Wachina wakutwa na hatia ya kuwatupa wazamiaji wawili wa Tanzania baharini

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,017
9,885
Wachina saba wamekutwa na hatia ya kujaribu kuwaua watanzania wawili kwa kuwatupa baharini karibu na mwambao wa KwaZulu Natal, mwezi uliopita

Amiri Salamu(20) na Hassani Rajabu(30) walitoswa baharini wakiwa wamepewa ‘life jackets’ na chupa za maji wakaamriwa kuogelea. Siku tatu baadae waliokotwa katika Fukwe ya Zinkwazi na wakapelekwa hospitali

Cui Rongli amekutwa na hatia ya kutowaliporipoti wazamiaji hao, na kuwatendea tukio ambalo lingeweza kuwasababishia kifo. Amelipishwa faini ya $5,000 sawa na Tsh Milioni 11.5 na wenzake wamelipishwa Tsh. Milioni 5.7

Meli hiyo ilikuwa inatoka Durban, Afrika Kusini kuelekea Singapore

====
Seven Chinese nationals have been convicted of attempted murder for throwing two Tanzanians into the ocean last month.
They were ordered to pay hefty fines after they pleaded guilty to the attempted murder of stowaways, who were thrown off a ship just off the KwaZulu-Natal coast.

Cui Rongli, Lin Xinyong, Zou Yongxian, Tan Yian, Xie Wenbin, Xu Kun and Mu Yong appeared in the Durban magistrate's court on Friday for sentencing.
They had previously pleaded guilty to the charges.

The ship master, Rongli, also pleaded guilty to contravention of the provisions of Section 174 (1)a and Section 317 (4) of the Merchant Shipping Act, Act 57 of 1951 — related to misconduct (endangering life or causing injury) and failure to report stowaways.

The men were part of the crew of a shipping vessel, MV Top Grace, which arrived from Singapore in the port of Durban early last month.

National Prosecuting Authority (NPA) spokesperson Natasha Kara said that, in their plea, the crew mentioned that their vessel then left Durban on March 26.
The following day they discovered two Tanzanian men on board. Realising that the men were stowaways, they asked them to identify themselves.

“The accused became wary of the men and asked them to wear face masks in light of the Covid-19 pandemic. The men refused to wear the face masks. They gave them food and water, and put them into a separate room, as they did not know their Covid-19 status and feared for the rest of the crew. The two men demanded to know the vessel’s destination.”

Kara said accused 2 to 7 then constructed a raft with plastic drums and plywood.

“They provided the men with life jackets and water and asked them to leave the ship on the raft. The crew acted in a threatening manner by banging on the vessel's deck and the men descended into the raft. The ship pulled away once they were on board the raft.”

The two men later washed ashore at Zinkwazi beach near KwaDukuza and the crew of the vessel was asked to proceed to the port of Richards Bay.
“The accused admitted that their actions could have resulted in serious injury and even loss of life to them.”

Acting regional court magistrate Vishalan Moodley sentenced Rongli to a fine of R100,000 or four years' imprisonment for the two attempted murder charges, which were taken as one.

For failing to report the stowaways, he was sentenced to a fine of R10,000 or three months' imprisonment, suspended for five years on condition that he is not convicted of the same offence during the period of suspension.

He was sentenced to a fine of R50,000 or 12 months' imprisonment for misconduct. This sentence is also suspended for five years on condition that he is not convicted of the same offence during the period of suspension.

“Each of the other accused were sentenced to a fine of R50,000 or two years' imprisonment for the attempted murders. They were handed over to immigration officials after paying their fines,” said Kara.

Chinese crew guilty of throwing Tanzanian stowaways overboard
 
Nahodha na mabaharia wa Meli ya wachina wawatupa Watanzania baharini kwa hofu ya kuambukizwa Corona

Nahodha na mabaharia wa Meli ya Wachina wamekiri kosa la jaribio la mauaji kwa kuwatupa watanzania wawili baharini kutoka kwenye meli ya mizigo iliyokuwa inaelekea katika bandari ya Durban, Afrika Kusini kwa hofu ya Watanzania hao kuwaambukiza virusi vya Corona.

Wakipewa chupa mbili za maji kila mmoja na jaketi la kusaidia kutozama kwenye maji, Amiri Salamu (20), na Hassani Rajabu (30) waliambiwa kuwa wapige mbizi hadi wafike nchi kavu kwa kutumia mikono yao kama makafi.

Kwa siku tatu, hawakula na walibahatika kusafirishwa na mawimbi hadi katika ufukwe wa Zinkwazi, karibu na Durban, linasema gazeti la Daily Mail la nchini Uingereza.

Mara baada ya kupokea taarifa hizo, The African Maritime Safety Agency ilikamata meli hiyo ya MV Top Grace ilivyotia nanga katika bandari ya Richards Bay na nahodha alikamatwa mara moja.

Nahodha huyo Cui Rongli, pamoja na mabaharia wake Lin Xinyong, Zou Yongxian, Tan Yian, Xie Wenbin, Xu Kun na Mu Yong wote walikiri kosa la jaribio la mauaji katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Durban siku ya Ijumaa.

Nahodha Rongli alipigwa faini ya dola 5000 huku mabaharia wakipigwa faini ya dola 2500 kila mmoja ili kumaliza shauri.

Msemaji wa Jeshi la Polisi la Afrika Kusini, Natasha Cara aliliambia gazeti la Daily Mail kuwa ‘’watuhumiwa waliwapa wahanga majaketi ya uokozi na mabaharia wakawatishia na kuwarusha baharini. Meli ikaondoka na kuwaacha wakiwa baharini. Watuhumiwa wamekiri kuwa kitendo walichofanya kingeweza kusababisha majeraha makubwa na hata kifo’’, alisema

Wakili wa Utetezi, Willie Lombard akiwatetea wateja wake alisema ‘’hatua muhimu za kiusalama zilichukuliwa, na ikiwa mabaharia walikuwa na nia ya kuwa wakatili wangewatupa watu hao mbali kabisa na nchi kavu tena bila jaketi ya uokozi’’

Watanzania hao wamechukuliwa na kupatikwa matibabu na mamlaka za Afrika Kusini na hivi sasa wanaendelea vizuri. Wakati wanaokolewa, walikutwa na hali mbaya ya kiafya inayotokana na baridi na ukosefu wa chakula.

Hivi karibuni, kumeibuka wimbi la malalamiko kwa Waafrika kubaguliwa na raia wa China hasa wale waliopo nchini China. Katika taarifa zilizochapishwa na vyombo vya habari vya kimataifa, inaonesha waafrika wengi wakiwa wametengewa katika maeneo ya umma na hata kufukuzwa katika nyumba wanazoishi na kulazimika kulala nje mitaani kwa madai kuwa wana maambukizi ya Virusi vya Corona.

Hata hivyo, Serikali ya China kupitia msemaji wake ilisema kuwa si sera ya taifa hilo kuwabagua wageni na kwamba ubaguzi wa rangi hauvumiliki.

Chanzo Taarifa:

Daily Mail Newspaper
serengetipost.co.tz

MY TAKE:

Kinachonisitikisha na Kuniuma sana kama si mno GENTAMYCINE ni Kuona Sisi Watanzania ( hasa kupitia Viongozi au Watawala wetu ) wakiwa ' Wanajipendekeza ' kwa Wachina na Serikali yao huku Wachina hao hao pamoja na Kujifanya wanatupenda Watanzania na wanatusaidia kwa Misaada mbalimbali lakini ndiyo hao hao ambao wanatuumiza kama hivi walivyowafanyia Watanzania wenzetu.
 
Kama wewe mnuka kwapa unazo unazani mtukufu hana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raia saba wa China wamekutwa na hatia ya kujaribu mauaji kwa kumtupa watanzania wawili baharini mwezi uliopita.

Nahodha wa meli hiyo, Rongli, pia alikiri mashtaka ya kukiuka vifungu vya Sehemu ya 174 (1) a na kifungu cha 317 (4) cha Sheria ya Usafirishaji wa Usafirishaji, Sheria ya 57 ya 1951 - inayohusiana na tabia mbaya (kuhatarisha maisha au kusababisha jeraha) na kutofaulu kuripoti stowaways.

Washitakiwa hao walikuwa sehemu ya wafanyakazi wa meli ya usafirishaji, MV Top Grace, iliyowasili kutoka Singapore katika bandari ya Durban mapema mwezi uliopita.

Msemaji wa Mamlaka ya Mashtaka ya Kitaifa (NPA) Natasha Kara alisema kuwa, katika madai yao, watu hao walidai kuwa chombo chao kiliondoka Durban mnamo Machi 26.

Siku iliyofuata waligundua wanaume wawili wa Kitanzania wakiwa kwenye mashua hiyo ndipo walipogundua kuwa walikuwa wazamiaji na wakawataka wajitambulishe.

"Washtakiwa walikasirishwa na kitendo kitendo cha kuwaambia Watanzania hao wavae barakoa ili kujikinga na Covid-19 lakini wakakataa kuvaa. Aidha, taarifa zinadai watu hao waliamua kuwapatia chakul;a na maji kisha kuwafungia katika chumba cha peke yao kwani hawakuwa na uhakika na afya zao hivyo walihofia usalama wa wengine.

Aidha, baadae inaelezwa kuwa Watanzania hao walivalishwa makoti maalufu 'Life Jackets' na wakaamriwa kuondoka kwenye meli hiyo

1587290176363.png

ZAIDI SOMA
Seven Chinese nationals have been convicted of attempted murder for throwing two Tanzanians into the ocean last month.

They were ordered to pay hefty fines after they pleaded guilty to the attempted murder of stowaways, who were thrown off a ship just off the KwaZulu-Natal coast.

Cui Rongli, Lin Xinyong, Zou Yongxian, Tan Yian, Xie Wenbin, Xu Kun and Mu Yong appeared in the Durban magistrate's court on Friday for sentencing.

They had previously pleaded guilty to the charges.

The ship master, Rongli, also pleaded guilty to contravention of the provisions of Section 174 (1)a and Section 317 (4) of the Merchant Shipping Act, Act 57 of 1951 — related to misconduct (endangering life or causing injury) and failure to report stowaways.

The men were part of the crew of a shipping vessel, MV Top Grace, which arrived from Singapore in the port of Durban early last month.

National Prosecuting Authority (NPA) spokesperson Natasha Kara said that, in their plea, the crew mentioned that their vessel then left Durban on March 26.

The following day they discovered two Tanzanian men on board. Realising that the men were stowaways, they asked them to identify themselves.

“The accused became wary of the men and asked them to wear face masks in light of the Covid-19 pandemic. The men refused to wear the face masks. They gave them food and water, and put them into a separate room, as they did not know their Covid-19 status and feared for the rest of the crew. The two men demanded to know the vessel’s destination.”

Kara said accused 2 to 7 then constructed a raft with plastic drums and plywood.

“They provided the men with life jackets and water and asked them to leave the ship on the raft. The crew acted in a threatening manner by banging on the vessel's deck and the men descended into the raft. The ship pulled away once they were on board the raft.”

The two men later washed ashore at Zinkwazi beach near KwaDukuza and the crew of the vessel was asked to proceed to the port of Richards Bay.

“The accused admitted that their actions could have resulted in serious injury and even loss of life to them.”

Acting regional court magistrate Vishalan Moodley sentenced Rongli to a fine of R100,000 or four years' imprisonment for the two attempted murder charges, which were taken as one.

For failing to report the stowaways, he was sentenced to a fine of R10,000 or three months' imprisonment, suspended for five years on condition that he is not convicted of the same offence during the period of suspension.

He was sentenced to a fine of R50,000 or 12 months' imprisonment for misconduct. This sentence is also suspended for five years on condition that he is not convicted of the same offence during the period of suspension.

“Each of the other accused were sentenced to a fine of R50,000 or two years' imprisonment for the attempted murders. They were handed over to immigration officials after paying their fines,” said Kara.
 
