Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 12,405
- 30,908
Katika hili janga la korona kuna hawa watu wawili wamenivutia.
Rais Magufuli na bwana Yaakov litzman magufuli tunamjua ila Yaakov ni waziri wa afya wa Israel.
Tatizo la korona lilipoingia Tanzania Magufuli alichukua hatua za haraka kuokoa umma wake kwa kufunga mashule.
Baadae akasema watu waanze kusali ili mungu aiondoe korona hili ni Jambo jema sana.
Bwana Yaakov Litzman waziri wa afya wa Israel analaumiwa kwa kutochukua hatua kwa haraka kuusaidia umma wa wana wa israel.
Mwezi wa tatu alipoulizwa na waandishi was habari juuya covid 19 alijibu namnukuu watu hawana sababu ya kupaniki kwasababu masiya atatuokoa na kovid Kama ambavyo alituokoa utumwani wakati wa Passover Yani pasaka.
Kifupi ni kwamba bwana yaakov anawapa matumaini kwamba pasaka iliyopita masia angeiondoa kovid Israel.
kilichotokea
Huyo bwana Yaakov ndio alikuwa Kati ya watu wa mwanzo kugundulika na kovid mwezi huo huo wa tatu yeye na mke wake wote wakakutwa na Covid ikapelekea wao wenyewe waji self quarantine
Shirika la ujasusi wa ndani la Israel shin bet likaingia kazini kuipekua simu yake na wote aliogusana nao.
Huku kwetu Rais Magufuli mjanja sana yeye ametuasa tuombe lakini pia tuchukue tahadhari maana tusipofanya hivyo tutakuwa tunamjaribu Mungu kiufupi Magufuli kawaambia watanzania Mungu na mbio sio unaomba Mungu umekaa ukitegemea usiliwe na simba
Asubuhi njema jamani Mimi ndio nalala tuonane kesho.