sahihi

  1. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Hebu soma halafu niambie ni sahihi au sio sahihi?

    Amani kwako. Huko kwa wakoloni ikiwepo Marekani huwezi kumtuma mwanamke akulete maji ya kunywa au kumwagiza mtu na wewe umekaa tena ume-relax, maana yake kila kitu anajihudumia mwenyewe hakuna utumwa wa kuamrishana. Wala Marekani huwezi kumkaripia mwanamke faini yake ni inafikia laki 600,000...
  2. chagonjam

    JamiiForums Tanzania Tanzania ilikuwa sahihi kuibana Acacia

    Imeelezwa kuwa Tanzania ilikuwa sahihi kuwa na bifu na kampuni ya Acacia Minining ambayo haikutimiza wajibu wake ipasavyo. ====== TANZANIA “had a legitimate beef” in its dispute with Barrick Gold subsidiary Acacia Mining and the solution now reached “… would make Africa a very different place...
  3. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Msando kujibu masuala ya diplomasia?

    Na Thadei Ole Mushi. Nimeisoma Barua ya Msando yote aliyowaandikia USA. 1. Achana na Makosa ya Address aliyoyafanya Brother Msando twende kwenye Hoja nyingine za barua ya Msando. Kwenye barua ile kuanzia mwanzo Hadi Mwisho Msando kaonyesha kuwa hata Marekani huwa wanavunja haki za binadamu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gamanywa: Makonda yuko sahihi Ushoga umekatazwa kwenye Biblia, wananchi acheni kushabikia dhambi

    Askofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda. Askofu Gamanywa amesisitiza kuwa ushoga ni katazo mbele za Mungu na ni dhambi isiyosameheka. Gamanywa amedai kuwa...
  5. sabuwanka

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kusuluhisha ugomvi wa wanandoa?

    Poleni wakuu kwa athari za mvua zinazoendelea nchini kote, poleni wachaga kwa vifo vya wenzetu 20 hapo Jana walipokuwa wakishindana kwenda kukanyaga mafuta ya upako, Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi...na majeruhi wapone haraka, Amina!!! Tukirudi kwenye mada, miaka ya hivi...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Hawa watu wawili (2) walizaliwa hapa Tanganyika/Tanzania nyakati zisizo sahihi kwao!

    1. Mwl. Julius Kambarage Nyerere Ukitazama akili, ushawishi na maarifa aliyokuwa nayo ingepaswa azaliwe kipindi ambacho nchi inao wasomi wa kutosha kumpa changamoto. Waliokuwepo wachache kama akina Hayati Kambona lakini kwa nchi kutokuwa na wasomi akina Hayati Kambona waliishia kuonwa wasaliti...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mtoto wako akiamua kumpa nyumba baba/mama yake ni sahihi?

    Huyu ni mtoto wa ujanani, kwakuwa bado wote au mmoja wenu alikuwa bado mwanafunzi wazazi wenu waliwasaidia ulezi mpaka mlipopata uwezo wa kumlea mtoto. Mengi yalipita na nyinyi wawili hamkuoana tena. Kabla ya kuingia kwenye ndoa mpya unaamua kumnunulia mtoto wako wa kwanza nyumba. Wakati huo...
  8. sabuwanka

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumrudia ex wako baada ya kuachana?

    Salaam waungwana , napenda tujadili ni halali kumrudia ex wako mlietangana ?na Kila mmoja kwenda na hamsini zake?....lakini kutokana na kumbukumbu ya mlivyovuruga mashuka, katika uhusiano wenu, ni sahihi mkipata nafasi ya ku reverse mfanye hivyo? Karibuni
  9. DocJayGroup

    JamiiForums Tanzania Je, Harmonize alifanya uamuzi sahihi kuuza nyumba zake 3 katika harakati za kujitoa WCB? Wewe ungefanyaje?

    Harmonize anapambana ili aweze kuachana kabisa na WCB. Alitakiwa kulipa shs milioni 500 ili aweze kuwa msanii huria na kufanya kazi zake kama yeye mwenyewe. Jambo ambalo linamaanisha kwamba kama msanii huria, fedha yote atakayoipata katika kazi zake za sanaa itakuwa ni yake. Alivyokuwa chini ya...
  10. KENZY

    JamiiForums Tanzania Je, ni muda sahihi wa dunia kuwa pamoja?

