa mazingira ya ofisi zetu hapa bongo (mfano mashirika ya umma, mashirika binafsi) wanaruhusu mwajiriwa kufanya kazi hasa mwanaume huku akiwa na dread?
Naomba kujua wakuu.
Masomo ya ziada ama tuition yamekuwa yakionekana kama kimbilio la wazazi na wanafunzi wengi, wakiamini kwamba njia hii inatoa fursa kubwa kwa mwanafunzi kufanya vizuri katika masomo yake na katika mitihani yake. Lakini kwa nchi nyingi za Afrika mara nyingi walimu wanaofundisha masomo ya ziada...
Kwenye press ya Mo nilipata mshtuko pale aliposema hapati faida yeyote kwenye timu na bahati mbaya waandishi wa habari hawakuuliza maswali ya msingi juu ya kile alichokitamka, sasa kumbe mshtuko wangu Haji Manara na yeye ameshtuka vile vile nilivyoshtuka na ile bilioni 21 aliyosema ametumia...
Hawa ni baadhi ya vijana wadogo kabisa toka UVCCM walioteuliwa kuwa makurugenzi.
KWA MUJIBU WA MEMORANDA YA FEDHA SERIKALI ZA MITAA(LGA) HAYA NDIO MAJUMKUMU MAZITO YA DED
1. Ensuring the existence of a formal and satisfactory system of financial administration;
2. Securing compliance with the...
Nimeshawishika kuandika hii baada ya kuona uzi wa ndugu mmoja hivi aliekua akilalamika baada ya watu kumtenga punde tu baada ya kusimamishwa kazi. But unfortunately nimesahau jina lake mnaweza kunisaidia kum tag kwa aliewahi ona uzi wake
Mzee mmoja kabla hajafariki dunia, alimpa kijana wake...
Kumekua na sintofahamu nyingi mtaani na wengi wanajiuliza maswali kuhusu Chanjo ya Covid, Naomba nieleze kwa jinsi ninavyofahamu na kama una swali niulize nitakujibu kadri ninavyofahamu.
Kwanini Chanjo ya COVID 19 inapigiwa chapuo sana Licha ya kwamba ni hiyari?
- Hii ni kwasababu dunia nzima...
Imeandikwa Na Smartdunia.
Nasikitika kusema,huu ni ukweli unaoumiza, lakini wenye uwezo wa kukubadilisha kabisa.
Hebu tuanze na kauli hizi tulizozizoea Kisha tujue madhaifu na mazuri yake yote.
"Tafuta pesa ili watoto wako wasikae kwenye vijiwe kubishana kuhusu Diamond na Harmonize"
"Tafuta...
Nikiacha tamko la IGP kuwa tuwapuuze wale wanaopinga kuchanjwa Covid ambao Mh. Waziri wa Afya amewaita Vibwetere, Azim Dewji akiwashambulia kuwa wanaingilia fani zao na kwenda Mbali zaidi kwa UVCCM na baadhi ya wabunge kuwashambulia kwa maneno mbalimbali.
Sitaki kuwauliz hawa wote kuwa miaka ya...
Hans Pope ameeleza sababu za Manara kukataa kusaini mkataba na Simba ambao ni mil 4 akiogopa kujifunga kwani unamkataza kufanya kazi na kampuni zingine nje ya Simba.
barbara gonzales
haji manara
hataki
klabu
kuondoka
kwanza
lazima
likizo
mashabiki
mawazo
mbali
mgando
milioni
mkataba
mshahara
muda
sahihi
siku
siku 7
simba
wachezaji
Je haya mawazo ni sahihi au kuna sehemu nimekosea nipeni mwongozo.
Mawaziri na Spika: Waziri mkuu, mawaziri wa wizara, spika wa bunge na naibu spika wa bunge wanatakiwa wasiwe wabunge.
Matokeo ya uchaguzi Mkuu: Matokeo ya uchaguzi mkuu yahojiwe mahakamani.
Tume huru ya uchaguzi: Kuwepo na...
Nakumbuka awamu ya tatu wakati serikali ikitaka kununua ndege ya Rais aina ya Gulfstream G550 kwa thamani ya bilioni 46
Watanzania walio wengi, walionyesha kupinga hatua hiyo, kwa kuzingatia hali ya uchumi ya nchi yetu kwa wakati huo
Lakini, aliyekuwa waziri wa fedha wa wakati huo, mzee...
Wakuu habari zenu na poleni kwa majukumu.
Naombeni ushauri kwa hili jambo ingawa ni la kiofisi ila naamini humu nitapata muongozo au mawazo yatayoniongoza kufanya maamuzi sahihi.
Ipo hivi, nipo kwenye kampuni ambayo inajihusisha na mambo ya afya narudia tena (a profit kampuni) kwasasa nimepewa...
Mi nimetafakari kwa kina sana ila nimeshindwa kupata jibu. Yafuatayo najiuliza
1. Mh. Rais alisaini au hakusaini hiyo sheria ya TOZO mpya?
2. Kama alisaini, je alikuwa anapima upepo wa wananchi?
3. Je, ni political tension?
4. Je, itakuwa imemuongezea asilimia za kuupiga mwingi?
Kama kuna...
Mara baada ya kuingia madarakani Hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli alitoa angalizo kwa wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuachana na Siasa na wajikite kwenye maendeleo.
Mh Hayati Rais Magufuli alitoa angalizo hilo kwa nia njema ila likitafsiriwa kwa kupotoshwa na wafuasi wa CHADEMA.
Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.