Rais Magufuli muongeze RC Makonda aongoze mapambano ya Covid-19

Mzururaji

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,559
1,272
Pole na majukukumu hapo Chato, Mheshimiwa Rais wangu.

Baada ya kuwaza sana juu ya kuongezeka kwa idadi ya wagonjwa corona naomba nikuombe bomoa zile kamati muweke RC Makonda aongoze mapambano kwa sababu zangu ninazoziona.

Kwanza Makonda akili imesha mkaa sawa sasa hivi naona ameamua kuongoza mapambano mwenyewe hizi hatua at least ndo wananchi wanazitaka kuona kuchukua hatua lakin wananchi hawawezi kuchukua hatua bila msukumo wa viongozi wao hapa naona makonda amethubutu.

Pili amesha experience kuwa mzaha mzaha hutumbua usaha kaona sasa kwenye mkoa wake wananchi wanazidi na Dar inaweza kuwa kitovu cha maambukizi hivyo kama mtu wa mwisho kukaa na wananchi ameona aingie front.

Tatu, utubutu wake ingawa kwenye hili inatakiwa response zote zitoke kwa ummy ama waziri Mkuu bahati mbaya Ummy ameamua kuwa msoma idadi ya walioambukizwa tu baada ya hapo huwezi msikia tena akija na lingine. Sikumbuki mara ya mwisho kumuona waziri wangu akifanya press conference juu ya corona zaidi ya kusoma tu idadi ya waathirika.

Mhe, Rais naomba nikili wazi sijawahi kukubaliana na mambo ya makonda Mengi sana ila kwenye hili naomba niseme ameanza kuonyesha njia ambayo kamati imeshindwa kufanya leo hii uturuki wameanza kuwa na visa vingi vya corona kuliko Irani hivyo tukiendelea na hizi kamati zako tunaweza jikuta na kesi nyingi kuliko nchi zote za Afrika Mashariki na Kati.

Sio siri huku mtaani tuna nawa sana lakini kila siku idadi inaongezeka hebu twende hatua ya pili kuona tunelekea wapi japo mpe makonda ama Muongezeni makonda kwenye hizo kamati wasiwasi Wetu vikao vya kujadili kukabiriana na corona visije vikawa vingi vyenye posho kuliko jinsi ya kukabiliana na Corona kwenyewe.
 
Mtu mjinga aliyepata zero ataongozaje mapambano ya cov19 / labda yakuuwa watu na risasi na kubwabaja.
 
Yaani mtu ambaye hata Kinondoni Talent Search alishindwa Kuiendeleza ndo mumpe usukani wa kuongoza vita dhidi ya Corona?

Hivi mkuu unawachukuliaje watanzania?
 
Mkitaka tuteketee muwekeni Bashite, nadhani anachangia kuongezeka kwa idadi ya wagonjwa Dar kwa kauli zake zisizoeleweka na zinazopinzana.

Siku ya kwanza anakwambia usikae ndani utakufa njaa, kesho atakuambia ukikutwa nje unazurura unatapewa adhabu ya kusafisha mitaro.

Mkoa wake ndio unaongeza kwa mikusanyiko (makanisa, bar , sokoni , Kariakoo)
Jamaa inatakiwa atumbuliwe au atleast wamfiche ndani asitoe tamko lolote hadi corona itakapokuwa undercontrol.
 
Mtu mjinga aliyepata zero ataongozaje mapambano ya cov19 / labda yakuuwa watu na risasi na kubwabaja.
Mkuu ni kweli sasa hawa kamati tatu ndo zimetufikisha hapa Mzee kunawa tuna nawa sana Hanna kitu wanafanya mpaka zaid ya kutusomea idadi ya ongezeko la wagonjwa
 
Huyo jamaa siku za hivi karibuni aliibuka na mikusanyiko huku akiponda Ugonjwa, eti watu wasiache kufanya kazi kisa Corona,
Juzi ameona hali inakuwa mbaya anaibuka na kutoa Tahadhari kwa Watu.

Ni aibu kuwa na viongozi wa namna hii, hajui hata anasimamia nini, halafu mtu anakuja anasema aongoze watu kwenye hii vita.

Aisee, Zero ni Zero tu.
Yaani mtu ambaye hata Kinondoni Talent Search alishindwa Kuiendeleza ndo mumpe usukani wa kuongoza vita dhidi ya Corona?

Hivi mkuu unawachukuliaje watanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkitaka tuteketee muwekeni Bashite.. nadhani anachangia kuongezeka kwa idadi ya wagonjwa Dar kwa kauli zake zisizoeleweka na zinazopinzana..

Siku ya kwanza anakwambia usikae ndani utakufa njaa , kesho atakuambia ukikutwa nje unazurura unatapewa adhabu ya kusafisha mitaro..

