Vitengo vya habari viwe makini katika video na picha za Rais zinazotumwa kwa jamii

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
2,645
3,932
Jana nimeona clip ya mh rais wetu mpendwa mheshimiwa ukht Samia kuhusu taarifa ya kifo cha mzee Mwinyi

Clip ile inamakosa yamejitokeza ambayo mh rais hakupenda yafike kwa jamii lkn yamefika. Wakosoaji wa kisiasa wanatumia fursa hio.

Ushauri
Taarifa kama zile zisiwe live zirkodiwe zieditiwe ndio ziletwe kwa jamii. Zipo software nyingi za video editing. Wapo vijana wengi wamesoma audio and video production, wamesoma adobe photoshop, premium and software nyingi za picture, audio and video tuwajiri vijana hawa ili tuimarishe kitengo cha habari Ikulu.

Neno moja la rais wa nchi ni thamani kubwa na sisi watu wa research huwa tunalitumia ktk literature review zetu.

Kwa hivyo vitengo vya habari viwe makini ktk video na picha za mh rais zinazotumwa kwa jamii.

Mambo kama haya ktk baadhi ya nchi mkuu wa kitengo anawajibika kwa kujiuzulu kutokana na kasoro.

Jana nimeona clip ya mh rais wetu mpendwa mheshimiwa ukht Samia kuhusu taarifa ya kifo cha mzee Mwinyi
Clip ile inamakosa yamejitokeza ambayo mh rais hakupenda yafike kwa jamii lkn yamefika. Wakosoaji wa kisiasa wanatumia fursa hio
Ushauri
Taarifa kama zile zisiwe live zirkodiwe zieditiwe ndio ziletwe kwa jamii. Zipo software nyingi za video editing. Wapo vijana wengi wamesoma audio and video production, wamesoma adobe photoshop, premium and software nyingi za picture , audio and video tuwajiri vijana hawa ili tuimarishe kitengo cha habari Ikulu.

Maadamu umeficha ulichokiona basi jambo hilo ungekaa nalo moyoni mwako bila kutuletea sisi.
 
Yaani kuna makosa na husemi???
Haya tuache hilo, hivi kwa fikra zako timamu ikulu haina wataalamu wanaozijua hizo software vyema??

Aisee unajiaibisha, hivi unadhani production zote za Rais zinafanywa na nani?
Alichoongea mtoa mada ni sahihi siyo kwamba hao watu hawapo ili kuwajibika ndiyo kibarua kizito kwao hawajui majukumu yao
 
Jana nimeona clip ya mh rais wetu mpendwa mheshimiwa ukht Samia kuhusu taarifa ya kifo cha mzee Mwinyi

Clip ile inamakosa yamejitokeza ambayo mh rais hakupenda yafike kwa jamii lkn yamefika. Wakosoaji wa kisiasa wanatumia fursa hio
Ushauri

Taarifa kama zile zisiwe live zirkodiwe zieditiwe ndio ziletwe kwa jamii. Zipo software nyingi za video editing. Wapo vijana wengi wamesoma audio and video production, wamesoma adobe photoshop, premium and software nyingi za picture , audio and video tuwajiri vijana hawa ili tuimarishe kitengo cha habari Ikulu.

Neno moja la rais wa nchi ni thamani kubwa na sisi watu wa research huwa tunalitumia ktk literature review zetu.

Kwa hivyo vitengo vya habari viwe makini ktk video na picha za mh rais zinazotumwa kwa jamii.

Mambo kama haya ktk baadhi ya nchi mkuu wa kitengo anawajibika kwa kujiuzulu kutokana na kasoro.
Mbona kama na wewe umehadithiwa?

Hujasema makosa yaliyokuwepo
 
Watanzania tunapenda kuleta mijadala kwenye mambo ya kipuuzi puuzi tu, kwenye matangazo ya Live suala la kukosea sio kitu cha ajabu, Tangu lini uliona taarifa ya Kifo cha mkuu wa serikali ikitolewa ikiwa recorded??!! Tujifunze kujadili hoja za msingi na sio kudandia kila mada kwa mihemko
 
Jana nimeona clip ya mh rais wetu mpendwa mheshimiwa ukht Samia kuhusu taarifa ya kifo cha mzee Mwinyi

Clip ile inamakosa yamejitokeza ambayo mh rais hakupenda yafike kwa jamii lkn yamefika. Wakosoaji wa kisiasa wanatumia fursa hio
Ushauri

Taarifa kama zile zisiwe live zirkodiwe zieditiwe ndio ziletwe kwa jamii. Zipo software nyingi za video editing. Wapo vijana wengi wamesoma audio and video production, wamesoma adobe photoshop, premium and software nyingi za picture , audio and video tuwajiri vijana hawa ili tuimarishe kitengo cha habari Ikulu.

Neno moja la rais wa nchi ni thamani kubwa na sisi watu wa research huwa tunalitumia ktk literature review zetu.

Kwa hivyo vitengo vya habari viwe makini ktk video na picha za mh rais zinazotumwa kwa jamii.

Mambo kama haya ktk baadhi ya nchi mkuu wa kitengo anawajibika kwa kujiuzulu kutokana na kasoro.
Weka hiyo video clip basi, au ni unafanya uzushi?
 
Mleta mada saafi sana. Akili kubwa.

Umeonesha upatani wa kiakili na kimantiki.

Nnaona wengi wanakuomba clip hiyo

USIILETE!

Kaa hivyohivyo, umepatia kabisa maana ukiisambaza na wewe utakuwa umejipinga kiotomati.

Lengo libaki kuwa taarifa mbovu zisisambae, zisisambazwe kamwe
 
Sasa nini mantiki ya mleta mada kuleta huo mjadala hapa JF ikiwa anashindwa kuonyesha ushahidi wa hizo kasoro?

Kuna watu bado mpo kwenye zama za ujima sana.
 
Hujaiona bado mantiki!?

Kila alichofanya kimepatana na taarifa mbovu zidhibitiwe na kitengo cha mawasiliano ili zisisambae. Na ndicho kilichopo hadi sasa yeye mwenyewe ameanza kwa kutoisambaza.

Au labda ni ile watu mna hamu sana ya kuona alipokosea ili mfurahie kuteleza kwa mwenzio. Sio ubinadamu ata nakuambia.
 
Sasa usiandike kama vile wote tumesikia hiyo habari.
Weka na hiyo sauti ili na sisi tusikie.
Kazi ya mtafiti kuwasilisha utafiti mtafiti mwengine anaenda kufanya gap liliopo ktk utafiti ule. Jukumu lako kuitafuta na kuiweka hapa. Usiwe kama mtoto wa ndege kila kitu ulishwe
 
  • Thanks
Reactions: apk
Kazi ya mtafiti kuwasilisha utafiti mtafiti mwengine anaenda kufanya gap liliopo ktk utafiti ule. Jukumu lako kuitafuta na kuiweka hapa. Usiwe kama mtoto wa ndege kila kitu ulishwe
kumbe mbali ya ulimbukeni una ujuha ndani yako pia.

haya Bw. Mtafiti.
 
Jana nimeona clip ya mh rais wetu mpendwa mheshimiwa ukht Samia kuhusu taarifa ya kifo cha mzee Mwinyi

Clip ile inamakosa yamejitokeza ambayo mh rais hakupenda yafike kwa jamii lkn yamefika. Wakosoaji wa kisiasa wanatumia fursa hio
Ushauri

Taarifa kama zile zisiwe live zirkodiwe zieditiwe ndio ziletwe kwa jamii. Zipo software nyingi za video editing. Wapo vijana wengi wamesoma audio and video production, wamesoma adobe photoshop, premium and software nyingi za picture , audio and video tuwajiri vijana hawa ili tuimarishe kitengo cha habari Ikulu.

Neno moja la rais wa nchi ni thamani kubwa na sisi watu wa research huwa tunalitumia ktk literature review zetu.

Kwa hivyo vitengo vya habari viwe makini ktk video na picha za mh rais zinazotumwa kwa jamii.

Mambo kama haya ktk baadhi ya nchi mkuu wa kitengo anawajibika kwa kujiuzulu kutokana na kasoro.
Mbona husemi ni makosa yapi sasa yameonekana
 
Back
Top Bottom