Wapinzani walipomwambia Rais avunje Baraza ateue na kuapisha upya niliikuwa mmoja wa waliodhani ni ushauri batili.
Wapinzani wakasema kuna watu walitaka Mhe. Rais asiapishwe nikawapuuza nakudhani wanataka kumtisha Mhe. Rais akose utulivu
Wakasambaza taarifa za sukuma Gang nikaona wanaanza...
Kwa miaka 5 na miezi kadhaa, yaani kuanzia 2015 hadi March 2021 Magufuli amekopa kiasi cha Trillioni 36, kwa wastani wa Trillioni 7 kwa mwaka.
Magufuli amefariki March 2021 Deni la Taifa liko Trillioni 72. Kwa muda wa miezi 9, yaani kuanzia March 2021 hadi December 2021 deni la Taifa ni...
Hivi dada yako ukimfumania ugoni na jamaa mwingine tofauti na mume wake unaweza kumkamata ugoni?
Naomba mnisaidie ushauri wa haraka ili nijue cha kufanya.
Hapa nimekaa sebuleni nasoma nyuzi kadha wa kadha huku Jamii Forums Simu ya Mke wangu Iko pembeni. Mara ikaita akiwa nje, nikaona namba haijaseviwa nikauchuna Hadi ikakatika.
Ikaita Tena safari hii Mke wangu akaingia ndani akaisikia na kupokea "Niambie Boss Wangu"! Kisha nikafahamu Anayeongea...
Wizara ya Afya imesema kuwa taarifa ya Waziri Mkuu kwamba hakuna wimbi la 4 la UVIKO19 na ile ya Katibu Wizara ya Afya, kuhusu kuongezeka kwa maambukizi ya UVIKO19, zote ni sahihi. Kwani kuongezeka kwa maambukizi au visa hakumaanishi kuwa tayari ni wimbi jipya la maambukizi.
Prof. Makubi...
Kwema Wakuu!
Kama mada isemavyo!
Juzi nimeenda kununua Dawa Kama mnavyojua jijini DSM kuna vihoma mshenzi vinavyoendelea.
Nilipofika Duka la Dawa nikapokelewa na Mama mmoja mtu mzima, ni Daktari. Akanikaribisha Kwa bashasha zote. Huku akinambia ananionaga na Mdada mmoja, akaniuliza ni mke...
Kwa karibu miaka 10 sasa baadhi yetu tumekuwa tukipinga na kukemea vikali sana vikao vya CCM kufanyikia ikulu ya Dar es salaam.
Haya mambo yalishika kasi sana enzi za Jakaya Kikwete [ambaye siku hizi ni kipenzi cha makamanda].
Magufuli naye sasa anauendeleza huo utaratibu wa hovyo.
Hii...
Tuwekeni ushabiki kando, kinachotangazwa na kupigiwa upatu kama kikao Cha wadau wa siasa hakina Ajenda ya majadiliano hata Moja. Yaani mnafika, wanakaribishana Hadi saa Tano, Chief Hang'her anaongea kama mgeni rasmi. Saa sita wanapiga picha, "kikao" kimeisha picha zimepigwa. Imetoka hio.
Kwa...
Ni miaka 10 tu imepita tangu mji huu maarufu kama Geneva of Africa utangazwe kuwa jiji.
Kutoka kuwa mji wa 9 kwa wingi wa watu hadi kuwa mji wa 3 kwa sensa ya mwaka 2012 na halmashauri ya jiji ya pili kwa wingi wa watu, licha ya upya wake.
Lakini ndio jiji lenye hospitali nyingi za private kwa...
Jamaa yangu mmoja alioa akapata watoto watatu katika ndoa ya kwanza kisha wakatalikiana na mkewe kwa sababu zisizoweza kuzuilika.
Baada ya muda, jamaa akaoa tena. Mke mpya ana wivu balaa. Sasa imefika wakati mke anataka mume afute kumbukumbu zote za picha za familia yake ya kwanza kwenye laptop...
Binafsi sikuwa mfuasi wa sera, mitizamo na style za kuongoza za Rais Magufuli. Nilimpinga waziwazi na sikuacha kutoa nyongo pale nilipoona anafanya mambo ambayo siyo, hasa yale ya kutumia madaraka yake vibaya na kuvunja sheria alizoapa kuzilinda.
Lakini lilipokuja suala ya ugonjwa wa COVID-19...
Unakuta mtu anasema:" yani huyu mtoto kafanana na baba yake COPYRIGHT!" Hivi ni sahihi kweli kutumia neno hili kufananisha watu/vitu?
Ukisoma maana yake ni tofauti na jinsi neno linavyotumika. Tusaidiane hapo je ni sahihi kutumia neno hili ama sivyo? kama sivyo tutumie neno lipi?
Asante
Katika mahusiano kumekuwa na tabia ya kufanya mapenzi kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa na hii inahusisha jinsia zote mbili.
Mwanaume wakati mwingine anajaribu kujiridhisha kama mwanamke anaendana na vigezo vyake hali kadhalika kwa wanawake pia.
Vijana wengi wamekuwa wakitumia...
Habari za muda huu Tech Gurus?
natumia simu aina ya Camon 16.
Hii simu kwa kuhofia kwamba siku ikipotea nije niipate kirahisi, nimeacha kuweka Security lock, zile za Pattern, number, password ama Fingerprint.
Ina SWIPE tu. Je, niko sahihi kiusalama?
Je, siku ikipotea naweza kuipata?
Kauli ya Mbunge wa Vunjo, Dk Charles Kimei kuwa wachaga wanapenda biashara ya magendo inaonekana kuchafua hali ya hewa ambapo kikundi cha wazee kutoka jimboni humo kimejitokeza na kutoa tamko kali dhidi yake.
Katika tamko hilo, wazee hao wa kichaga wamelaani kauli hiyo na kwamba wanachukulia...
Kwa kiwango hiki huyu Wakili Msomi alichoonyesha dhidi ya Red arrows huwezi kuwalaumu Yanga kwa kuendelea kumlilia na Kumkumbuka Benard Morrison, Wakili Msomi..
Hakika Yanga Nendeni Fifa Tena mkakate Rufaa
Habari 👋
Wajuzi ningependa kujuzwa zaidi kuhusu hili.
It's a geometry of belief, makanisa ya kikatoliki hasa jimbo kuu la mkoa fulani hua limejengwa katikati ya mji. Yaani sehem inapoonyesa kwamba hapa ndio kati ya mji basi kanisa (Jimbo kuu) linakua limejengwa hapo. Sio kwenye clock tower or...
Taarifa za ndani kabisa ambazo KEROZENE nimepenyezewa zinasema ya kwamba baada ya Mchezaji Bernard Morrison Kukerwa na alichofanyiwa na Yanga SC mpaka kumpeleka CAS wakati haki ilikuwa ni upande wake sasa anataka Kuwanyoosha kwa Kesi ya Kufoji sahihi yake ambayo ni Kesi rasmi ya Jinai (Criminal)...
Hii kitu nimekumbana nayo leo baada ya kujaza loss report online kisha kufanya malipo then nikafika kituo cha polisi ili waithibitishe ndipo askari niliye mkuta kituoni akaniambia nikathibitishie stationary.
Je hii ni sahihi kweli jamani
Watanzania wenzangu naomba tufanye tafakuri hii ili kuona na kupima maono ya viongozi wetu ambao tumewapa dhamana ya kutuongoza na kutufikisha katiko mafanikio ya juu kwenye historia ya mwanadamu. Natambua kuwa kila mtu ndani ya nchi hii ana wajibu wa kulilinda, kilijengwa na kilitetea taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.