rais

  1. Miss Zomboko

    Uchunguzi dhidi ya Trump: Rais andika barua ya hasira kwa Spika Pelosi usiku wa kuamkia siku ya kura

    Rais Donald Trump na Spika Nancy Pelosi Rais Donald Trump ameukosoa uchunguzi unaokaribia kufanyika kwa kuandika barua kwa Spika Nancy Pelosi, akimtuhumu kutangaza vita vya wazi dhidi ya Demokrasia ya Marekani. Rais Trump anakabiliwa na kura ya uchunguzi itakayopigwa leo kuhusu madai kwamba...
  2. J

    Chato, Geita: Rais Magufuli afungua jengo la Mahakama ya Wilaya na kuweka jiwe la msingi jengo la Zimamoto

    leo Jumatano Desemba 18, 2019 Rais wa Tanzania, John Magufuli amehudhuria hafla ya uzinduzi wa jengo la Mahakama ya Wilaya ya Chato na uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la Zimamoto na Uokoaji la Wilaya ya Chato mkoani Geita. Haya ni baadhi ya yaliojiri kwa ufupi. Prof. Ibrahim Juma...
  3. Influenza

    Mary Mubaiwa, mke wa makamu wa rais wa Zimbabwe ashtakiwa kwa kujaribu kumuua mumewe

    Mke wa makamu wa rais wa Zimbabwe ameshtakiwa na jaribio la kutaka kumuua mumewe. Mary Mubaiwa ambaye tayari anashutumiwa kwa madai ya ufisadi, aliwasilishwa mbele ya mahakama moja ya Harare siku ya Jumatatu . Amekana mashtaka yote. Waendesha mashtaka wanasema kwamba alijaribu kumuua...
  4. Wakulonga

    Miaka 20 ya utawala wa Rais wa Urusi katika picha

    Picha mbali mbali zinazomuonyesha rais wa Urusi Wakati wa utawala wake wa miaka 20 Vladimir Putin: Miaka 20 ya uongozi ndani ya picha 20
  5. Miss Zomboko

    Rais mstaafu wa Pakistani ahukumiwa kifo katika kesi ya uhaini mkubwa na kukiuka Katiba

    Rais mstaafu wa Pakistani, Pervez Musharraf (76) amehukumiwa kifo katika kesi ya uhaini mkubwa iliyohusisha kuweko kwa dharura ya Kikatiba mnamo 2007. Hukumu hiyo imetolewa leo wakati kiongozi huyo akiwa mjini Dubai tangu alipoondoka Machi 2016 kwasababu za kiafya na kiusalama na kudai kwamba...
  6. K

    Edward Lowassa ni mtu mwenye maono, uthubutu na misimamo, anafaa kuwa Rais ajaye wa Tanzania, Mungu akutangulie, akulinde na akupiganie

    Awali ya yote napenda kukiri kwamba sijatumwa wala kutumika na yeyote kuandika juu ya hii mada, ni maoni na mtazamo wangu binafsi na pengine ni mtazamo wa wengine wengi wanaomtazama Lowassa kama ninavyomtazama mimi. Katika ulimwengu wa siasa, jambo dogo linaweza kujadiliwa kwa marefu na mapana...
  7. Mystery

    Rais Magufuli utaendelea kuiona kazi ya Urais kuwa ngumu, kwa kuwa huruhusu nchi iwe na taasisi imara

    Nimekuwa nikimsikiliza Mara kwa Mara Rais wangu Magufuli, katika hotuba zake mbalimbali, anazotoa kwenye majukwaa ya kisiasa na Mara kwa Mara amekuwa akirudia kauli yake ya kulalamika na kusema kuwa kazi ya Urais ni ngumu sana na kama yeye angelijua hilo kabla, basi hata fomu ya Urais mwaka ule...
  8. Return Of Undertaker

    Mapokezi ya ndege jijini Mwanza kupokelewa na Rais, Makamu, Waziri Mkuu na Spika

    Ratiba hiyo inajieleza ===== Mwanza. Ndege mpya aina ya Bombardier Q-400 iliyonunuliwa na Serikali ya Tanzania imetua uwanja wa Mwanza nchini humo na kupokelewa na wananchi na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais John Mgufuli. Viongozi wengine waliohudhuria mapokezi ya ndege hiyo iliyotua...
  9. Pascal Mayalla

    Magufuli, "Kama Unaona Kazi ya Urais ni Ngumu Kwako, Jiuzulu! ".

    Wanabodi, Haya sii maneno yangu bali ni paraphrasing from ushauri wa mwana Jf humu. Angalizo kuhusu paraphrasing. Ni editing tool inayotumiwa na ma editors ku summarize long speeches kwa kufanya brief for brevity na coherent ujumbe ufike kwa urahisi . Huu ni ushauri kwa rais Magufuli...
  10. Askari Kanzu

    Rais wa Zambia amtaka Balozi wa Marekani nchini humo kuondoka baada ya kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja

    Rais wa zambia, Edgar Lungu ameandika barua kwa serikali ya marekani kutaka kuondoshwa kwa balozi wa nchi hiyo nchini zambia. Hatua hiyo imekuja baada ya balozi huyo wa marekani nchini zambia Bw. Daniel Foote kunukuliwa akitoa maoni yanayopinga adhabu ya kifungo cha jela miaka 15 waliyopewa...
  11. elivina shambuni