    Duniani ni mahali tunapoishi na pamebeba historia yetu kubwa,maendeleo yetu ktk nyanja zote yamepatikana hapa, upuuzi na uelevu wote tulionao tunautendea hapa!,hapa ni nyumbani. Binafsi kwangu mimi hivi sasa ni muda muafaka wa dunia kuwa pamoja!,hakuna ambacho hatukijui kuhusiana sisi kwa...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Tanasha ni mtu sahihi kwa Diamond Platnumz

    Leo tuje kwenye maisha binafsi ya wasanii wetu nje ya mziki wao Tokea diamond awe na uhusiano na tanasha, mondi ametulia sana usikii sijui katoa na Nani Nampa pongezi tanasha kwa kumtuliza mondi maana mondi kiukweli kweli alizidisha kuchepuka hata kama ni mwanaume sio kwa vile. Tanasha ni mtu...
  12. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Haya ndio matumizi sahihi ya mshahara wako

    Mshahara ni malipo/ujira anaopokea mtu baada ya kutekeleza majukumu yako katika kipindi fulani kwa mujibu wa makubaliano. Mshahara unaweza kuwa mkubwa au mdogo kwa kulinganisha kiwango cha uzalishaji,gharama za maisha na mtazamo binafsi. Kuna mtu au mazingira ambapo mshahara wa TZS ni 170,000...
  13. Mwahija abour

    JamiiForums Tanzania Shule au chuo kipi ni sahihi kwa matokeo haya

    Habar zenu ndugu zangu. Me naishi na binti yangu, amemaliza kidato cha NNE mwaka 2017. matokeo yake akawa na C1 na D2, ambay ni kiswahili C na eng/islamic, akawa na D mengine yote aliferi, akarudia mwaka jana masom yot kasoro islamic na kiswahili na akapata C ya eng, na mengne akafel tena...
  14. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

    Zitto Kabwe amewashutumu viongozi wa upinzani walioenda kwenye sherehe za uhuru, Mwanza na kupanda jukwaani kuomba maridhiano ya kisiasa kwa Rais Magufuli. Ametoa shutuma hizo kupitia mitandao ya kijamii akidai walichofanya ni kujipendekeza kwa Rais ili waachiwe nafasi chache za ubunge mwaka...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Siasa za Rangi: Hakika watanzania walichagua njia sahihi za kupatia maendeleo

    Moja ya kumbukizi ya mamboleo ni kuhakikisha unawapa na kutoa Sifa mathubuti Kwa watu weupe (shit) people hawa mara nyingi huwa ni wanasiasa wakiwemo kama Bashe WA zamani, Heche, Sugu, Shonza n.k maana ni wepesi kuongea mambo mazito walizani wamefundisha jamii Yao kumbe ni kusikiliza na kucheka...
  16. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Leseni inapokwisha muda wake ni sahihi dereva kuilipia kisha kupewa mpya bila kupewa mafunzo tena?

    Kuna vitu mtu unashindwa kujua lengo la serikali zetu hizi, dereva anapewa leseni, anaendesha gari kwa miaka fulani kisha inachuja (expire). Inampasa alipie kiasi fulani kisha apewe kadi (leseni) nyingine. Lengo ni kudhibiti ajali barabarani au kuongeza mapato? Kama lengo ni kuongeza mapato...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ni sahihi kweli? nini kazi ya bwana harusi?

    Habari zenu wanandugu!!! Nimekuwa mshenga nasimamia harusi ya ndugu yangu. Jana tulikuwa tunawaza zawadi ya bibi harusi tukataja mambo mengi sana. Kisha nikawaza.. 1. kuna haja kweli ya familia ya bibi harusi kumnunulia kila kitu binti yao wakati anaenda kuolewa? yaani kitanda, kabati, vyombo...
  18. gango2

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kufuta umoja wa Kabila fulani katika mkoa fulani

    Hivi karibuni nimesikia mkuu wa mkoa fulani akipiga marufuku umoja wa makabila yoyote yaliyopo mkoani kwake na kuhimiza kuundwa kwa umoja wa makabila yaliopo mkoani kwake! Hoja zilizotolewa ni kuwa ni chanzo cha ukabila! Nimefikiria mara kadhaa na kuja kuona hakuna sababu ya kufika au kuchukua...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Tofauti na CUF, waasisi wa Chadema hawakuwa wanasiasa bali wafanyabiashara wasio na lengo la kushika dola. Mbowe ni mtu sahihi kukiongoza

    Maneno hayo yamesemwa na mwanasiasa mstaafu Mzee Mgaya kwamba waasisi wa CUF wakina mzee Mapalala (RIP) ndio walikuwa na malengo ya kushika dola tofauti na wenzao wa NCCR - Mageuzi na Chadema. Mzee Mgaya amenihabarisha kuwa ukiyaelewa kwa makini malengo ya waasisi wa Chadema utakubali pasipo...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mjapan: Rais Magufuli yuko sahihi, vyuo vikuu duniani kulikoendelea huandaa wahitimu kujiajiri na sio kusubiri ajira ya serikali

    Injinia wa kijapani pale Mwenge amekubaliana na ushauri wa Rais Magufuli kwa vyuo vikuu kwamba Degree zao zilenge kuwaandaa vijana katika kujiajiri na si kusubiri ajira za serikali. Mjapan ameniambia vyuo vikuu katika dunia iliyoendelea huwaandaa vijana katika ubunifu, ujasiri na uthubutu na si...
Back
Top Bottom