rais

  1. J

    JamiiForums Tanzania Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Idd Seif yuko kwenye karantini ya Corona

    Balozi Seif Idd anasema baada ya kutoka Cuba ameamua kujiweka katika karantini ya siku 14 nyumbani kwake. Source ITV habari!
  2. D

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Rais John Pombe Magufuli - Madaktari Bingwa Wabobezi na TCU

    Mheshimiwa Rais! Hongera na Pole kwa majukumu makubwa uliyopewa na Watanzania. Nikiri kwamba barua yangu hii, imechagizwa na Mkutano wa Madaktari Tanzania wa mwaka huu. Bahati mbaya Dr. Elisha Osati alisahau kuwasilisha hili. Mheshimiwa Rais, toka umeingia madarakani umeokoa kiasi kikubwa cha...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Rwanda na Rais wake Paul Kagame wamekuwa mfano bora na wa kuigwa katika kupambana na COVID-19

    Serikali ya Rwanda kupitia Rais wake imefanya yafuatayo.. 1. Inawajali Wananchi wake mara kwa mara juu ya Ugonjwa 2. Inatoa Msaada wa Vyakula bure kabisa kwa Wananchi wake 3. Inatoa bure kabisa Vifaa vya Kujiinga na Ugonjwa kwa Wananchi wake 4. Waziri wake wa Afya hana Unafiki katika Kutoa...
  4. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Tanzania Maganja: Zitto hafai kuwa Rais, akipewa nchi atauza hadi watu wake

    Jamaa kajitoa.
  5. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Siku Wapiga Kura Walipomwambia Rais Nixon "Urais sio Ufalme na Ikulu ya Imperial Presidency kutikisika

    Rais Richard Nixon, wa Marekani, alikuwa rais wa 37 wa nchi hiyo tangu 1969 hadi 1974 alipojiuzulu. Alikuwa rais kwa tiketi ya chama cha Republic lakini akaongoza nchi kama rais mfalme. Alipindua kanuni za somo la uraia zinazowambia watoto wetu shuleni kuwa dola inayo mihimili mitatu yenye...
  6. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Brazilian President Bolsonaro rejects calls for Coronavirus lockdown, says 'we're all going to die one day'

    Brazilian President Jair Bolsonaro has repeatedly dismissed the coronavirus as a "little cold" and urged residents to keep the country's economy going, even going so far as to tell his supporters why he's against lockdown: "We're all going to die one day." Bolsonaro, who is often compared to...
  7. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Congo-Brazzaville Yhombi Opango afariki dunia kwa Covid-19

    Jacques Joachim Yhombi Opango Rais wa zamani wa Congo-Brazzaville, Jacques Joachim Yhombi Opango, amefariki dunia jijini Paris. Rais wa zamani wa Congo-Brazzaville, Jacques Joachim Yhombi Opango, ambaye alitawala nchi hiyo kati ya...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, tusaidie kampuni ya SKOL Building Contractors LTD itulipe mishahara na NSSF

    Hiki ni kilio chetu wafanyakazi cha zaidi ya mwaka mmoja tangu kuanza kufuatilia suala hili bila mafanikio katika ofisi zifuatazo:- (1) Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni (2) Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (3) NSSF-Kinondoni (4) Vyombo vya habari vya binafsi na serikali (Shirika letu pendwa la...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Covid-19: Ugonjwa wa Corona ushauri wa bure kwako Rais Magufuli

    Moja kwa moja kwako kwenye mada. Hatimaye ninakundikia wewe ushauri huu wa bure nikifahamu fika kuwa hujapungukiwa na washauri, na kuwa uko nao washauri walio mahiri kabisa, wenye kulipwa vilivyo kutokana na kazi hiyo. Hata hivyo kumbuka mheshimiwa, Goliath lilikuwa jitu la kutisha (lenye...
  10. Saint Ivuga

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atua Chato leo tarehe 28 Machi 2020

    Ametua Chato akitoka Dodoma
  11. KOLOKOLONI

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa afya na Wakemia Tanzania, mbona kimya kuhusu ugunduzi wenu wa dawa ya Coronavirus?

    Nimefutilia mataifa mbalimbali kupitia mitandao naona madaktari na wakemia wakitaja dawa mbalimbali katika ugunduzi wa tiba ya Corona lakini Tanzania naona fofofo. Sasa najiuliza pale Muhimbili University na Bugando mnajifunza kuosha vidonda tuu? Au ni vyuo vya ujenzi wa Maghorofa? Hivi...
  12. Miki123

    JamiiForums Tanzania Trump amekuwa mpole kwa Rais wa China Xi

    Kuna baadhi ya watu wanasema china anapika data kuhusu takwimu za corona lakini tweet ya leo trump ameomba ushauri wa kupambana na corona tena kwa lugha ya upole bila kuweka mbwembwe za kuita corona chinese virus.
  13. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli futa Halmashauri za Wilaya zinafuja pesa na kurudisha nyuma maendeleo. Report ya CAG ya 2018-2019 inaonesha wazi hili

    Tumekuwa tukishauri kwa muda mrefu sasa kwamba Halmashauri za Wilaya zifutwe kwa kuwa hazina tija kwenye maendeleo ya wananchi. Hii haitakuwa mara ya kwanza kuzifuta halimashauri hizo, kwa kuwa huko nyuma kitu kama hicho kilishafanywa na Mwalimu Nyerere, ambapo alizifuta mwaka 1972 na...
  14. Mystery

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anatuhimiza wananchi tukachape kazi, wakati makampuni yakiendelea kuwapunguza wafanyakazi wao kutokana na ugonjwa wa Corona!

    Tulimsikia wenyewe Rais wetu Magufuli wakati akilihutubia Taifa siku chache zilizopita, akituhimiza wananchi tukachape kazi na kuwa tusitishwe na vyombo vya habari vya kibeberu, kwa kuwa ugonjwa wa corona siyo tishio kiasi hicho wanachotuaminisha! Kwa kweli nilishangazwa sana na maelekezo hayo...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Rais Magufuli sasa inajulikana ilipo. Ni hatari kwa uchumi wetu

    Nakumbuka zile mbwembwe nyingi za kufungua viwanda karibu kila wiki kwa wakati fulani mwanzoni mwa awamu yake. Viwanda vingi alivyovifungua, vyote vilikuwa ni juhudi za Rais Kikwete. Siku hizi hata kusikia tu lile neno la viwanda ni nadra kabisa, na baadhi yetu hatujui kama wizara hiyo bado ipo...
  16. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CORONA VIRUS: Kenyatta ndio Rais pekee aliyejipanga kuwanusuru wananchi wake kiuchumi

    Siku ya leo Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza hatua kuu muhimu za kijamii na kiuchumi za kuwanusuru raia wa Kenya kutokana na madhara yatakayotokana na hatua za kudhibiti athari za kuenea kwa maambukizi ya Corona nchini Kenya. Pamoja na ukosoaji mwingi uliokuwepo na uliopo kutoka kwa...
  17. G Sam

    JamiiForums Tanzania Wakati Rais Magufuli akihimiza watu wachape kazi, wengine wameanza kupunguza mlundikano makazini

    Leo asubuhi nimebahatika kupitia baadhi ya viwanda ikiwemo TBL aisee hali ni mbaya. Wafanyakazi wamepunguzwa kwa kiasi kikubwa. Pia sijui ni hisia tu za watu au vipi ila baadhi wanakiri waziwazi kuwa na dalili za ugonjwa wa COVID-19 na wengi wameanza kuingiwa na hofu. Mamlaka zinazohusika na...
  18. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Imethibitika sasa Corona iko mitaani Dar. Napata shaka kwanini Serikali sasa wako Dodoma ghafla hivi

    Makonda kasema mtoto wa Mbowe anaumwa Corona. Katika hili katoa siri ya Serikali ambao wahusika wa kutangaza ni Rais, Waziri Mkuu na Waziri wa Afya. Mbowe kakiri na kusema mwanaye kaipata Dar na sio nje ya nchi. Wakati huo huo serikali na Rais wamehama Dar na wako Dodoma. Mara namsikia...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Donald Trump asaini amri kuzuia watu kukusanya na kupandisha bei bidhaa zinazohitajika kudhibiti Corona Virus

    President Donald Trump signed an executive order on Monday to prevent hoarding and price gouging of supplies needed to fight the deadly coronavirus, a spokeswoman said. “This sends a strong message - we will not let those hoarding vital supplies & price gougers to harm the health of America in...
  20. kasanga70

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais unalipa mishahara bure Kuna watu hawafanyi kazi

    Mheshimiwa Rais naomba nikushauri Jambo! Kutokana na keki ya taifa kuwa ndogo na kugawanwa kwa watu wachache tukianza na watumishi wa umma, majeshi, nk Ninapendekeza iundwe sheria watanzania tuwe tuna access ya kufanya kazi miaka 15 tu baada ya hapo mtu anachukua pension yake anaondoka. Hili...
Back
Top Bottom