    TRC yajivunia mafanikio uongozi wa Rais Magufuli

    SERIKALI ya awamu ya tano, imeleta mchango mkubwa katika kukamilisha na kuleta mafanikio katika sekta ya reli nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa uongozi wa Rais John Magufuli umekuwa wa kipekee kutokana na...
  12. Influenza

    Rais Magufuli: Ndege nyingine 3 kuwasili mwakani. Wahudumu wa ATCL wana ‘shape’ nzuri

    Rais Magufuli wakati akipokea ndege iliyokuwa imezuiliwa Canada amebainisha kuwa ndege mpya tatu zilizobaki zitawasili ambapo moja (Bombardier Q400) itawawasili Mwezi Juni 2020 na nyingine mbili ni Air-Bus 220-300 ambapo moja itawasili mwezi Juni na nyingine mwezi Julai 2021 Lakini pia, ameweka...
  13. J

    Kwa kasi hii ya Rais Magufuli nashindwa kuelewa mzee Mwinyi alifeli wapi hadi viwanda na mashirika ya umma yakafa!

    Nafuatilia kwa makini jinsi taasisi za serikali zinavyozidi kujitokeza kutoa gawio (dividends) kwa serikali. Nimeona hadi vyuo kama SUA, IFM nk vikitoa gawio sambamba na wakala mbalimbali za serikali na hata vitega uchumi vilivyoko jeshini na magereza mfano Suma JKT. Natafakari tu endapo...
  14. Boniphace Kichonge

    Rais Magufuli aagiza Wajumbe wa NEC kusafiri bure na ndege ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada bure kurejea Dar es Salaam

    Wajumbe wa NEC Waliokuwa Mwanza Kesho saa 3 Asubuhi watapanda bure na Kurejea Dar es salaam kwa Kutumia Ndege ya Mpya Ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada na Mabeberu. Watasafiri bure Kushuhudia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM. Hata Hivyo ifahamike kuwa Ndege Hiyo Mpya bado ipo...
  15. J

    Prof Kabudi: Mh Rais Magufuli, jina la John maana yake ni ‘Mtu aliyependelewa na Mungu na kupewa baraka zote’

    Waziri wa Mambo ya Nje Prof. Kabudi ametoa tafsiri ya jina la John kwa mujibu wa Biblia kuwa ni mtu aliyependelewa na Mungu wa mbinguni na kupewa baraka zote. Tafsiri hii imetolewa na Prof Kabudi mbele ya Rais Magufuli, nami Johnthebaptist nakubaliana na huyu mzee wangu wa Kanisa pale St Alban...
  16. Beira Boy

    Rais Magufuli: Nitaondoka madarakani kwa mujibu wa Kanuni na Katiba ya CCM na Katiba Nchi

    Aman iwe nanyi wakuu Rais Magufuli amedai kuwa licha ya mashinikizo mengi kutoka kila pande lakini yeye ataondoka madarakani kwa mujibu wa katiba ya CCM na nchi wala hataongeza miaka maana kazi ya Urais ni ngumu sana. Amedai kuna watanzania wengi tu ndani ya CCM wenye kuweza kuongoza nchi...
  17. Mystery

    Tetesi: Rais Magufuli anatamani nchi yetu iwe na Katiba ya nchi mbovu zaidi ya hii tuliyo nayo sasa!

    Wananchi wengi wa nchi hii wanatamani nchi yetu iwe na Katiba mpya ambayo itaendana na nyakati hizi, tofauti na Katiba tuliyo nayo hivi sasa ambayo ilitungwa mwaka 1977, ambayo wananchi wengi wanaiona kuwa haikidhi matakwa ya sasa ya kisiasa na kijamii Wakati wananchi wengi wanatamani nchi yetu...
  18. Pascal Mayalla

    Mtangazaji Nguli wa VOA, Mwamoyo Hamza, Azangumzia Mchakato wa Kumuondoa Rais Trump Madarakani, Ateleza Ulimi Kuhusu Idadi ya Kura za Kumuondoa

    Wanabodi, Hii sio mada ya kimataifa, the main theme ni kuteleza ulimi, nimetumia mfano wa kimataifa, ila the subject matter ni kuteleza ulimi. Naangalia TV ya VOA kupitia ETV, https://www.voaswahili.com/a/5204895.html Mtangazaji Nguli wa VOA, Mwamoyo Hamza, Azangumzia Mchakato wa Kumuondoa...
  19. Erythrocyte

    Mama Mzazi wa Erick Kabendera amuomba Rais Magufuli kumsamehe mwanae

    Verdiana Mjwahuzi (81) ambaye ni mama wa mwandishi wa habari, Erick Kabendera amemuomba Rais wa Tanzania, John Magufuli kumsamehe mwanaye. Akizungumza kwa huzuni leo Ijumaa Desemba 13, 2019 katika mkutano na waandishi wa habari, Verdiana amesema Kabendera ni mwanaye pekee anayemsaidia katika...
  20. L

    Nchi gani ya Afrika iliyoongozwa/tawaliwa na Rais mmoja tu kwa miaka mingi na ikapata maendeleo?

    Iko mifano mingi Afrika ya nchi ambazo marais wake wameongoza au tawala kwa muda mrefu (miaka mingi) lakini hakuna chochote cha maana walichofanya. Kutaja kwa uchache, Uganda na Congo!!! Itambulike iwe Rais mwenyewe, wasaidizi wake, washauri wake au mwananchi wa kawaida kufikiria tu rais...
Back
Top Bottom