UTEUZI: Rais Magufuli afanya mabadiliko kwenye Sekta ya Afya kwa kumteua Mganga Mkuu wa Serikali, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
752
3,092
Rais Magufuli ajitokeza, Afanya teuzi mbalimbali na kuboresha sekta ya Afya kwa kumteua Katibu Mkuu na Mganga Mkuu wa Serikali.

Teuzi.jpg
 
Rais John Pombe Magufuli amemteua Prof. Mabula Daudi Mchembe kuwa katibu Mkuu Wizara ya Afya kuchukua nafasi ya Dkt. Zainab Chaula kuwa katibu Mkuu wa Mawasiliano wakati huohuo amemteua Prof. Abel Makubi kuwa mganga Mkuu wa Serikali.
IMG_20200422_112217.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom