raisi

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana msikimbilie kuoa kabla hamja jitambua!

    Ni kweli vijana hawaoi mapema kama zamani . Raisi kaongea haya kama vile ni tatizo la jamii kwa mawazo yangu tatizo ni yeye kutokuelewa Dunia imebadilika. 1. Utamaduni wa zamani wa wazazi kukutafutia mchumba umepitwa na wakati 2. Kuwa na wake wengi pia kumepitwa na wakati kwasababu wanawake wa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Harakati ndiyo zinaleta demokrasia kwa tulipofikia Rais Samia

    Raisi Samia leo anasema kuna tofauti ya wana demokrasia na wana harakati. Hiyo tofauti kwa sasa ni wewe tu mnufaikaji na genge la watawala mnalo liona hilo. Ukweli ni kwamba kwa watu wa kawaidia ni kitu kimoja. Ukisema wanaharakati ni kama vile kuna watu wana andamana bila sababu lakini si...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tuliokuwa tunamkubali Trump tangu akiwa Rais 2016 - 2020

    2016 hadi 2020 ni kipindi ambacho watu wengi sana walikuwa wahanga wa kuziamini habari za kumchafua Mwamba, hasa hapa kwetu Tz ilikuwa rahisi sana kuwa brainwash wabongo, hata humu JF 98% walikuwa brainwashed kumchukia Trump, ni wachache sana tuliusoma mchezo. Trump ndie raissi mpenda amani...
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania RAISI SAMIA S.SULUHU BAADHI YA TAASISI WANATAKA UKOSE KURA.BARABARA YA KMR BONYOKWA WANANCHI WALIPWE

    MH RAISI SAMIA JANA NILIKUWA MAEENEO YA KiMARA BONYOKWAA KAAENEO KHA KUJIDAI NNILIPOFIKA NILIKUTA NDUGU NA JAMAA WAKIJILIWAZA NA KUONDOA STRESS ZA MAISHA GAFLA AKAJA BOSS WA BAR AKASEMA WAKUU SOON JAMAA WANATAKA KUTUONDOAA..NKAULIZA KIVIPI WAKASEMA BARABARA INAWEKWA LAMI..AJABU AWAJAPOKEA...
  5. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli hakuwa Dikteta

    Magufuli hakuwa Dikteta kama baadhi ya wananchi walivyokuwa wakimlaani Alikuwa akichukizwa na watu vigeugeu au wasaliti Alitaka akiagiza tufanye kazi basi tufanye wote sio wengine waende kinyume Na jambo jema ni kuwa maagizo yake yalikuwa ya kuleta maendeleo Tatizo la Watanzania 80% ni...
  6. Championship

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani raisi Samia amekiweza? Mbeya hakuna maji wiki ya pili hii

    Nimefika huu mkoa naambiwa maji hamna kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Nipo maeneo ya soweto, block Q. Niliwahi kuishi hapa karibu miaka 10 kipindi cha nyuma na hapajawahi kuwa na tatizo la ukosefu wa maji hata siku moja. Ni kipi Rais anakiweza?
  7. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Wajamaa mnisaidie, hivi Nyerere aliwezaje kuvumilia haya?

    Huwa najiuliza sana lakini sipati majawabu, lakini naomba wasomi wa humu ndani mnisaidie. Hivi Mzee Nyerere alikuwa ana roho ya namna gani kuona mambo kama haya yakitokea kwa wananchi lakini bado hataki kubadilika na akaendelea kutumia mkono wa chuma kuhakikisha anasigina kabisa uwezo binafsi...
  8. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Ili kudumisha mshikamano wa Kitaifa anaousema Rais Samia, tuiige Zanzibar kuwa na Serikali ya Mseto 2025

    Inawezekana tukifanyia mabadiliko madogo Katiba yetu, 2025 tukaunda Serikali ya Mseto. Zanzibar ya leo, siyo ile tuliyoiona au kuijua enzi za ngangari na ngunguri za kina Mahita. Siri kubwa nyuma yake nionavyo ni mshikamano wa "KWELI" kupitia "SERIKALI YA UMOJA/ MSETO" Tanganyika ina bahati...
  9. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Hivi mpinzani wa Rais Samia ni nani?

    Urais wake unaweza kuwa unatishiwa na nani? kwa maana nguvu kubwa inatumika kumfanyia kampeni kila mahali t shirt zinavaliwa mabango kila mahali sasa against who? Kutoka vyama vya upinzani pia sioni mpinzani kwani hata vyama vingine vinampigia kampeni na kumtetea, sasa hofu ya nini na kwa...
  10. Richard

    JamiiForums Tanzania Rais Putin asema vita haitaisha hadi hapo malengo ya Russia yatakapotimizwa

    Raisi Putin aelezea umuhimu wa nchi kuwa huru na kutetea uhuru huo. Pia asema SMO itasita pale tu malengo ya Russia juu ya Ukraine yatapotimizwa ambayo ni kuondoa unazi denazification, uwezo wa kijeshi demilitarizing Ukraine na mwisho kuhakikisha Ukraine yabakia kuwa Neutral bila kujiunga EU na...
  11. Day 1 gongs

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto huu ni ukweli au mipasho Kwa jirani zako?

    Huku kuwachokoza Wana jumuiya ya Afrika mashariki, “Mmesikia kuhusu safari zangu za kwenda maeneo mbalimbali Nje ya Nchi mara kwa mara. Ninasafiri kwa Mipango, Mimi sio Mtalii” William Ruto
  12. S

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais anaeweza kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja kwa shughuli maalamu?

    Naomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa Umakamu wa Rais kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.? Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima, sasa iweje kwa Makamu wa Rais? Ni kazi gani hiyo? Makamu wa Rais anaweza kuwa mtendaji wa...
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Raisi Dkt. Mpango yupo kikazi nchi gani?

    Great Thinkers. Naamini humu kuna wajuzi na wafuatiliaji wa taarifa mbalimbali. Anayejua aliko Dkt. Mpango kwa shuguli za kiserikali atujuze.. Mi mashetani yangu yamegoma yanasema hayupo kikazi anaywhere.
  14. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Viatamizi vya BBT vya Unenepeshaji Mifugo ni hoi bin taabani. Raisi aliyetoa fedha anafichwa ukweli. Ngombe hawanenepeshwi ni vurugu tupu

    Mimi binafsi nimetembelea vituo kadhaa vya BBT kwa upande wa Unenepeshaji mifugo kwa lengo la kujifunza. Vikiwemo Kikulula- Karagwe,Mabuki- Mwanza nk. Nimegundua yafuatayo; 1. Vijana wengi waliochaguliwa kushiriki BBT wamekata tamaa . Walichoitiwa sicho walichokikuta. Wameongezewa muda wa kukaa...
  15. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Huu Utitiri wa Maofisa wa Serikali kwenda Hanang, Wanaenda Kufanya Uokoaji au Kuonekana?

    Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine. Huko PM yupo Mkuu wa Majeshi yupo Mawaziri wapo Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya...
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu

    Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu. Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na...
  17. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia atumia sayansi kuzuia mikutano ya wapinzani

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Wakati Rais wa awamu ya tano mheshimiwa John P. Magufuli anaingia madarakani, miongoni mwa vitu vya kwanza kabisa alivyovifanya katika uongozi wake ni kupiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa akiamini kwamba mikutano hiyo ilichangia uzorotaji wa kuleta maendeleo...
  18. D2050

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, TTCL ni shirika lililojaa wafanyakazi wazembe

    Kwako mkuu wa nchi hii Rais SAMIA. Katika mashirika ya serikali ambayo wafanyakazi wake wengi ni wazembe basi Ttcl wanaongoza. Hili Shirika limejaa uzembe wa kupitiliza hadi unakela. Dunia ya sasa wanategemea sana INTERNET ili shughuli zao ziende kwa wakati. Watanzania wengi wanapenda kuingiza...
  19. bjhjhj

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ongea na Waziri wa Ajira aongee na Sekretarieti ya ajira waache kutesa wadogo zetu

    Kama uzi unavyosema hapo juu, Rais Samia, kuna hawa watu wanaoendesha utaratibu mzima wa kutoa ajira kwa vijana wa Tanzania (secretariat ya ajira), hawa wamekuwa tatizo kwa vijana wanaojitafuta kwenye Secta ya Ajira. Haiwezekani mtu afanye usahili alafu akae zaidi ya miezi sita wakati...
  20. bjhjhj

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira iache kutesa wadogo zetu wanaotafuta ajira

    Rais ongea na Waziri mwenye dhamana ya ajira aongee na hawa secretariet ya ajira waache kutesa wadogo zetu. Kama uzi unavyosema hapo juu mheshimiwa Rais. Kuna hawa watu wanaoendesha utaratibu mzima wa kutoa ajira kwa vijana wa Tanzania (secretariat ya ajira), hawa wamekuwa tatizo kwa vijana...
Back
Top Bottom