Wachina saba wamekutwa na hatia ya kujaribu kuwaua watanzania wawili kwa kuwatupa baharini karibu na mwambao wa KwaZulu Natal, mwezi uliopita

Amiri Salamu(20) na Hassani Rajabu(30) walitoswa baharini wakiwa wamepewa ‘life jackets’ na chupa za maji wakaamriwa kuogelea. Siku tatu baadae waliokotwa katika Fukwe ya Zinkwazi na wakapelekwa hospitali

Cui Rongli amekutwa na hatia ya kutowaliporipoti wazamiaji hao, na kuwatendea tukio ambalo lingeweza kuwasababishia kifo. Amelipishwa faini ya $5,000 sawa na Tsh Milioni 11.5 na wenzake wamelipishwa Tsh. Milioni 5.7

Meli hiyo ilikuwa inatoka Durban, Afrika Kusini kuelekea Singapore

====
Seven Chinese nationals have been convicted of attempted murder for throwing two Tanzanians into the ocean last month.
They were ordered to pay hefty fines after they pleaded guilty to the attempted murder of stowaways, who were thrown off a ship just off the KwaZulu-Natal coast.

Cui Rongli, Lin Xinyong, Zou Yongxian, Tan Yian, Xie Wenbin, Xu Kun and Mu Yong appeared in the Durban magistrate's court on Friday for sentencing.
They had previously pleaded guilty to the charges.

The ship master, Rongli, also pleaded guilty to contravention of the provisions of Section 174 (1)a and Section 317 (4) of the Merchant Shipping Act, Act 57 of 1951 — related to misconduct (endangering life or causing injury) and failure to report stowaways.

The men were part of the crew of a shipping vessel, MV Top Grace, which arrived from Singapore in the port of Durban early last month.

National Prosecuting Authority (NPA) spokesperson Natasha Kara said that, in their plea, the crew mentioned that their vessel then left Durban on March 26.
The following day they discovered two Tanzanian men on board. Realising that the men were stowaways, they asked them to identify themselves.

“The accused became wary of the men and asked them to wear face masks in light of the Covid-19 pandemic. The men refused to wear the face masks. They gave them food and water, and put them into a separate room, as they did not know their Covid-19 status and feared for the rest of the crew. The two men demanded to know the vessel’s destination.”

Kara said accused 2 to 7 then constructed a raft with plastic drums and plywood.

“They provided the men with life jackets and water and asked them to leave the ship on the raft. The crew acted in a threatening manner by banging on the vessel's deck and the men descended into the raft. The ship pulled away once they were on board the raft.”

The two men later washed ashore at Zinkwazi beach near KwaDukuza and the crew of the vessel was asked to proceed to the port of Richards Bay.
“The accused admitted that their actions could have resulted in serious injury and even loss of life to them.”

Acting regional court magistrate Vishalan Moodley sentenced Rongli to a fine of R100,000 or four years' imprisonment for the two attempted murder charges, which were taken as one.

For failing to report the stowaways, he was sentenced to a fine of R10,000 or three months' imprisonment, suspended for five years on condition that he is not convicted of the same offence during the period of suspension.

He was sentenced to a fine of R50,000 or 12 months' imprisonment for misconduct. This sentence is also suspended for five years on condition that he is not convicted of the same offence during the period of suspension.

“Each of the other accused were sentenced to a fine of R50,000 or two years' imprisonment for the attempted murders. They were handed over to immigration officials after paying their fines,” said Kara.
Wanaccm tuwachangie faini ndugu zetu wa damu na tulaani mahakama kutowatendea haki ndugu zetu wachina.
 
Nahodha wa meli ya mizigo ya china amekiri kuwatupa kwenye maji wazamiaji wawili wa kitanzania waliokuwa wamejificha kwenye ndani ya meli hiyo. Katika Utetezi wake Nahodha huyu alisema ametenda hivyo kuhofia watawaambukiza virusi vya Corona (Covid19).

Chanzo #Hollywoodunlocked Clouds Media on Twitter
 
Attachments

  • 20200419_140751.jpg
    20200419_140751.jpg
    43 KB · Views: 3
  • 20200419_140751.jpg
    20200419_140751.jpg
    43 KB · Views: 2
Dah mabaharia wenzangu angalau mmenusurika na kama kawaida hakuna kukata tamaa. Mmenikumbusha mbali sana.

Amanzimtoti
KwaZulu-Natal
RSA.
 
Back
Top Bottom