Mkoa wake ndio unaongeza kwa mikusanyiko ( makanisa , bar , sokoni , kariakoo)
Jamaa inatakiwa atumbuliwe au atleast wamfiche ndani asitoe tamko lolote hadi corona itakapokuwa undercontrol.
Sasa hivi akili zime mkaa sawa naona kusema tuu lazma kuvaa barakoa naona hii ni hatua kuelekea akili kukaa sawa.
 
Yaani mtu ambaye hata Kinondoni Talent Search alishindwa Kuiendeleza ndo mumpe usukani wa kuongoza vita dhidi ya Corona?

Hivi mkuu unawachukuliaje watanzania?
Habati mbaya mapambano haya yanahitaji kila MTU ajitoe kama kaamua kujitoa kwa hili ili kulinda watu wake acha tumfikilie
 
Makonda kiongozi bora

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliagiza miguu bandia bila kuwapima wahusika ikamdodea
Aliwajaza wakinamama waliozalishwa ati wapewe matunzo hakufanikiwa.
Aliwaita watu wenye migogoro ya ardh akawajaza ilala bila mafanikio.
Aliahidi kupaka rangi nyumba zote za dar hajafanya lolote.
Aliahidi kutokomeza machangudoa na wenzake mashoga hajafanikiwa
Aliingiza Makontena bila kulipa ushuru
AMEFOJI VYETI NA SASA ANAFOJI MASTERS
Aliahidi kunyunyiza dawa ya corona dar yote kaishia kumwaga maji barabarani
ALIAHIDI KUJENGA OFISI ZA WALIMU MKOA WATE KAISHIA KUJAZA MICHANGA
Makonda ni kiongozi mzuri kwa watu wapumbavu kama wewe.
Lakini kwa mtu mwenye kauelewa kadogo tu
Makonda, happy na gambo hawafai hata kuwa makatibu kata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tuombe radhi kwanza uwezi kutudharau kiasi hiki huyu anaongwaza kwa miemko dsm hii inamshinda tu sasa tumpe jukumu kubwa kama hilo huu ugonjwa hatari bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Mkuu lazma tutoke hapa kwenda hatua nyingine maambukiz yanazid hapa hakuna measure kamati zipo kimya mkuu lazma twende hatua moja mbele
Toka ugonjwa huu uanze tulianza kunawa sasa hivi tuna nawa wagonjwa bado wanaongeza hebu twende mbele kidogo
 
Sasa hivi akili zime mkaa sawa naona kusema tuu lazma kuvaa barakoa naona hii ni hatua kuelekea akili kukaa sawa
Yule jamaa haaminiki. Kesho anaweza kuja na tamko jingine la ajabu .. ni bora angetafutwa mtu mwenye busara na uwezo wa kufanya kazi..

Bwana yule busara ni 0
 
pole na majukukumu hapo chato mhe rais wangu.

Baada ya kuwaza sana juu ya kuongezeka kwa idadi ya wagonjwa corona naomba nikuombe bomoa zile kamati muweke Rc Makonda aongoze mapambano kwa sababu zangu ninazo ziona

Kwanza Makonda akili imesha mkaa sawa sasa hivi naona ameamua kuongoza mapambano mwenyewe hizi hatua at least ndo wananchi wanazitaka kuona kuchukua hatua lakin wananchi hawawezi kuchukua hatua bila msukumo wa viongozi wao hapa naona makonda amethubutu

Pili amesha experience kuwa mzaha mzaha hutumbua usaha kaona sasa kwenye mkoa wake wananchi wanazidi na dar inaweza kuwa kitovu cha maambukizi hivyo kama mtu wa mwisho kukaa na wananchi ameona aingie front

Tatu Utubutu wake ingawa kwenye hili inatakiwa response zote zitoke kwa ummy ama waziri Mkuu bahati mbaya ummy ameamua kuwa msoma idadi ya walio ambukizwa tuu baada ya hapo huwezi msikia tena akija na lingine sikumbuki Mara ya mwisho kumuona waziri wangu akifanya press conference juu ya corona zaid ya kusoma tuu idadi ya waathirika

Mhe, raisi naomba nikili wazi sijawahi kukubaliana na mambo ya makonda Mengi sana ila kwenye hili naomba niseme ameanza kuonyesha njia ambayo kamati imeshindwa kufanya Leo hii uturuki wameanza kuwa na visa Vinci vya corona kuliko Irani hivyo tukiendelea na hizi kamati zako tunaweza jikuta na kesi nyingi kuliko nchi zote za Afrika mashariki na kati

Sio siri huku mtaani tuna nawa sana lakini kila Siku idadi inaongezeka hebu twende hatua ya pili kuona tunelekea wapi japo mpe makonda ama Muongezeni makonda kwenye hizo kamati wasiwasi Wetu vikao vya kujadili kukabiriana na corona visije vikawa vingi vyenye posho kuliko jinsi ya kukabiliana na Corona kwenyewe
Vipi jana mlikaa kikao cha familia ?
 
Back
Top Bottom